mipaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    SoC02 Dimbwi la ajabu lisilo na mipaka wala eneo maalum linaloangamiza vijana wa Kitanzania

    Ilikua ni mapema sana majira ya saa 2 Asubuhi katika kijiji cha Hatuchekani mkoa wa Magharibi nikiwa katika mazungumzo na mzee Haambiliki, Niliweza kubaini vyanzo vya maji tiririka yanayoelekea katika dimbwi la Ajabu na linalotisha,sikuwahi tambua kama katika nchi ya Tanzania kuna Dimbwi...
  2. Hivi ni nani aliekata mipaka ya nchi hizi?

    Salam wana jamii, Wakuu naomba mwenye ujuzi wa mambo ya mipaka ya nchi mbalimbali aje anipe muongozo wa vigezo vilivyotumika kuzipendelea baadhi ya nchi kwa kuzipa ardhi kubwa, na kuzikomoa zingine kwa kuzipa ardhi ndogo. Ukiangalia namna nchi ya China ilivyopendelewa huku majirani zake...
  3. K

    Ujenzi gorofa na utaratibu wa mipaka

    Nina shida na jirani anajenga gorofa la sakafu 6, pamoja na underground parking. Shida kubwa ni kwamba, hajafuata mwongozo wa kuacha nafasi ya kutosha kati ya jengo lake na ukuta unaotutenganisha. Hii sheria inatokea wapi? Ningependa kuwa na uhakiki wa reference kama kuna member anafahamu. Pia...
  4. Watanzania wenzangu tushirikiane kwa pamoja, hawa watu wamevuka mipaka

    Bei za vifurushi vimepanda mno, ukijiunga zinaliwa fasta, najitahidi kujibana lakini wapii, hata kama kuwemo kwa tozo/kodi za serikali lakini sio sababu ya wao kutupandishia kiasi hicho, ni too much kwakweli, wamevuka mpaka. Mimi ni mpenzi na mfuatiliaji wa football, and many times naangalizia...
  5. Ni muda muafaka kwa sasa kufunga mipaka janga la njaa linakuja kwa kasi

    Watu wakila wakashiba amani inakuwepo. Ila ukiruhusu taifa lako liwe na njaa amani hutoweka kila mahali na ikizidi taifa huangamia. Bora mfumuko wa bei uwepo mana ni janga la dunia ila njaa njaaa sijui.
  6. Mstaafu wa Jeshi atuhumiwa kuua kwa risasi kisa mgogoro wa mipaka

    Jonas Ziganyige (71) mstaafu wa Jeshi la Wananchi, Mkazi wa Mbezi Juu kwa tuhuma za kumpiga risasi na kumuua Patient Romwadi (48) mfanyabiashara, Mkazi wa Wazo Mivumoni, Kinondoni katika mgogoro wa mipaka. Mtuhumiwa anadaiwa kufanya tukio hilo Julai 9, 2022 ambapo marehemu alifika eneo...
  7. F

    Serikali kufunga mipaka kwa upungufu wa chakula ni kuwaua wakulima

    Ni kweli ina nia ya kusaidia janga la njaa. Lakini kwa nini kila wakati wa kuuza bei ya chini ni wakulima tuu. Kwanini bidhaa nyigne hatua kama hizi hazichukuliwi. Sisi tunaotoa muda wetu kulima na kudharaulika tunalazimishwa kulisha watu wavivu na wengine wanaotukashifu tunapoingia shambani...
  8. Wamasai wa Kenya mnatakiwa kuheshimu mipaka

    Wanaukumbi. Serikali yetu imefanya kwa nia nzuri kulinda mipaka yetu kwa kufanya zoezi la kuweka mipaka ya Nguzo kwenye maeneo yote Loliondo. Kuna wanaharakati njaa wanadai kuwa hamna Wamasai wa Kenya wala Tanzania, tunawapa tahadhari wakiendelea kuwasikiliza wanaharakati njaa wanataletea...
  9. Ipi mipaka ya Mkuu wa Wilaya huyu kwanini ana vitisho?

    Nimepita mahala ktk wilaya fulani nimeisahau jina ila katika mkoa wa njombe mkuu wa wilaya anahutubia,na mkutano huo umeitishwa ghafla tu ktk siku ya leo ambayo inasemekana ya mazingira duniani. Wamepita wagambo kuwambia wafanyabiashara kuanzia wakubwa hadi wadogo wafunge waje kumsikiliza...
  10. Jakaya Kikwete weka mipaka kwenye urafiki

    Hivi mnajua Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mapungufu yake ya uraisi ni baba bora. Huyu mzee kwa nafasi yake amelea watoto zake kwa kuwapa fikra za kujitegemea. Jukumu lake amewawezesha kufikia malengo yao kama mzazi mwingine yeyote wajitegemee bila ya yeye. Sasa mtoto ambae utajiri wake...
  11. Kwa mfumuko huu wa bei, kwa sasa mipaka ifungwe

    Kutokana na wimbi la upandaji wa mafuta ya vyombo vya moto nchini pamoja na uchache wa chakula kulikosababishwa na mvua chache za masika, nashauri mama SSH afunge mipaka mpaka pale Nchi itakapokuwa stable. Kwa sasa Bei za vyakula hazishikiki kila Kona Bei juu. Jana nilikuwa Mpanda Kuna warundi...
  12. Mipaka halisi ya urusi ya Putin baada ya 1990 ni ipi?

    Ndugu zangu Wana jf mpaka leo wikipedia na vyanzo vingi vya mtandao vinaitambua urusi ile kubwa Kwenye ramani sasa swali langu mipaka halisi ya urusi ya sasa ni ipi? Naambatanisha picha kuonyesha urusi inavyotambulika Kwenye ramani
  13. Umewahi kumpa makavu / kumchenchia bosi wako pale alipovuka mipaka

    Wahanga wengi wa manynyaso ya mabosi ni kwenye kampuni binafsi, biashara za watu binafsi, kuajiriwa kwa baadhi ya wahindi na wachina, n.k Mkasa wangu Kuna kipindi fulani nikiwa mtaani baada ya kumaliza chuo nilipewa connection sehemu ya kujishikiza kampuni binafsi mshahara laki 2, yani...
  14. B

    Hoi hoi na Nderemo Rwanda ikifungua Mipaka yake

    Habari kutoka nchi jirani ya Rwanda zinasema mipaka yake yote hatimaye jana rasmi imefunguliwa. Ikumbukwe mpaka wa Tanzania - Rwanda (Rusumo) umekuwa umefungwa tangia March 2020 kwa sababu ya Corona. Ilikuwa ni hoi hoi na nderemo kwa wanyarwanda kina yakhe kupata hatimaye nafasi japo ya...
  15. Mipaka ya kustaajabisha duniani

    Duniani kuna mipaka ya ajabu sana ambayo wengine wetu huwanda hatuielewi. Mipaka hii ina historia zake, leo hii nitaweka ramani za baadhi ya mipaka hiyo ya ajabu, halafu siku nyingine nitajadili historia za mipaka hiyo. kama unaifahamu mipaka mingine ya ajabu, tufahamishe hapa. Kuna mipaka...
  16. Australia kufungua Mipaka yake baada ya takriban miaka miwili

    Taifa hilo limesema litafungua Mipaka yake kwa Wasafiri waliopata chanjo dhidi ya COVID19 kwa mara ya kwanza ndani ya takriban miaka miwili. Waziri Mkuu amesema Mipaka itafunguliwa Februari 21. Australia ilikuwa miongoni mwa Nchi zilizoweka kanuni kali zaidi duniani kufuatia Milipuko wa Virusi...
  17. CHADEMA acheni unaharakati mahakamani. Mmevuka mipaka. Ona Wakili Kibatala alivyonywea kuwatetea

    Kibatala: Mheshimiwa Jaji Naona tusifungue mambo mengine, itoshe tu kusema, hakuna wakili atavunja kanuni za Mahakama wala Kwenda Nje ya utaratibu wa mahakama au Taaluma yake, mengine ni mambo ya kibanadamu tu...
  18. WHO inasimama na mataifa ya Afrika, chonde chonde msifunge mipaka

    Wakati idadi ya nchi zinazotangaza marufuku ya safari za ndege kwa mataifa ya Kusini mwa Afrika ikiongezeka kutokana na hofu ya aina mpya ya virusi vya COVID-19 vya Omicron, shirika la afya la Umoja wa Mataifa ulimwenguni WHO leo limezisihi nchi kufuata sayansi na kanuni za kimataifa za afya za...
  19. Tunduma: Uwanja wenye wingi wa majajusi

    Nchi na Nchi hapa Ulimwengu lazima ziwe na mlango wa kuingilia baina yao. Mfano pale Tunduma Tanzania ndilo lango kuu la kuingia Zambia ukitokea Tanzania. Vilevile Rusumo,huko Kagera ndilo lango kuu la Tanzania na Rwanda. Tunduma,inasemekana ndilo lango linalindwa kwa gharama kubwa kupitia...
  20. Katiba ya Tanzania na Mipaka ya Uhuru wa Kujieleza

    Ni kiwango kipi cha Uhuru kinakubalika na watawala kisiwe Uchochezi? Kama Taifa tumetoa Uhuru (Demokrasia) pana sana kwenye sekta ya uchumi hasa Ubinafsishaji wa bei ya kutupwa ya mali na mashirika ya umma. Lakini tumebana sana na kwa kiwango cha kutisha Uhuru na Demokrasia ya mawazo kisiasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…