falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,158
- 9,239
Habari za siku nyingi
Hakika tumepata kujionea kilichotokea na kinachoendelea kutokea kwenye ardhi ya Afghan
Kwa hali ilivyo pale asia ya kati ni dhahiri sasa tujiandae kushuhudia matukio makubwa ya ugaidi zaidi pengine kuliko hata ilivyowahi kutokea
Taliban wao walipokuwa wanapigana kuichukua tena ardhi ya Afghan walikuwa wanashirikiana vikundi washirika vya kigaidi au vya kimujahedeen kufika malengo yao
Sasa Taliban imepata ilichokuwa inakitaka na ndio kipindi hiki hiki ambacho Taliban wanataka kuudhihirishia ulimwengu kuwa wao sio magaidi kama dunia ilivyoamini
Swali je Taliban itajiweka upande upi ambao vikundi washirika wake wataridhika na mamlaka mapya ya Taliban
Tumeona Taliban imefungulia magereza yote yaliyokuwa na wafungwa wa ugaidi
Je Taliban itaweza vp kuzuia watu Hawa wasifanye ugaidi
Je Taliban itakubali kugawana maslah na vikund vingine vya kimujahedeen na Kama alshabab ambapo kwenye uso wa dunia Taliban inajaribu kutuonyesha wao ni malaika
Nasisitiza marekani haijashindwa kuzuia Taliban marekani imeamua kuudhihirishia ulimwengu umuhimu wa demokrasia kwa kuachia waafghan kufanya wanachokitaka
Karibuni
Nimewamiss sana karibu miaka miwili mitatu hii nimekuwa kimya sana jamiiforums