Habari zenu wanajamvi,
Nikiwa nipo mapumzikoni huku kanda ya ziwa nikijificha na hii hatari ya corona huko mjini, sasa kuna kadogo hapa kapo form 2, kakaniuliza "Brother wewe si ulisoma Sayansi Advance" Nikakajibu Yes. Akaendelea, Basi ngoja nikuletee maswalai ambayo nimemuuliza mwalimu wangu...