Mjomba Fujo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 2,599
- 6,742
Salaam Wandugu,
Kuna jambo kuhusu AI contents naliona kwa upande wangu binafsi kadri siku zinavyoenda ndio nazidi kuzikwepa, nitaweka mifano;
Nikiwa naperuzi Mitandao ya kijamii ikatokea nakutana na video ambayo imetengenezwa kwa AI huwa na skip haraka sana bila kupoteza muda.
Pia kutokana na kukua kwa matumizi ya AI wafanyabiashara wengi wameanza kutumia kutengeneza posters za matangazo ya biashara zao, kiukweli nyingi naona zina distractions, unaweza kutamani kusoma kilichoandikwa ila unaona kabisa huu mzigo wa AI unajikuta unaruka chap, naona kama zinakosa uhalisia, sijui kwa wengine mnalionaje hili jambo.
Karibuni.