mistari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Tukutane hapa Kama uliwahi ‘kuopoa’ kwa kutumia mistari ya wasanii

    N:B Ilikuwa enzi hizo pesa ilipokuwa ikipewa uzito mdogo kwenye mapenzi Uopoaji una mbinu nyingi sana ikiwemo kutumia mbinu hii adimu ya kutumia mistari ya wasanii walioumiza vichwa vyumbani hadi wakakamilisha kazi zao studio. Wengine hutumia mistari hii kucopy na kupaste kwenye suala zima la...
  2. a sinner saved by Christ

    Biblia mpya feki zilizo chakachukuliwa kwa kubadilishwa baadhi ya mistari

    HATARI: SIRI ZILIZOFICHWA ZINAZOENDELEA KUBADILI BIBLIA :- LAZIMA USOME IKIWA WEWE NI MWFUASI WA KWELI WA KRISTO Ni ushuhuda wa ajabu na wa kugusa sana. Tafadhali chukua muda wako na uusome hadi mwisho MABADILIKO YA MISTARI YA BIBLIA ( MISTARI YA BIBLIA ILIYOCHAKAKULIWA ) Na Amina Hassan ▪️...
  3. Lord Denning

    Wanavyokunjaga sura, huwezi amini wanapelekeshwa na wajinga kama CCM. Wanapigishwa Mistari kupiga kura wakati Uchaguzi ulishaamuliwa.

    Wanavyokunjaga sura na kujifanya wababe na wajuzi huwezi amini wajinga wajinga CCM wanawapelekesha kama mazuzu. Huwezi amini CCM wanawaona kama matoy tu yasiyo na chochote wala lolote. Yaaani hawa nao Oktoba wanapigishwa mistari kutiki wakati CCM, Tume na NIDA walishaamua kura ziweje na ushindi...
  4. H

    Tatizo la Waafrika ni kutokujua kuwa hata nyimbo zina mistari yenye maana kama kwenye biblia na quruan!!

    Hiyo mistari yenu ya biblia na quruan mmewekewa kwaajili ya marejeo ni kitu hamjui tu kwani hata nyimbo/miziki ya Kiafrika ina maana na mafundisho mazuri tu kuliko huo upuuzi wenu usioenda na matukio na wakati kila leo ni yaleyale hayabailiki. Situkeni!!
  5. Bepari la Kinyambo

    Msaada simu imetoa mistari

    Wakuu msaada ,simu aina ya samsung s21 imetoa mistari kwenye kioo
  6. sangaone98

    Hivi huyu jamaa huwa anatumia muda gani kuandika mistari yake sio kwa ufikirishi huu

    Heshima yenu wakuu, niende direct kwenye mada. Alizongwa na zimwi aliskika jirani akitoa hoja kwa kijiji, sababu ya kukosa elimu ya maambukizi walihisi kulogwa ndio tafsiri ya gonjwa la ukimwi. Huo ni ugonjwa jamani kama magonjwa mengine alisema mwalimu, Mwenyekiti alifoka na kumwambia kaa...
  7. Faana

    Je, Umeshakaa ukijiuliza mistari hii kwenye taulo ni ya nini? 🤔

  8. Petro E. Mselewa

    Fundi na gharama za kuondoa mistari kwenye Smart TV

    Waungwana nawasalimu, Nina TV yangu ya Smart ya Inchi 50 ambayo imechora mistari mbalimbali ya mlalo (horizontal lines) inayopelekea picha na maandishi kutoonekana vyema. Naomba msaada wa kujua wapi naweza kumpata fundi wa tatizo hili na gharama zake
  9. BEZO JR

    Mistari kwenye Tv ya Hisense

    Msaada wenu wakuu,Tv yangu aina ya Hisense smart (VIDAA) NCH 43 imechora hii mistari miwili miyeupe. Tatizo linaweza kuwa ni nini?
  10. ndege JOHN

    Mtu mmoja tu ndio huchora mistari kwenye Rolls Royce

    Mark Court amekuwa mtu pekee ambaye amekuwa akipaka rangi kwenye pini kwenye magari yote ya Rolls-Royce tangu 2003. Kazi yake ni hatua ya mwisho katika mchakato wa utengenezaji na makosa yoyote katika kazi yake ina maana kwamba gari yote itakuwa repainted. Lakini kazi yake inahusisha mengi...
  11. Execute

    Mstari wa biblia unaowafumba midomo wanasayansi wa kizazi hiki

    Biblia imeandika kuhusu matumizi ya kadi za malipo karibu miaka 2000 iliyopita. Kwamba kutakuwa na teknolojia ambayo ita-control mfumo wa malipo dunia nzima. Ufunuo 13:17 Hakuna ambaye angeweza kununua au kuuza bila ya kuwa na alama hii. (Alama hii ni jina la mnyama au namba ya jina lake.)
  12. Webabu

    Wakati Netanyahu atumia mistari ya biblia kuhalalisha vita ndani ya Gaza, Erdogan asema Hamas ni chama cha ukombozi wa Wapalestina

    Tuombe waungaji mkono wa Israel wakubali kusitisha vita haraka kwani dunia inaelekea kuwa nyeusi kutokana na vita vitakavyoleta majonzi kwa kila mtu. Hali hiyo imedhihirika katika kuchanganyikiwa kwa viongozi wa Israel,Marekani na Uiengereza na kushindwa kutambua kuwa wao ni watawala tu wa nchi...
  13. Analogia Malenga

    Tuchukue lipi, Tuache lipi kwa mistari hii ya Joh Makini

    TUCHUKUE LIPI, TULIACHE LIPI? STIMU ZIMELIPIWA (COPY MY MOTION) Hii ni segment mpya ambayo itakuwa inaangazia wasanii waliotamka kauli zinazokinzana. Tuanze na John Simon "Mwamba wa Kaskazini, Joh Makini" kwenye wimbo wake uliotajwa hapo juu. "I'M BIG FISH IN THIS OCEAN" DAKIKA ya kwanza...
  14. Greatest Of All Time

    Nipeni maua yangu - Roma Mkatoliki

    Kuna wimbo mpya umetoka. Si mwingine ni kijana wetu, Roma Mkatoliki. Wimbo unaitwa "Nipeni Maua Yangu" humo ndani kuna madini ya kutosha. Roma Mkatoliki kama kawaida yake katoa ya moyoni yanayoendelea katika utawala huu wa awamu ya 6. Kama kawaida kanyoosha maelezo hajapindapinda. Hakika baada...
  15. D

    Nyoka wenye mistari wana madhara?

    Wajumbe habari za muda huu? Niko njiani natembea kurudi zangu nyumbani kutoka kilimoni. Hatua mbili mbele kakatisha mjusi wa mistari mistari. Nilivyopiga hatua sijakaa sawa kapita nyoka huyo wa mistari katikati ya miguu yangu akaunga kule alipokimbilia mjusi. Uongo mbaya niliishiwa nguvu na...
  16. tpaul

    Krismasi sio sikukuu ya kipagani; wapuuzeni wanaoibeza kwa kusoma mistari hii ya biblia takatifu

    Naingia kwenye mada moja kwa moja. Awali ya yote naomba ku declare interest kuwa mimi ni mkristo; sio mpagani au muumini wa dini zisizojulikana. Kuna baadhi ya waumini wa dini pamoja na wapagani wanaodai kwamba sikukuu ya krismasi ni kipagani....kwamba hakuna mistari yoyote ya biblia...
  17. Mlolongo

    Mistari katikati ya barabara inatumikaje kisheria?

    Tuanze na hii picha namba moja. Mstari mmoja mweupe solid katikati ya barabara maana yake hauruhusiwi ku-overtake. Si ndio hivo wakuu ama? Je, mistari ikiwa double. Kama picha namba mbili hapa chini? Tofauti na namba moja iko vipi? Tuendelee... Kuna sehemu mstari mmoja solid, mwingine...
  18. Poker

    Ni mistari ya msanii gani au nyimbo gani ilikupatia mpenzi na je mpo naye au kilishaumana?

    Binafsi ile ngoma ya Mb dogg latifah ilinivutia pisi moja matata kwa kipindi hicho mtoto wa kiirawq kutoka haidom. Ila alikuwa machepele sana macho juu juu mwisho wa siku nikamkuta mitaa flani hivi na dingi mmoja kuanza kuliamsha popo yule demu akamwambia yuke dingi mimi ni mdogo wake nina shida...
  19. Swahili AI

    Maana ya Mistari ya mikono ya kushoto na kulia, picha na decoding

    Usomaji wa alama za viganjani ulianzi nchini India na sasa ni maarufu sana duniani kote kama njia ya mtu kujua hatima ya mtu hapa ulimwenguni. Usomaji hufanyika kwa kuangalia mistari, umbo la kiganja na rangi pia. Mistari hiyo kama inavyoonekana kwenye picha hapo mwanzo inawakilisha vitu...
  20. Kipenzi Changu

    Lyrics Master umeshindwa kuweka Mistari ya Hili Game ya Sir Nature

    Lyrics Master ameshindwa kuthibitisha umasta wake kwenye lyrics. Juzi kati nilimpa mtihani kama usahili akasema atarudi na mistari. Leo wiki ya pili amekimbia Jukwaani. Nilijua nitamnasa tu. Mistari ya Hili Game anaijua Juma Kassimu peke yake nina hakika hata P Funk aliyerekodi haijui. Sasa...
Back
Top Bottom