Askari wa JWTZ wazagaa na bunduki mitaani huko Arusha

Mwanadiplomasia Mahiri

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
680
Reaction score
2,337
Kumeanza kuchangamka.

Leo nilipita Tengeru askari wa JWTZ katika makundi wakiwa na silaha za kivita wapo mtaani wanazunguka tu.

Ndio kusema maandalizi ya kuelekea, tarehe 7.

Hali kama hii ni kawaida ukiwa nchi kama Rwanda, Uganda na DRC. Huku kwetu hatujazoea sana.

Kisiwa chetu cha amani kinaoiteza sifa zake kila uchwao.
 
JWTZ kama baadhi yenu mpo humu jukwaani, basi mnatakiwa mjitafakari. Mimi sitawatukana. Isipokuwa nitawapa tu ushauri wa bure.

Wakati mwingine wekezeni nguvu kubwa kwenye ulinzi wa raslimali za Taifa mfano madini, wanyama, pembe za ndovu, fedha za walipa kodi, bahari, nk. Badala ya kuhangaika kuwalinda watawala walioingia madarakani kwa njia za hila, ikiwemo wizi wa kura!

Pia mnatakiwa kufahamu hiyo mishahara na posho mnazolipwa zinatokana na kodi za wananchi hao hao mnaowazuia kuandamana ili tu kudai haki zao za msingi kutoka kwa watawala viziwi na wenye dharau.
 
Kumeanza kuchangamka.

Leo nilipita Tengeru askari wa JWTZ katika makundi wakiwa na silaha za kivita wapo mtaani wanazunguka tu.

Ndio kusema maandalizi ya kuelekea, tarehe 7.

Hali kama hii ni kawaida ukiwa nchi kama Rwanda, Uganda na DRC. Huku kwetu hatujazoea sana.

Kisiwa chetu cha amani kinaoiteza sifa zake kila uchwao.
Kuna siku watatoka nazo wasirudi
 
Kumeanza kuchangamka.

Leo nilipita Tengeru askari wa JWTZ katika makundi wakiwa na silaha za kivita wapo mtaani wanazunguka tu.

Ndio kusema maandalizi ya kuelekea, tarehe 7.

Hali kama hii ni kawaida ukiwa nchi kama Rwanda, Uganda na DRC. Huku kwetu hatujazoea sana.

Kisiwa chetu cha amani kinaoiteza sifa zake kila uchwao.
Tanzania ya zamani hairudi tena .
 
Kumeanza kuchangamka.

Leo nilipita Tengeru askari wa JWTZ katika makundi wakiwa na silaha za kivita wapo mtaani wanazunguka tu.

Ndio kusema maandalizi ya kuelekea, tarehe 7.

Hali kama hii ni kawaida ukiwa nchi kama Rwanda, Uganda na DRC. Huku kwetu hatujazoea sana.

Kisiwa chetu cha amani kinaoiteza sifa zake kila uchwao.

Tengeru hadi USAA Kuna hadi Sekei, Sanawari na Mianzini wananchi walikiwasha Sana Oktoba 29 Mwaka Jana.

Wameru wa Tengeru hawachekeshi wakishavuta kitu cha Arusha huwaambii kitu
 
Back
Top Bottom