Kwema wakuu?
Nilikua nimekaa mahali ninakula msosi, kuna jirani yangu pembeni akawa anaongea na mkewe kwenye simu. Ebana wanavyoongea hadi raha yani. Mkewe anamuuliza jamaa siku yake imeendaje, anamuuliza anakula nini na pia amemsisitiza jamaa awahi kurudi home jion.
Kwa upande wangu...
Mi ni miongoni mwa Wana CCM ambao sikupendezwa na Mheshimiwa Tundu Lissu Kupigwa risasi ,
Mimi ni Miongoni mwa Wana CCM ambao hatukukubaliana na jinsi nchi ilivyokuwa inaendeshwa na Bwana Magufuli, Mimi na akina Kagasheki, Mwandosya, January Makamba na Butiku tulikuwa hatukubaliani na hayo...
Habari za asubuhi wana..
Huku duniani kuna watu nahisi wana matatizo ya kiakili na wanahitaji kumuona daktari.
Kuna hizi tabia nachukia sana kama mtu kuongea na mimi hadi akusonge songe!!atakupiga piga au kukuskuma huku mkipiga stori kawaida tuu..
Mwingine unaongea nae unaona kama anakurusha...
Tanzania miaka hii ya karibuni tumemtoa Mshambuliaji Hatari kabisa Mbwana Ali Samatta na kiukweli ametutangaza Watanzania ma Kaitangaza vyema Tanzania yetu.
Na leo Mightier natabiri hapa hapa kuwa kwa huu Uchezaji mzuri na wa Kiwango cha Juu na cha Kimataifa anachokicheza sasa akiwa Yanga SC na...
Ni ndugu yangu mtu mzima, namwita shangazi, sijawahi gombana nae, na binafsi namwona ni mtu mwema kwangu, na nimefahamiana naye toka utoto wangu hadi utu uzima huu, kipindi cha likizo nlikuwa nashinda kwake miezi mingi kabla ya kwenda home, ila kipindi cha hivi karibuni amekua na tabia ambazo...
Nimepita Mwenge na Kununua Sahani yenye Mseto wa Matunda yote Muhimu kwa Tsh 1000/= tu na kuna Vijana wa Chuo nimekuta wamenunua Chips na Mishikaki kwa Tsh 2500/= na wanakula kwa Kushea ( Kupeana Assist )
Cha Kushangaza Wao wakawa wananicheka Mightier kwa Kula Sahani yangu ile ya Mseto wa...
Habari za asubuhi ndugu zang wa JF,
Ama baada ya salam naomba nielekee sasa kwenye mada yangu. Ndugu zangu wakati nchi yetu inalazimishwa kuingia katika mfumo wa vyama vingi na nchi za magharibi, serikali ya Tanzania chini ya raisi wa wakati huo mzee Rukhsa ilikataa mfumo huu kwa kuona kwamba...
Kuna Habari kama Sio stori inasomeka kama ifuatavyo
Huyu Mandela aliyeiongoza South Africa alikuwa Feki alitengenezwa na Makaburu, Makaburu walimuua Mandela halisi halafu Wakamtengeza wa kwao ili awe Kibaraka wao hapo SA
Watu wanauliza Kwamba iweje Mandela aliyefungwa miaka 27 Jela halafu...
Mh Rais Samia
Mimi kama mwananchi wako nakushauri kwa mara nyingine tena ili kusiwe na hatia juu yako Ila ni wazi kabisa polisi wetu wanakuchafulia na kukutia doa utawala wako.
Mpumzushe Sirro msaidie apumzike kwa heshima jeshi la polisi chini yake limechafuka Sana na Askari wengi wanaumizwa...
Kabla ya Mbowe kusomewa mashtaka, watu waliipa Jamhuri "benefit of doubt" kwamba huenda ina ushahidi wa maana. Watu wakahisi labda Mbowe ana uhusiano na makundi ya kigaidi kama Al Shabab, Al Queda, Boko Haram etc na pengine anapeleka vijana huko kwa ajili ya mafunzo.
Hayo ndio yalikua matarajio...
BAKI NA MIMI
Email: halfanhamis337@gmail.com
Yusto alimaliza kusoma ujumbe huo kutoka kwa Brandina wenye utani ndani yake, akainua macho yake akamtazama Caren akakuta nae anamtazama.
"vipi"
"mmh poa tu vipi"
Waliongea baada ya kutazama kwa muda kila mmoja akaonyesha kama hamna kilichotokea...
Bunge la Guinea kwa Vikao vyake halali kabisa lilijiongezea posho na kupitisha kuwa Raisi aliyepo Raisi aliyepo ruksa kugombea tena
Kikosi kimoja cha makomandoo bila kushirikisha vikosi vingine vya jeshi wakaenda kumteka Raisi Condé na kumficha wanakojua wao.
Mimi bado namtambua Rais Conde...
Wakuu, jambo likikuchanganya ni bora kushare ili upate mawazo mapya.
Mimi nimehitimu chuo miaka 8 imepita. Kipindi chote cha masomo tangu darasa la kwanza nina rekodi nzuri ya ufaulu na uwezo wa kufanya mambo mbali mbali hasa ya kiubunifu, n.k.
Mara baada ya kuhitimu nilifanikiwa kupata kazi...
Kupitia ziara aliyoifanya Mh Raisi ya kutembelea mkoa wa Pwani hususani (W) ya Bagamoyo
Baada ya kupewa nafasi ya kusalimia wananchi na kusema mahitaji ya Wana Bagamoyo, Mh Mbunge wa Jimbo hilo la Bagamoyo,
Takwimu alizotoa Mh mbunge wa Bagamoyo bwana Mkenge ni za kupikwa, kwamba, (W) ya...
Habari wakuu sana.
Mmebarikiwà sana na Mwenyezi Mungu.
Aisee moja kwa moja kwny hoja mi nna sifa zifuatazo.
nikiona mtu ana shida naumia sn mpk machozi hunilenga, mfano mtoto anapigwa au mtu yeyote Yule au nikiona mtu analia kwa uchungu.
napenda kukaa kimya nikiwa peke yangu kuliko nikiwa...
Natanguliza shukrani za dhati kwa wanajukwaa Mimi ni mhitimu wa clinical medicine mwaka 2021
Naomba nafasi ya kujitolea kwenye dispensary au kituo Cha afya popote inchini kikubwa tu nipate Malazi na chakula🙏
Nipo shinyanga
Mawasiliano 0746532392
Ni misimamo yangu kwamba;
Sipandi bodaboda isiyo kuwa na kioo (side mirror), maana mambo ya kugeuziwa shingo kila muda ujinga huo sitaki, Mara ageuke nyuma akosee tuelekee mtaroni spendi kabisa!
Sipandi bodaboda ya bonge au mtu mwenye kitambi; Haiwezekani mi nilipe buku halafu siti yote akalie...
Kwa jina Naitwa Ernest ni dereva Uber na Bolt mwenye uzoefu katika kazii hii nina leseni yenye madaraja yote nilikuwa natafutaa Gari ya kazi iwe yenye private namba Au commercial kwa ajili ya kazi '
Kwa mawasailiano zaidi
Ernest : +255628729873
Naomba ushirikiano wenu
Habari za siku nyingi
Hakika tumepata kujionea kilichotokea na kinachoendelea kutokea kwenye ardhi ya Afghan
Kwa hali ilivyo pale asia ya kati ni dhahiri sasa tujiandae kushuhudia matukio makubwa ya ugaidi zaidi pengine kuliko hata ilivyowahi kutokea
Taliban wao walipokuwa wanapigana...