mistari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tpaul

    JamiiForums Tanzania Krismasi sio sikukuu ya kipagani; wapuuzeni wanaoibeza kwa kusoma mistari hii ya biblia takatifu

    Naingia kwenye mada moja kwa moja. Awali ya yote naomba ku declare interest kuwa mimi ni mkristo; sio mpagani au muumini wa dini zisizojulikana. Kuna baadhi ya waumini wa dini pamoja na wapagani wanaodai kwamba sikukuu ya krismasi ni kipagani....kwamba hakuna mistari yoyote ya biblia...
  2. Mlolongo

    JamiiForums Tanzania Mistari katikati ya barabara inatumikaje kisheria?

    Tuanze na hii picha namba moja. Mstari mmoja mweupe solid katikati ya barabara maana yake hauruhusiwi ku-overtake. Si ndio hivo wakuu ama? Je, mistari ikiwa double. Kama picha namba mbili hapa chini? Tofauti na namba moja iko vipi? Tuendelee... Kuna sehemu mstari mmoja solid, mwingine...
  3. Poker

    JamiiForums Tanzania Ni mistari ya msanii gani au nyimbo gani ilikupatia mpenzi na je mpo naye au kilishaumana?

    Binafsi ile ngoma ya Mb dogg latifah ilinivutia pisi moja matata kwa kipindi hicho mtoto wa kiirawq kutoka haidom. Ila alikuwa machepele sana macho juu juu mwisho wa siku nikamkuta mitaa flani hivi na dingi mmoja kuanza kuliamsha popo yule demu akamwambia yuke dingi mimi ni mdogo wake nina shida...
  4. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Maana ya Mistari ya mikono ya kushoto na kulia, picha na decoding

    Usomaji wa alama za viganjani ulianzi nchini India na sasa ni maarufu sana duniani kote kama njia ya mtu kujua hatima ya mtu hapa ulimwenguni. Usomaji hufanyika kwa kuangalia mistari, umbo la kiganja na rangi pia. Mistari hiyo kama inavyoonekana kwenye picha hapo mwanzo inawakilisha vitu...
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Lyrics Master umeshindwa kuweka Mistari ya Hili Game ya Sir Nature

    Lyrics Master ameshindwa kuthibitisha umasta wake kwenye lyrics. Juzi kati nilimpa mtihani kama usahili akasema atarudi na mistari. Leo wiki ya pili amekimbia Jukwaani. Nilijua nitamnasa tu. Mistari ya Hili Game anaijua Juma Kassimu peke yake nina hakika hata P Funk aliyerekodi haijui. Sasa...
  6. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Mistari iliyo nichanganya kwenye Biblia takatifu kuhusu Ubatizo

    Msaada, Kwanza kabisa, mimi ni muumini wa dini ya Kiisilamu, lakini naisoma Biblia hatua kwa hatu, Mistari ifuatayo imenichanganya sana kunako swala la Ubatizo. Inaaminika kwamba kila mtu huzaliwa akiwa ni muislamu hadi pale atapobatizwa ndio atakuwa Mkristo safi. Sasa ubatizaji nimeokutana...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kimenuka! Rais Putin atoa kitisho, asema anaweza kutumia nguvu za kijeshi kwa Marekani na NATO kutokuzingatia mistari miekundu (red lines) za Urusi

    Jisomee mwenyewe hapa! Siku zote vita kubwa huanzaga kama utani vile na kama haitatokea vile, lakini mwisho wa siku huwa ni mlipuko mkubwa wa vita. Hatimaye Urusi inaelekea kuchoka kuoneshwa ubabe na Marekani kwa kutishiwa vikwazo. Anadai wakiendelea kupuuza red lines zake, "liwalo na liwe"...
  8. shamzugi

    JamiiForums Tanzania Huwa navutiwa sana na mistari ya nyuma ya magoti

    Salaam, Niende moja kwa moja kwenye uzi. Kila mwanaume au mwanamke kuna vitu anavutiwa navyo kwa jinsia tofauti. Kwa mwanamke huwa nikiona tu mistari ya nyuma ya goti nakuwa hoi, lakini pia akiwa mweusi na ile mistari huwa inaonekana vizuri na hapo ndipo utamu unapokua kolea. Ila pia wanawake...
Back
Top Bottom