mimi

  1. Mr Beach Boy

    Mimi ni mgeni Dar, je kukaa baadhi ya sehemu kunaweza kushape maendeleo yako?

    Kukaa sinza, Kinondoni, Mbweni na Goba Au kukaa Buza, Mbagala, Mbande, Kongowe, Manzese, Tandika nk Ipi Bora?
  2. R

    Kilio na sala ya Lissu toka Ukonga: Watanzania mmelala? Mimi sijalala

    Watanzania, mmelala? Mimi sijalala hadi sasa! Hii si leo, hii si kesho – hii ni vita ya maisha na uhai wangu! Niko hapa peke yangu, njaa inaungua ndani yangu, sina chochote kinywani, wala sijui nini kinachoendelea kuhusu hatima yangu! Mimi si jambazi, si gaidi. Kama ni hivyo, nipelekeni mbele ya...
  3. A

    KERO Nakerwa na Kampuni hii kuni-SMS kila wiki kutaka kununua mkopo wangu wa HESLB wakati mimi siwajui

    Juzi kati niliona kuna Mdau amelalamika kuwa kuna kampuni imekuwa ikimtumia ujumbe na wakati mwingine kumpigia kwamba wanataka kununua mkopo wake uliosalia kutoka Bosi ya Mikopoy a Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), sasa nami nimeona niweke hapa kero yangu inayoendana na hiyo. Kuna hii kampuni...
  4. fimboyaukwaju

    Mimi ningekuwa Ayatollah Ali Khamenei

    Mimi ndio ningekuwa yeye,ningeufyata mapema,ningejiuzulu na kuwaachia wananchi kuchagua viongozi wanaowataka.Ningeisalimisha nchi kipigo chote hiki na kusalimisha nchi kuharibiwa.Sasa angalia watu wanakufa,viongozi wote wanauliwa kila siku na nchi inabomolewa na watarudi nyuma miaka 100 na sijui...
  5. Tundusami

    Punyeto haimalizi nguvu za kiume mimi ni shahidi.

    Nimepiga puchu tangu nikiwa na miaka 11 leo nina miaka 44 lakini bado nipo ngangari kitandani.msidanganywe na wauza madawa mkapotezq ela zenu bule.
  6. L

    Natafuta Mchumba wa Ndoa, Mimi siyo Mtu wa kujichanganya sana na watu huko Mitaani ndiyo maana nimeleta hoja zangu hapa

    Habari wanajamii, Mimi ni mwanaume mwenye umri wa early 30’s, Mkristo, ambaye kwa sasa sina mtoto na sijawahi kuwa kwenye ndoa. Nafanya kazi kama muajiriwa katika sekta binafsi. Kwa ufupi kuhusu mimi: Urefu: sentimita 185 Muonekano: Mwembamba, mweusi Mtindo wa maisha: Baada ya majukumu ya siku...
  7. A

    KERO Makurunge Sekondari, Wanafunzi wa kidato cha Pili na Nne wanalazimishwa kukaa Bweni

    Ni mmoja wa wazazi wa mtoto anae soma shule ya Sekondari Makurunge iliyopo mkoa wa Pwani, wilaya ya kisarawe kata ya Kiluvya. Walimu wa shule hii ya Sekondari wameanzisha mradi binafsi wa kujenga hostel za kukaa wanafunzi hivyo wamekua wakilazimisha wanafunzi hasa wa kidato Cha pili na nne...
  8. M

    Said Issa Mohammed: Heche tuheshimiane, siwezi kula nguruwe mimi

    Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA Zanzibar Said Issa Mohammed amemtaka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche @hechejohn kumheshimu na kutokutoa lugha zisizo sahihi dhidi yake ikiwemo ya kuwa ‘akazie swaum kwa kula nguruwe'. Akieleza kuwa yeye ni muislam na ulaji wa nguruwe kwa misingi...
  9. A

    KERO Udhalilishaji kwa Watumishi na Nidhamu Mbovu ya Msimamizi wa Maktaba ya Mkoa Iringa iliyopo chini ya TLSB

    Mimi ni Mwanataaluma na mdau wa Maktaba ya Mkoa Iringa, pia ni Lecturer katika moja ya Chuo hapa Iringa Mjini. Nimekuwa nikitumia Maktaba ya Mkoa kwa muda mrefu sasa, lakini mimi pamoja na wadau wengine wa Maktaba tumekuwa tukishuhudia mara kwa mara udhalilishaji wa dhahiri unaofanywa na...
  10. Vien

    Mimi Ndo Niliyetoa Toner, Kwa Mama Yake Nilifuata Base Tuu

    Kuna siku nilikaa nikamtazama mwanangu kwa makini sana. Sio tu sura. Sio tu macho. Sio tu tabasamu. Tabia. Misimamo. Namna anavyoongea. Namna anavyojibu watu. Hata namna anavyokasirika. Nilicheka kimya kimya nikasema, “Huyu ni mimi kabisa.” Nilimkumbuka mama yake. Tulikutana mwaka 2015...
  11. A

    KERO Askari wa Hifadhi ya Taifa, Nyerere tuna UGUMU WA MAISHA na tunadai posho

    Habari; Mimi ni askari wa hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) ninayefanya kazi katika hifadhi ya Taifa Nyerere. Kwa kipindi kilefu askari wa hifadhi tumekuwa tukipitia ugumu wa maisha kutokana na kadhaa kama ifuatavyo I) kutokulipwa staiki zetu Kwa Wakati, lakin pia Malipo ya staiki mbali...
  12. PSEUDOPODIA

    Kwa hali ilivyo mpaka sasa, ingekuwa ni mimi ningecheza karata moja tu na ndo iliyobaki

    Kwa hali ilivyo mpaka sasa ningecheza karata moja ambayo watu wasinge amini macho yao. Maana sina cha kupoteza, sasa ili kumaliza hiki kipindi kilichobaki ili nikapumzike zangu lakini pia niwe nimeweka historia na niendelee kuheshimika hata nikiondoka. Ningemteua Tundu Lisu awe mbunge kisha...
  13. VN Warehouse Limited

    Kama unaona mimi ni bahili sana kwenye kutumia pesa zangu, nipe zako ntumie unavotaka

    Habari wana JF, Kuna tabia imekuwa ya kawaida siku hizi - mtu anakupangia jinsi ya kutumia pesa zako. Ukihifadhi, unasemwa ni bahili. Ukipanga bajeti, unasemwa huna moyo wa kutoa. Ukikataa matumizi yasiyo na mpango, unasemwa una roho ngumu. Lakini swali langu ni moja tu: Kama unaona mimi ni...
  14. Pacific sixteen

    Naomba kukaribishwa mimi Pacific sixteen

    Mimi ni new member humu JamiiForums naomba mnipokee. Ndugu zangu humu
  15. Chizi Maarifa

    Kwa wale wenye changamoto za kiuchumi na kukosa wanaume wanione mimi please

    Yes, udugu ni kufanana walisema waswahili. Nimeona niweke hili wazi sababu najua kuna watu wanachangamoto hizo za kiuchumi na pia kukosa mwanaume shababy mwenye uwezo kiuchumi na kimahusiano. Ni rahisi tu. Nione mimi. Wala usihangaike. Hakikisha unaniona mimi. Mimi napatikana nchi mbalimbali...
  16. M

    Wakati nyie mnamcheka Kabudi kujitambulisha ameaoma St Augustine. Mimi nasoma Cv ya kocha wa Yanga

    Mpira wanaouche Yanga unatisha
  17. loose Nut

    Yani Ndaro ametushinda sisi wabeba box? Nimeamua na mimi kuanzisha channel yangu

    Dah Ndaro mchekeshaji maarufu Tanzania hasa kwenye mitandao ya kijamii kavuta ndinga kali Audi Q 6 yenye thamani ya shiingi million karibia 60. Na hii ni ndinga yake ya pili. Watu bongo wanapiga hela ndefu hata kuliko sisi wabeba box. Million 60 siyo mchezo kibongobongo kwa gari tu. Hii...
  18. Sifi Leo

    "Mimi ni serikali, Mimi sio chadema" Samia unalipeleka wapi taifa UKIWA chadema hurusiwi kukemea? Msukuma bhana

    Hii kauli ya msukuma kujiita serikali imetoka wapi? Kwa hiyo UKIWA ccm wewe ndo serikali sio? King msukuma kujiita ccm na kumtamkia mwekezaji yakuwa yeye sio chadema Ina maana Gani? UKIWA chadema hurusiwi kukemea mwovu? Pamoja na yaliyotokea 29. Bado ccm Ina viongozi wapumbavu wanao toa kauli...
  19. ELI COHEN

    Ni mimi pekee naona huduma za mitandao zinasumbua?

    Ni mimi pekee naona au ni kama miaka miwili hivi mfululizo huduma za mitandao zimekuwa mbovu, sio internet, sio calls. Au ni haka kasmart kitoch kangu ndio jau?😁
  20. A

    KERO Ajira Mpya Kakoko, Kigoma: Hatujalipwa pesa za kujikimu

    Mimi ni mwalimu wa Ajira mpya wa kada ya Ualimu (Sekondari), halmashauri ya wilaya ya Kakonko mkoa wa kigoma. Nimeajiriwa yangu tarehe 24 April 2025 nilitakiwa kulipa kiasi cha Tshs 1,095,000/= kama malipo ya pesa ya kujikimu lakini mpaka hivi leo nimelipa kiasi cha Tshs 186,000/= kama punguzo...
Back
Top Bottom