Ukianza na AFCON ambayo aliaminiwa sana na Amunike lakini alizingua sana, akawa anaruka ruka tu, nakumbuka mechi moja alitolewa mapema sana na Mkude aliingia kutuliza dimba.
Ukija kwa Rivers UTD mechi zote mbili hakuna cha maana alichofanya zaidi ya kuruka ruka.
Mechi ya juzi dhidi ya Al Hilal...
Ndugu zangu Jana October 3/2022 mh Rais Samia alikuwa anawaapisha viongozi aliowateua katika mabadiliko madogo aliyoyafanya katika Balaza la mawaziri, Ambayo siku zote hulenga katika kuboresha utendaji na kuleta ufanisi kazini utakaokuwa na tija katika kuwatumikia na kuwahudumia wananchi.
Pili...
Na Taban J
Kumekuwa na nadharia kuwa, kupanda kwa bei ya mazao ya chakula kumesababishwa na kufunguliwa kwa mipaka. Jambo linalo pelekea mazao ya chakula kubebwa na majirani zetu wa Uganda na Kenya hivyo kusababisha upungufu wa chakula na kupelekea bei ya mazao kupanda. Huku lawama ikibebeshwa...
Ilikua ni mapema sana majira ya saa 2 Asubuhi katika kijiji cha Hatuchekani mkoa wa Magharibi nikiwa katika mazungumzo na mzee Haambiliki, Niliweza kubaini vyanzo vya maji tiririka yanayoelekea katika dimbwi la Ajabu na linalotisha,sikuwahi tambua kama katika nchi ya Tanzania kuna Dimbwi...
Salam wana jamii,
Wakuu naomba mwenye ujuzi wa mambo ya mipaka ya nchi mbalimbali aje anipe muongozo wa vigezo vilivyotumika kuzipendelea baadhi ya nchi kwa kuzipa ardhi kubwa, na kuzikomoa zingine kwa kuzipa ardhi ndogo.
Ukiangalia namna nchi ya China ilivyopendelewa huku majirani zake...
Nina shida na jirani anajenga gorofa la sakafu 6, pamoja na underground parking.
Shida kubwa ni kwamba, hajafuata mwongozo wa kuacha nafasi ya kutosha kati ya jengo lake na ukuta unaotutenganisha. Hii sheria inatokea wapi?
Ningependa kuwa na uhakiki wa reference kama kuna member anafahamu. Pia...
Bei za vifurushi vimepanda mno, ukijiunga zinaliwa fasta, najitahidi kujibana lakini wapii, hata kama kuwemo kwa tozo/kodi za serikali lakini sio sababu ya wao kutupandishia kiasi hicho, ni too much kwakweli, wamevuka mpaka. Mimi ni mpenzi na mfuatiliaji wa football, and many times naangalizia...
Watu wakila wakashiba amani inakuwepo. Ila ukiruhusu taifa lako liwe na njaa amani hutoweka kila mahali na ikizidi taifa huangamia. Bora mfumuko wa bei uwepo mana ni janga la dunia ila njaa njaaa sijui.
Jonas Ziganyige (71) mstaafu wa Jeshi la Wananchi, Mkazi wa Mbezi Juu kwa tuhuma za kumpiga risasi na kumuua Patient Romwadi (48) mfanyabiashara, Mkazi wa Wazo Mivumoni, Kinondoni katika mgogoro wa mipaka.
Mtuhumiwa anadaiwa kufanya tukio hilo Julai 9, 2022 ambapo marehemu alifika eneo...
Ni kweli ina nia ya kusaidia janga la njaa. Lakini kwa nini kila wakati wa kuuza bei ya chini ni wakulima tuu.
Kwanini bidhaa nyigne hatua kama hizi hazichukuliwi. Sisi tunaotoa muda wetu kulima na kudharaulika tunalazimishwa kulisha watu wavivu na wengine wanaotukashifu tunapoingia shambani...
Wanaukumbi.
Serikali yetu imefanya kwa nia nzuri kulinda mipaka yetu kwa kufanya zoezi la kuweka mipaka ya Nguzo kwenye maeneo yote Loliondo.
Kuna wanaharakati njaa wanadai kuwa hamna Wamasai wa Kenya wala Tanzania, tunawapa tahadhari wakiendelea kuwasikiliza wanaharakati njaa wanataletea...
Nimepita mahala ktk wilaya fulani nimeisahau jina ila katika mkoa wa njombe mkuu wa wilaya anahutubia,na mkutano huo umeitishwa ghafla tu ktk siku ya leo ambayo inasemekana ya mazingira duniani.
Wamepita wagambo kuwambia wafanyabiashara kuanzia wakubwa hadi wadogo wafunge waje kumsikiliza...
Hivi mnajua Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mapungufu yake ya uraisi ni baba bora. Huyu mzee kwa nafasi yake amelea watoto zake kwa kuwapa fikra za kujitegemea. Jukumu lake amewawezesha kufikia malengo yao kama mzazi mwingine yeyote wajitegemee bila ya yeye.
Sasa mtoto ambae utajiri wake...
Kutokana na wimbi la upandaji wa mafuta ya vyombo vya moto nchini pamoja na uchache wa chakula kulikosababishwa na mvua chache za masika, nashauri mama SSH afunge mipaka mpaka pale Nchi itakapokuwa stable.
Kwa sasa Bei za vyakula hazishikiki kila Kona Bei juu. Jana nilikuwa Mpanda Kuna warundi...
Ndugu zangu Wana jf mpaka leo wikipedia na vyanzo vingi vya mtandao vinaitambua urusi ile kubwa Kwenye ramani sasa swali langu mipaka halisi ya urusi ya sasa ni ipi? Naambatanisha picha kuonyesha urusi inavyotambulika Kwenye ramani
Wahanga wengi wa manynyaso ya mabosi ni kwenye kampuni binafsi, biashara za watu binafsi, kuajiriwa kwa baadhi ya wahindi na wachina, n.k
Mkasa wangu
Kuna kipindi fulani nikiwa mtaani baada ya kumaliza chuo nilipewa connection sehemu ya kujishikiza kampuni binafsi mshahara laki 2, yani...
Habari kutoka nchi jirani ya Rwanda zinasema mipaka yake yote hatimaye jana rasmi imefunguliwa.
Ikumbukwe mpaka wa Tanzania - Rwanda (Rusumo) umekuwa umefungwa tangia March 2020 kwa sababu ya Corona.
Ilikuwa ni hoi hoi na nderemo kwa wanyarwanda kina yakhe kupata hatimaye nafasi japo ya...
Duniani kuna mipaka ya ajabu sana ambayo wengine wetu huwanda hatuielewi. Mipaka hii ina historia zake, leo hii nitaweka ramani za baadhi ya mipaka hiyo ya ajabu, halafu siku nyingine nitajadili historia za mipaka hiyo. kama unaifahamu mipaka mingine ya ajabu, tufahamishe hapa.
Kuna mipaka...
Taifa hilo limesema litafungua Mipaka yake kwa Wasafiri waliopata chanjo dhidi ya COVID19 kwa mara ya kwanza ndani ya takriban miaka miwili. Waziri Mkuu amesema Mipaka itafunguliwa Februari 21.
Australia ilikuwa miongoni mwa Nchi zilizoweka kanuni kali zaidi duniani kufuatia Milipuko wa Virusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.