misingi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kujitokeza kwa Mzee Warioba (Nyerere's Think Tank ) ni Ishara kuwa kuna Misingi muhimu tunaipuuza na itatugharimu

    Kama ukiwa huna Akili Kubwa na siyo Critical Thinker kamwe Siku zote hutoweza Kumuelewa Genius Mwingine wa Kizanaki Waziri Mkuu, Kada Mwandamizi wa CCM na Jaji Mstaafu Mzee Joseph Sinde Warioba kwa yale ama anayoyaona au ayasemayo. Amesema na Ameshasema mengi ila kwa leo GENTAMYCINE (Mzanaki...
  2. JamiiForums Tanzania Kijana hakikisha unatengeneza misingi bora ya kiuchumi usije kuwa tegemezi kwa wanao uzeeni

    Huwa nasema na leo narudia kusema tena "Kwa sisi ambao leo hii ni vijana tuna watoto ama tunatarajia kuwa na watoto, hakikisha unatengeneza misingi bora ya kiuchumi, kwa faida yako na wanao, usijenge fikra za kuja kuwa tegemezi kwa watoto wako hapo baadaye, watoto wako waje wakununulie new Van...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maasai hawana habari za Yesu wala Mohamad ila wamenyooka kwenye misingi yao na maadili mazuri

    Nikiwaambiaga watu ya kwamba Afrika tamaduni zetu na dini zetu za asili ni bora kuliko hizi dini zilizoletwa kwa ajili ya biashara ambazo ni ukristu na uislamu huwa wanabisha. Hebu tazama maasai, hawa jamaa wanaweza ishi na mtu yeyote. Hawana tabia za ajabu ajabu na za kishenzi kama hawa jamaa...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaume mnaoongoza wake zenu vyema kwenye misingi ya dini na imani Mungu awabariki sana

    Kichwa cha mke☺☺ WAEFESO 5:23-25 Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili. Lakini kama vile Kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo. Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye...
  5. JamiiForums Tanzania CCM ina misingi imara sana; kama wewe ni mpinzani na unabisha umeshafeli

    Nimeamka nikiwaza hali ya upepo wa siasa za Tanzania. Tanzania yenye vyama vingi vya siasa, vingi vyenye viongozi wanaoangalia maslahi yao wenyewe, wasiojenga vyama kwa nia ya kuliendeleza taifa bali kwa maslahi yao binafsi. CCM ipo sana bado, haing'olewi leo wala kesho. Vyama vingi ni vizuri...
  6. JamiiForums Tanzania Ukosoaji kwa serikali na majibu ya adhabu ya wakosoaji una tija katika misingi ya utawala bora!

    Tanzania inapitia kipindi kigumu cha mpito katika dhana ya uwajibikaji unao chagizwa na ukosoaji wa serikali na malipo ya wakosoaji toka serikalini. Ibara ya 8 ya katiba ya JMT kwa ujumla wake imetoa uhalali wa madraka ya serikali yatatokana na mamlaka ya wananchi na serikali msingi wake mkuu...
  7. JamiiForums Tanzania Je, hip hop ndio mziki bora wa wakati wote? Vipi kuhusu misingi yake?

    Hip hop ni aina ya muziki unaoelezea aina ya usanii na utamaduni uliyotokana na jamii ya Wamarekani Weusi na Walatino kunako miaka ya 1970 mjini New York City, hasa katika kitongoji cha Bronx na badae katika miji mikubwa yote Marekani alafu Dunia nzima.Muziki wa hip hop pia huchukua tabia...
  8. JamiiForums Tanzania Kutafuta chief popularity Kwa kuharibu misingi ya Elimu nchini

    Kiongoz anaingia madarakani. Anaanza. 1. Kufuta ada. 2. Kuongeza madarasa. 3. Kuondoa mitihani. 4. Kuweka kitu kipya. 5. Ameona inafaa, what,why! 6. Kupaka wanja. 7. Kuvaa pensi. 8. Kupiga singeli. Eti jangwani, Azania sekondari sio shule teule. Ref. Waliopangiwa shule za sekondari 2023 Jamani
  9. S

    JamiiForums Tanzania Goli la Messi: Uchambuzi na utangazaji wa soka ni jambo lisilo na misingi ya kuzingatia bali ni kila mtu na mtazamo wake

    Katika mechi inayoendelea muda huu, mshambuliaji Messi kafanya kazi ya ziada iliyopelekea Argentina kupata bao la kuongoza baada ya kutoa pasi nzuri kwa mfungaji. Kazi kubwa aliyofanya Messi ingefanywa na mchezaji mwingine, sifa zingeenda kwa mfungaji wa bao(mmaliziaji) na sio alietengeneza...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania Inazingatia Misingi ya Haki, Demokrasia, Usawa na Mafanikio

    "Sisi hapa Tanzania tumeamua kuizingatia misingi hiyo (haki) na nataka niwahakikishie kwamba tutajitahidi kuijenga Tanzania yenye Haki, Demokrasia , Usawa na Mafanikio. Na ndio maana katika kipindi hiki tumekuja na idea ya zile 4R's". - Rais Samia Suluhu Rais Samia ameyasema hayo katika mkutano...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Qatar ni taifa la kuigwa kwa kusimamia maadili na misingi ya nchi yao. Kwanini tusiwaige?

    Pamoja na mgao wa umeme, nafuatilia kombe la dunia, na moja kati ya vitu nilivyofurahishwa navyo, ni namna hawa wenyeji Quatar walivyosimama kidete kutetea utamaduni na mila za nchi yake. Hili ni jambo zuri na huenda katika vitu vilivyosababisha nchi hiyo kuwa juu sana kimaendeleo ni misingi...
  12. JamiiForums Tanzania Misingi mikuu unayotakiwa kuijenga kwa ajili yako au familia yako

    MISINGI MIKUU UNAYOTAKIWA KUIJENGA KWA AJILI YAKO AU FAMILIA YAKO Anaandika, Robert Heriel Mjenzi huru Andiko hili lamfaa mtu yeyote, wa umri wowote, wa jinsia yoyote, wa Hali na hadhi yoyote, wa mbari na jamii yoyote naam yeyote yule. Kwani kila nilichokiandika nimekipima, tena lugha...
  13. JamiiForums Tanzania Nawapongeza wasabato kwa kanisa lao kutovuma kwa skendo na drama

    - Kila siku hujisomea somo la wiki, ikifika jumamosi wanakusanyika kwa masaa takribani mawili kwenye vikundi vidogo kufundishana waliyojifunza na baada ya hapo ndio huingia wote kanisani kwenye ibada, hii ni nzuri kuzidi kukaa wiki nzima hujajifunza chochote kwenye biblia unasubiri tu ifike...
  14. JamiiForums Tanzania Mapenzi Marekani sasa yanafuata misingi ya vyama vya siasa

    Kadri siku zinavyokwenda hivi sasa nchini Marekani inaonekana ni ngumu sana kwa mtu wa Republican kuoa/kuolewa au kuwa na mpenzi toka Democratic na hivyo hivyo kwa Democratic kwa Republican. Mambo yamekuwa magumu.
  15. JamiiForums Tanzania SoC02 Misingi ya ukuaji kiuchumi kwa mtazamo na uzoefu wangu

    Mada Kuu: MISINGI YA UKUAJI KIUCHUMI KWA MTAZAMO NA UZOEFU WANGU. Nimefurahi kupata nafasi ya kueleza jambo kuhusu uchumi kwasababu binafsi nimejikita katika shughuli za kiuchumi kwa muda mrefu hivyo basi ninaweza kuwa na jambo la kusema kwa wadau wa maendeleo na wanajamii Forums. Kimsingi...
  16. JamiiForums Tanzania Wazazi wajikite kujenga misingi bora ya malezi ya watoto wao

    WAZAZI WAJIKITE KUJENGA MISINGI BORA YA YA MALEZI YA WATOTO WAO. Kasi ya mabadiliko ya hali ya maisha imekuwa ikitengenisha wazazi na watoto wao hadi kufikia wazazi kukosa muda wa kutosha kukaa au hata kuishi na familia zao kwa muda mrefu katika Dunia ya sasa. Katika Dunia ya sasa sio jambo la...
  17. JamiiForums Tanzania Ushiriki Huru wa Wananchi Katika Shughuli za Kisiasa Ndiyo Msingi Thabiti wa Utawala Bora

    Ushiriki wa umma katika masuala ya kisiasa na kidemokrasia hauishii kwenye kufahamu tu yanayoendelea, bali wanaoathiriwa na maamuzi wana haki ya kushirikishwa kisawasawa katika mchakato wa kufanya maamuzi hayo. Ushiriki huu ni sehemu muhimu ya utawala wa kidemokrasia. Lengo kuu la...
  18. JamiiForums Tanzania SoC02 Misingi ya Utawala Bora ni ipi? Tufanye nini ili tuwe na Utawala Bora?

    Habari zenu Wana JAMII FORUMS, Hususa ni jukwaa la "STORIES OF CHANGE" Nimatumaini yangu kuwa nyote ni wazima na mnaendelea na majukumu ya kila siku. Andiko hili litaangazia katika ngazi za utawala Hususa katika misingi ya utawala bora ni ipi?hali imekua tofauti kwa kipindi Hiki misingi ya...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Misingi ya kiimani katika mitaala inayowaongoza wataalamu wa afya

    Imani katika kutoa huduma za afya ni kitu bora sana ukizingatia kunamatukio mbali mbali yanayotokea kupitia huduma za afya katika mazingira ya huduma ikiwemo hospitali za serikali na binafsi pamoja na vituo vidogo vya afya. Matukio mengi yanayofanyika yanahusisha Imani potofu, na mazoea katika...
  20. JamiiForums Tanzania Misingi mihemuko

    "Misingi iliyojengwa kwa mihemuko hupotea kama moshi angani. Watanzania tuanze kuwekeza kwenye misingi imara ambayo haitapotelea angani kama moshi."
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…