Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,186
- 10,922
Tuombe waungaji mkono wa Israel wakubali kusitisha vita haraka kwani dunia inaelekea kuwa nyeusi kutokana na vita vitakavyoleta majonzi kwa kila mtu.
Hali hiyo imedhihirika katika kuchanganyikiwa kwa viongozi wa Israel,Marekani na Uiengereza na kushindwa kutambua kuwa wao ni watawala tu wa nchi zao lakini sio watawala wa dunia.
Benjamini Netanyahu kama kwamba hajui yuko eneo gani la dunia amesoma mistari ya biblia kuonesha jinsji walivyo na haki ya kuwaangamiza Hamas japo kwa kufanya hivyo anaangamiza wapalestina kwa jumla.
“It is my responsibility” to lead Israel to “a crushing victory over our enemies,” he said.
“We will realise the prophecy of Isaiah 60:18 – ‘Violence shall no more be heard in your land’.”
“Light will defeat darkness,” he added.
Wakati akisema hayo ,raisi wa Uturuki amesema kwa uchungu kuwa chama cha Hamas si cha kigaidi bali ni chama cha kuwakomboa wapalestina.
Uturuki ni moja ya nchi zenye nguvu kubwa za kijeshi miongoni mwa mataifa ya kiislamu,ipo katikati ya Ulaya na ni mwanachama wa NATO