Mimi na wewe milele...

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
21,225
36,239
Njiwa🐦 peleka salamuu kwa yule wangu muhibu 🥰
Umueleze, afahamu... yeah ndio wangu wa kuzikana...😇.
Hali yangu hamuhamu, Mahaba yamenisibuu..

Mchana kutwa nachekaa (tabasamu), na yeye ndio sababu. Na jioni ikifika, kumbato lake nahitaji.. 🤗

Pendo langu kwake halichuji, ndilo laniongezea Mahaba juu yake...

Njiwa usihadaike, nenda ulete majibu,
Nenda upesi ufike, mkimbilie (Too).
Mbele yake utamke, ni yeye pekee wa kunitibu.

Ukifika tafadhali sema naye taratibu.
Ukisema kwa ukali, mambo utayaharibu...
Kamwambie sina mwingine, penzi letu lizidi kushamiri.

Ewe njiwa, peleka salamu kwa wangu Muhibu Too 🥰.




Screenshot_20220209-233703_Samsung Internet.jpg


Love you so much Too.

Kasinde.
 
Kati ya watu nisio wakubali ni huyu kasie, hawanaga hoja wanaongeaga ujingaujinga tu mtupu
 
Kati ya watu nisio wakubali ni huyu kasie, hawanaga hoja wanaongeaga ujingaujinga tu mtupu
Jamii forum
Where we dare to talk openly

Mkuu Google maana yake

Nakuongezea Google na maana ya socialization
 
Sie wengine tunasikiliza "usilazimisheee!!! Utazeeka vibaya asikubabaisheeee!!! umeachwa weeee umeachwaaa!!! Utampata wako mtapendanaeee"

Siufahamu huo wimbo, naomba uweke hapa tafadhali niusikilize. Au nani ameuimba niutafute.
 
Back
Top Bottom