G
guest-1793599959
Guest
Msaada wenu wakuu,Tv yangu aina ya Hisense smart (VIDAA) NCH 43 imechora hii mistari miwili miyeupe. Tatizo linaweza kuwa ni nini?
Kama bado ipo ndani ya Warranty rudisha uliponunuwa watakupa tv nyingine mpya.Msaada wenu wakuu,Tv yangu aina ya Hisense smart (VIDAA) NCH 43 imechora hii mistari miwili miyeupe. Tatizo linaweza kuwa ni nini?
View attachment 3013668