mipaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Serikali kufunga mipaka kwa upungufu wa chakula ni kuwaua wakulima

    Ni kweli ina nia ya kusaidia janga la njaa. Lakini kwa nini kila wakati wa kuuza bei ya chini ni wakulima tuu. Kwanini bidhaa nyigne hatua kama hizi hazichukuliwi. Sisi tunaotoa muda wetu kulima na kudharaulika tunalazimishwa kulisha watu wavivu na wengine wanaotukashifu tunapoingia shambani...
  2. Ritz

    JamiiForums Tanzania Wamasai wa Kenya mnatakiwa kuheshimu mipaka

    Wanaukumbi. Serikali yetu imefanya kwa nia nzuri kulinda mipaka yetu kwa kufanya zoezi la kuweka mipaka ya Nguzo kwenye maeneo yote Loliondo. Kuna wanaharakati njaa wanadai kuwa hamna Wamasai wa Kenya wala Tanzania, tunawapa tahadhari wakiendelea kuwasikiliza wanaharakati njaa wanataletea...
  3. Michael mbano

    JamiiForums Tanzania Ipi mipaka ya Mkuu wa Wilaya huyu kwanini ana vitisho?

    Nimepita mahala ktk wilaya fulani nimeisahau jina ila katika mkoa wa njombe mkuu wa wilaya anahutubia,na mkutano huo umeitishwa ghafla tu ktk siku ya leo ambayo inasemekana ya mazingira duniani. Wamepita wagambo kuwambia wafanyabiashara kuanzia wakubwa hadi wadogo wafunge waje kumsikiliza...
  4. Eric Cartman

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete weka mipaka kwenye urafiki

    Hivi mnajua Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mapungufu yake ya uraisi ni baba bora. Huyu mzee kwa nafasi yake amelea watoto zake kwa kuwapa fikra za kujitegemea. Jukumu lake amewawezesha kufikia malengo yao kama mzazi mwingine yeyote wajitegemee bila ya yeye. Sasa mtoto ambae utajiri wake...
  5. alaksh natena

    JamiiForums Tanzania Kwa mfumuko huu wa bei, kwa sasa mipaka ifungwe

    Kutokana na wimbi la upandaji wa mafuta ya vyombo vya moto nchini pamoja na uchache wa chakula kulikosababishwa na mvua chache za masika, nashauri mama SSH afunge mipaka mpaka pale Nchi itakapokuwa stable. Kwa sasa Bei za vyakula hazishikiki kila Kona Bei juu. Jana nilikuwa Mpanda Kuna warundi...
  6. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mipaka halisi ya urusi ya Putin baada ya 1990 ni ipi?

    Ndugu zangu Wana jf mpaka leo wikipedia na vyanzo vingi vya mtandao vinaitambua urusi ile kubwa Kwenye ramani sasa swali langu mipaka halisi ya urusi ya sasa ni ipi? Naambatanisha picha kuonyesha urusi inavyotambulika Kwenye ramani
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Umewahi kumpa makavu / kumchenchia bosi wako pale alipovuka mipaka

    Wahanga wengi wa manynyaso ya mabosi ni kwenye kampuni binafsi, biashara za watu binafsi, kuajiriwa kwa baadhi ya wahindi na wachina, n.k Mkasa wangu Kuna kipindi fulani nikiwa mtaani baada ya kumaliza chuo nilipewa connection sehemu ya kujishikiza kampuni binafsi mshahara laki 2, yani...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Hoi hoi na Nderemo Rwanda ikifungua Mipaka yake

    Habari kutoka nchi jirani ya Rwanda zinasema mipaka yake yote hatimaye jana rasmi imefunguliwa. Ikumbukwe mpaka wa Tanzania - Rwanda (Rusumo) umekuwa umefungwa tangia March 2020 kwa sababu ya Corona. Ilikuwa ni hoi hoi na nderemo kwa wanyarwanda kina yakhe kupata hatimaye nafasi japo ya...
  9. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Mipaka ya kustaajabisha duniani

    Duniani kuna mipaka ya ajabu sana ambayo wengine wetu huwanda hatuielewi. Mipaka hii ina historia zake, leo hii nitaweka ramani za baadhi ya mipaka hiyo ya ajabu, halafu siku nyingine nitajadili historia za mipaka hiyo. kama unaifahamu mipaka mingine ya ajabu, tufahamishe hapa. Kuna mipaka...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Australia kufungua Mipaka yake baada ya takriban miaka miwili

    Taifa hilo limesema litafungua Mipaka yake kwa Wasafiri waliopata chanjo dhidi ya COVID19 kwa mara ya kwanza ndani ya takriban miaka miwili. Waziri Mkuu amesema Mipaka itafunguliwa Februari 21. Australia ilikuwa miongoni mwa Nchi zilizoweka kanuni kali zaidi duniani kufuatia Milipuko wa Virusi...
  11. comte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni unaharakati mahakamani. Mmevuka mipaka. Ona Wakili Kibatala alivyonywea kuwatetea

    Kibatala: Mheshimiwa Jaji Naona tusifungue mambo mengine, itoshe tu kusema, hakuna wakili atavunja kanuni za Mahakama wala Kwenda Nje ya utaratibu wa mahakama au Taaluma yake, mengine ni mambo ya kibanadamu tu...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania WHO inasimama na mataifa ya Afrika, chonde chonde msifunge mipaka

    Wakati idadi ya nchi zinazotangaza marufuku ya safari za ndege kwa mataifa ya Kusini mwa Afrika ikiongezeka kutokana na hofu ya aina mpya ya virusi vya COVID-19 vya Omicron, shirika la afya la Umoja wa Mataifa ulimwenguni WHO leo limezisihi nchi kufuata sayansi na kanuni za kimataifa za afya za...
  13. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Tunduma: Uwanja wenye wingi wa majajusi

    Nchi na Nchi hapa Ulimwengu lazima ziwe na mlango wa kuingilia baina yao. Mfano pale Tunduma Tanzania ndilo lango kuu la kuingia Zambia ukitokea Tanzania. Vilevile Rusumo,huko Kagera ndilo lango kuu la Tanzania na Rwanda. Tunduma,inasemekana ndilo lango linalindwa kwa gharama kubwa kupitia...
  14. Nanyaro Ephata

    JamiiForums Tanzania Katiba ya Tanzania na Mipaka ya Uhuru wa Kujieleza

    Ni kiwango kipi cha Uhuru kinakubalika na watawala kisiwe Uchochezi? Kama Taifa tumetoa Uhuru (Demokrasia) pana sana kwenye sekta ya uchumi hasa Ubinafsishaji wa bei ya kutupwa ya mali na mashirika ya umma. Lakini tumebana sana na kwa kiwango cha kutisha Uhuru na Demokrasia ya mawazo kisiasa...
  15. F

    JamiiForums Tanzania SoC01 Je, Watanzania wataajirika nje ya mipaka kama wakifundishwa kwa Kiswahili tu?

    Nyanja: Haki za Binadamu Taswira kwa hisani ya: https://www.google.com/intl/en/permissions/using-product-graphics.html Mabadiliko ya sera ya elimu ya Feb 2015 yanalenga matumizi ya lugha ya taifa Kiswahili kuwa ndiyo lugha ya kufundishia kwy taasisi zote za elimu. Hii ni sahihi kabisa na nia...
  16. ndenjii handsome

    JamiiForums Tanzania Serikali fungueni mipaka wakulima wauze wenyewe mahindi, NFRA inawanufaisha wachache

    Baada ya kusikia serikali imetoa bilioni 50 kwa ajili ya manunuzi ya mahindi. Nikaona huu ndio wakati muafaka wa kuuza nikajaza howo zangu tatu mzigo kupeleka kwenye kitengo. Dah nilichokutana nacho tajiri atabaki kuwa tajiri nae maskini atazidi kuwa maskini hasa kwenye nchi zetu za Kiafrika...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Guinea: Jeshi kuanza kufungua Mipaka

    Jeshi Nchini Guinea limetangaza mchakato wa kufungua taratibu Mipaka na Nchi jirani ambayo baadhi ilifungwa baada ya Rais Alpha Conde kupinduliwa na mingine ilikuwa imefungwa miezi kabla Kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, Rais Conde aliamuru Mipaka ya Senegal, Sierra Leone na Guinea-Bissau...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Kuwa na mipaka

    Unaweza kuwa mtu mwema na anayejali anayeheshimu mahitaji ya watu na bado ukaweka mipaka yenye afya kwa ustawi wako mwenyewe. Jifunze wakati wa kuondoka na wakati wa kufanya kazi. Huwezi kudhibiti jinsi watu wanavyokutendea lakini unaweza kudhibiti kile unachostahimili.
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania DC Mwenda awahakikishia Wanairamba kutafuta suluhu ya migogoro ya mipaka

    MHE MWENDA AWAHAKIKISHIA WANA-IRAMBA KUTAFUTA SULUHU YA MIGOGORO YA MIPAKA. Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe Suleiman Yusuph Mwenda amewahakikishia wananchi wa kata ya Ntwike kuwa Serikali wilayani humo inaendelea kutafuta Suluhu ya mgogoro wa mpaka kati ya wilaya za kishapu, Igunga...
  20. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Unafikiri mipaka ya nchi miaka 40 ijayo itakuaje?

    Habari wakuu. Mipaka ya nchi ni kitu kinachobadirika kila leo. Miaka 30 iliyopita kulikuwa na nchi kubwa ya USSR. Leo haipo, imetoa nchi kibao. Ujerumani haikuwa nchi moja, hakukuwa na Sudan kusini wala Somaliland. Leo Kurdistan ni kama nchi, Syria inataka kuvunjika nk. Unaionaje mipaka...
Back
Top Bottom