10 Julai 2020
Siasa za Tanzania na uchaguzi 2020. Kipindi cha Mwandishi wa habari mahiri, mwanadiplomasia na Mwanasheria wa Mahakama Kuu ndugu Jenerali Ulimwengu anazungumza na Bernard Membe.
Baada ya leo Halmashauri Kuu ya CCM ikiwa imeunga mkono kufukuzwa uanachama toka CCM siku ya...