Kwamba kama Baba angemuoa Mama mwingine nisingezaliwa mimi?

FYATU

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2011
Posts
5,882
Reaction score
5,087
Au kwa upande mwingine kama Mama angeolewa na Baba mwingine nisingezaliwa mimi?. Nimetumia neno "kuoa kuolewa" kuilinda staha badala ya neno "kukutana".

Huenda ikawa kama swali tusilopaswa kujishughulisha nalo sana ali miradi wewe tayari upo basi ISHI.

Lengo hapa ni kukumbushana iwapo hivyo ndiyo ilivyo basi hatuna budi Watu kuthamini maamuzi ya Wazazi wote wawiili kwa uamuzi wao bila kujali walikutana kwenye mazingira rasmi au ya kushtukizana.

Ingawa kuna mengi kwa upande wa imani zetu, wengi tukiamini kila Mja ni kutimia tu kwa mpango uiokuwepo tokea awaii.
 
umewaza jambo nilishagawaza asee🤣
Unamkuta mtu anamchukulia poa Mzazi wake labda kwa sababu hakuwa karibu kwenye malezi anasahau kabisa kuwa juhudi na uchaguzi wake ndio chanzo cha uwepo wake. Mzazi ni wa kusamehewa tu maana alishacheza sehemu yake ya ku kuumba
 
Au kwa upande mwingine kama Mama angeolewa na Baba mwingine nisingezaliwa mimi?. Nimetumia neno "kuoa kuolewa" kuilinda staha badala ya neno "kukutana".

Huenda ikawa kama swali tusilopaswa kujishughulisha nalo sana ali miradi wewe tayari upo basi ISHI.

Lengo hapa ni kukumbushana iwapo hivyo ndiyo ilivyo basi hatuna budi Watu kuthamini maamuzi ya Wazazi wote wawiili kwa uamuzi wao bila kujali walikutana kwenye mazingira rasmi au ya kushtukizana.

Ingawa kuna mengi kwa upande wa imani zetu, wengi tukiamini kila Mja ni kutimia tu kwa mpango uiokuwepo tokea awaii.
Kwanza kabisa nikujuze kungali mapema kabla ya uzi kuchangamka.

Baba yako mzazi anayemfahamu ni mama yako tu. Wengi watabisha lakini ukweli ni kwamba kitanda hakizai haramu
 
Ni kweli ila walau basi itokee bahati umfananie baba yako.
 
Au kwa upande mwingine kama Mama angeolewa na Baba mwingine nisingezaliwa mimi?. Nimetumia neno "kuoa kuolewa" kuilinda staha badala ya neno "kukutana".

Huenda ikawa kama swali tusilopaswa kujishughulisha nalo sana ali miradi wewe tayari upo basi ISHI.

Lengo hapa ni kukumbushana iwapo hivyo ndiyo ilivyo basi hatuna budi Watu kuthamini maamuzi ya Wazazi wote wawiili kwa uamuzi wao bila kujali walikutana kwenye mazingira rasmi au ya kushtukizana.

Ingawa kuna mengi kwa upande wa imani zetu, wengi tukiamini kila Mja ni kutimia tu kwa mpango uiokuwepo tokea awaii.
Haya maswali mimi nimejiuliza sana mpaka nikaamua kuacha baada ya kuumia kichwa kwa overthinking
 
Ameoa/olewa na mwingine ndo maana umezaliwa wewe sasa.
 
Hii sasa ndio tunaita kizunguzungu cha fikra.Kwa hiyo kama Baba angemuoa Mama wa Mpanzu ningezaliwa mimi au Mpanzu?.
 
Kwanza kabisa nikujuze kungali mapema kabla ya uzi kuchangamka.

Baba yako mzazi anayemfahamu ni mama yako tu. Wengi watabisha lakini ukweli ni kwamba kitanda hakizai haramu
Kuna baadhi ya kinamama hawafahamu baba halisi wa watoto wao.
 
Au kwa upande mwingine kama Mama angeolewa na Baba mwingine nisingezaliwa mimi?. Nimetumia neno "kuoa kuolewa" kuilinda staha badala ya neno "kukutana".

Huenda ikawa kama swali tusilopaswa kujishughulisha nalo sana ali miradi wewe tayari upo basi ISHI.

Lengo hapa ni kukumbushana iwapo hivyo ndiyo ilivyo basi hatuna budi Watu kuthamini maamuzi ya Wazazi wote wawiili kwa uamuzi wao bila kujali walikutana kwenye mazingira rasmi au ya kushtukizana.

Ingawa kuna mengi kwa upande wa imani zetu, wengi tukiamini kila Mja ni kutimia tu kwa mpango uiokuwepo tokea awaii.
Maisha yako duniani ni mpango kamili wa muda mrefu kabla hujazaliwa.. Ni complete road map tangu mimba mpaka kifo

Inawezekana huyo Baba pia si wako; Ka hiyo Baba yako na Mama yako hawajakutana ndo ukazaliwa, ni X wa Mama wa Primary
 
Ila hii ni kiimani zaidi.
Maisha yako duniani ni mpango kamili wa muda mrefu kabla hujazaliwa.. Ni complete road map tangu mimba mpaka kifo

Huo ni mpango wa uwepo wako na uliokuwapo kabla ya kutungwa hata mimba yako, mada iishie hapo tuongelee mechi ya Simba sasa au kama sio mwanamichezo njoo tuzungumzie siasa na wanasiasa, kama na uko haupo basi tuongelee hata muziki, nikisema muziki namaanisha muziki na sio huu uhuni wenu wa siku hizi
 
Back
Top Bottom