Mipaka ya Tanganyika na Zanzibar

Yesu Anakuja

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
9,508
19,320
Kuna watu wanajitoa ufahamu kwamba Pwani yote hadi Bagamoyo ni part ya Zanzibar. Wanashindwa kuelewa kwamba hadi tunapata uhuru, 1961 Sultan alishauza maeneo mengi kwa wazungu na Tanganyika iliyachukua toka kwa wazungu yakiwa sio mali ya Zanzibar.

Swali la kujiuliza, kama ni kweli, Nyerere alipotuma mjumbe kwa karume, kwanini Karume alimwambia kuwa mamlaka ya Nyerere yanaishia Nungwi?

Hadi Mafia, Sultan aliiuza kwa wajerumani na hadi anapinduliwa alibakiwa na maeneo yale tu ambayo Zanzibar wanayo sasa hivi.
 
DP word kasababisha napata taarifa nyingi nsizozijua,
Hongereni DP word kwa biashara hii mnayotaka tufanye.

Ama mweli Kila kitu kina faida na hasara zake
 
Kuna watu wanajitoa ufahamu kwamba Pwani yote hadi Bagamoyo ni part ya Zanzibar. Wanashindwa kuelewa kwamba hadi tunapata uhuru, 1961 Sultan alishauza maeneo mengi kwa wazungu na Tanganyika iliyachukua toka kwa wazungu yakiwa sio mali ya Zanzibar.

Swali la kujiuliza, kama ni kweli, Nyerere alipotuma mjumbe kwa karume, kwanini Karume alimwambia kuwa mamlaka ya Nyerere yanaishia Nungwi?

Hadi Mafia, Sultan aliiuza kwa wajerumani na hadi anapinduliwa alibakiwa na maeneo yale tu ambayo Zanzibar wanayo sasa hivi.
Nungwi siyo alisema Chumbe
 
Ni kakisiwa Fulani bahari ya Hindi kabla ya Zanzibar achipelago
kwahiyo tangu karume alijua mipaka huko huko kwenye maji huko. ajabu yake, nimejenga karibu na mtoto na mkwe wa..........., ambao wote ni wazanzibar, na maeneo hayohayo kuna wabunge wa kizanzibar kama wawili wamejenga. dodoma, huku ni kwao ila wakienda kule, sisi kule sio kwetu. ajabu sana.
 
Tumeshakua nchi moja, hayo ya Tanganyika na Zanzibar mnayatoa wapi? Vyote ni Mali ya Jamhuri ya muungano ya Tanzania
kaliongee hili zanzibar uone kama utaeleweka. utafukuzwa. pia, kuna mmoja amesema, zamani tulikuwa Tanzania bara na Tanzania visiwani. upande mmoja ukaanza kujipromote polepole ukajiita ni nchi ya zanzibar,m upande mwingine ukapuuzia. sio nchi ya Tanganyika.
 
kwahiyo tangu karume alijua mipaka huko huko kwenye maji huko. ajabu yake, nimejenga karibu na mtoto na mkwe wa..........., ambao wote ni wazanzibar, na maeneo hayohayo kuna wabunge wa kizanzibar kama wawili wamejenga. dodoma, huku ni kwao ila wakienda kule, sisi kule sio kwetu. ajabu sana.
Zanzibar nationalism Iko strong sana.Nyie machogo hamna uzalendo na Tanganyika yenu
 
Back
Top Bottom