mimba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DR HAYA LAND

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha yalivyo ni Bora ukibeba Mimba uzae tu kuliko kuitoa

    Jana nilibahatika kwenda kwa Dokta X aambaye kila Mtu nadhani anamjua anajinasibu kuwa anatibu Matatizo ya uzazi na hata Msanii mmoja ambaye yupo katika msiguano na Basata alishamfanyia Promo katika nyimbo kwenye upande wa video katika intro. "Je utanipenda" I guess it was 2015 Mada yangu...
  2. 44mg44

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utafiti binafsi: Wanawake huwa hawafurahii kufanya mapenzi kama hawako katika siku za kupata ujauzito

    Mwanamke huwa anapata hamu kwa kipindi maalum, sio kila siku, yaani yupo kama ng'ombe jike huwa Ana period maalum. Ukikutana nae kimapenzi akiwa hayuko kwenye muda niliotaja hata upigeje hatapata utamu wowote, ingawa atakudanganya tu! Lakini ukimkuta kwenye siku ambazo yai lake lipo tayari...
  3. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mimba ikiharibika, kutolewa au kutoka yenyewe mwanamke anatakiwa kupatiwa cPAC haraka, ni muhimu

    Kwa Tanzania kitendo cha kutoa mimba bila sababu za kitabibu ambazo hazikwepeki kufanya hivyo kwa faida ya mwanamke aliyebeba ujauzito ni kosa kisheria. Pamoja na hivyo, bila kujali mimba imetoka yenyewe au imetoka bahati mbaya au imetolewa makusudi, hiyo haiondoi huduma ambayo mwanamke...
  4. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Daktari: Mimba zinapoharibika, Asilimia 80 vyanzo vya kuharibika huwa havijulikani (sababu zinazotajwa huwa ni 20% tu)

    Tatizo la ujauzito kuharibika limekuwa likitokea kwa wingi miaka ya hivi karibuni hasa katika nchi zinazoendelea na zile zinazoendelea, utafiti wa kitaalamu ni kuwa asilimia 80 ya mimba zinazoharibika huwa hazijulikani sababu ya kuharibika kwake. Hivyo, zile sababu ambazo huwa zinatolewa na...
  5. aise

    JamiiForums Tanzania Amekuwa akifanya mapenzi kinyume na maumbile, sasa anataka kubeba mimba

    Tulianza kama mchezo, kuitana popobawa na hatimae tigo ikaliwa. Huo mchezo umeendelea na hatima ameona ni muda wa kuzaa sasa. Changamoto iliyopo ni madhara "tunayo sikia sikia" Kuwa kama ulikuwa unafanya huo mchezo ni ngumu kuzaa kwa hali ya kawaida. Isitoshe jambo la kusikitisha mimba yake ya...
  6. Mr HQ

    JamiiForums Tanzania Msaada wa bleed isiyoisha kwa mwanamke aliyetoa mimba

    HABARI WANA JF, Naomba Kufahamu Kwa Mwanamke Aliyetoa Mimba kwa Kutumia Vidonge Vya Kutolea Mimba Na Kupata Bleed Isiyo Kata Zaidi Mwezi Nzima Naomba Kufahamu.👇👇👇 1.Nini Chanzo. 2.Madhara 3.Matibabu.🙏🙏🙏
  7. OCC Doctors

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Mimba Zabibu 'Molar Pregnancy'

    Mimba zabibu 'Molar Pregnancy' inaweza kusababisha matatizo makubwa, ikiwemo mabadiliko mabaya yanayokaribia kuwa saratani (malignant change). Wagonjwa wote lazima wafuatiliwe kwa muda mrefu ili kuhakikisha kushuka kwa homoni ya ujauzito (HCG) ambayo inaendelea kuonesha uwepo wa ujauzito...
  8. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kumaliza tatizo la mimba za utotoni?

    Great thinkers, Hivi karibuni kumekua na ongezeko kubwa la mabinti wenye umri mdogo (umri Kati ya miaka 14-20s) kupata watoto. Nini kifanyike kumaliza hili tatizo?
  9. mama D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kukataa mimba, kutelekeza watoto na kuwanyima huduma au kutowahudumia — wanaume mnakwama wapi?

    Zamani ilikua ni furaha, heshma na sifa njema mwanaume kupata watoto, kuwalea kwa mahitaji na mafundisho bora lakini siku hizi mambo yamebadilika! Wanaume wengi wamekua na ka desturi kapya kabisaaa. Achana na kale ka kukataa mimba ambazo wanajua kabisa wao ni wahusika; Wanaume wengi wamekua...
  10. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Utafiti Tanzania: Mimba milioni moja zisizotarajiwa utungwa kwa mwaka, 39% huharibiwa

    Licha ya sheria kukataza utoaji mimba, vitendo hivyo hufanyika na mara nyingi kwa njia zisizo salama. Pamoja na kwamba takwimu zinaonesha tatizo la vifo vya uzazi linapungua, bado kuna baadhi ya mambo yanachangia liendelee kuwepo ikiwemo suala la utoaji mimba usio salama ambao unachangia tatizo...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujiandaa pale mwenza wako apatapo Mimba Kwa Vijana Masikini; ili Kupunguza Ugumu siku ya kujifungua na uzazi!

    JINSI YA KUJIANDAA PALE MWENZA WAKO ANAPOPATA MIMBA KWA VIJANA MASIKINI ILI KUPUNGUZA HALI NGUMU WAKATI WA KUJIFUNGUA NA UZAZI na MALEZI KWA MIAKA 10 Anaandika, Robert Heriel. Andiko hili lawafaa Sana Vijana wa Aina zote hasahasa Vijana Masikini. Andiko hili halitamuumiza yeyote, hivyo mtu...
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, mtoto wako angekuwa na umri gani endapo ungepata mimba wakati ukishiriki ngono kwa mara ya kwaza?

    Kuwa muwazi wewe dada endapo ingetokea ukapata mimba mara yako ya kwanza kugegedwa ungekuwa na mtoto mwenye umri gani mpaka sasa?
  13. BigTall

    JamiiForums Tanzania Kesi 42 udhalilishaji kwa Wanafunzi zaripotiwa Pemba, kuna ubakaji, ulawiti na mimba

    Jumla ya kesi 42 za vitendo vya udhalilishaji zimeripotiwa katika Ofisi ya Naibu Mrajisi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Kisiwani Pemba kwa mwaka 2021. Naibu Mrajisi, Hidaya Omar Khamis amesema bado tatizo la udhalilishaji kwa wanafunzi lipo na ni changamoto kubwa. Mrajisi huyo alieleza...
  14. venchwa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Irene mnigeria nisamehe Nimekupa mimba bila kutaka ni bahati mbaya

    Kama kawaida yetu wanaume! Kuna muda nilisema nimestaafu lakin mmm hakuna kustaafu Unakutana Na mtoto hadi unachanganyikiwa , Mwezi wa 2 nikiwa hapa jijini changi nikapita Hotel inaitwa Indulge Urbun Nikamuona demu Mrembo Sana yan ! Ni mnigeria nikaanza kumlia timing, Ilikuwa Jumapili...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Mimba kuharibika

    Mhali gani wana jamvi Nini hupelekea kwa mwanamke alokwisha zaa kisha kupitisha muda mrefu bila kubeba mimba takriban miaka 14. Sasa hivi anahitaji kupata tena mtoto lakini kila akibeba mimba huharibika ikiwa na mwezi mmoja tu Tatizo Nini hapo?
  16. Sheffer95

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akiwa anatumia vidonge vya majira, je anaweza pata mimba?

    Habari wana jf ningependa kuuliza kidogo Hivi kwa mfano mwanamke awe na tatizo la homone imbalance linalomsababishia kuanza hedhi mapema huku siku nyingine ikikata mapema baada ya siku 2-3 na baadae kidogo ina Anzatena Sasa alipoenda hospitali akapewa vile vidonge vya uzazi wa mpango Ila...
  17. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Wanawake 500 wapata mimba kwa upandikizaji Arusha

    Mwanamke mmoja (50), amefanikiwa kupata watoto mapacha kwa njia ya upandikizaji mimba jijini Arusha. Mwanamama huyo ni mmoja kati ya wanawake 500 waliofanikiwa kupata watoto kwa huduma hiyo inayotolewa na kituo cha Huduma ya Uzazi na Upandikizaji Mimba cha Avinta Care Medical kilichopo jijini...
  18. Championship

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Binti mwanafunzi wa miaka 18 apata ujauzito, tufanye nini?

    Salamu Wana JF. Naomba ushauri wa hatua za kuchukua katika mazingira haya. Asanteni.
  19. Mwasapile

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana ujauzito wa mwezi mmoja tuu lakini nanyooka

    Hivi wadau ni sawa kwa mwanamke mwenye mimba ya mwezi mmoja kuanza uvivu na kuumwa umwa!! Naona mwanamke wangu ananiletea vipengele sana yaani tangu tujue ana mimba basi kazi zote za ndani ndio hawezi tena….hapiki hafui hadeki…vitu vyote hivyo nafanya mimi. Mara ajitapishe mara aseme anasikia...
  20. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Shirika la Umoja wa Mataifa Linaloshughulika na Idadi ya Watu na Afya ya Uzazi (UNFPA) limesema Nusu ya mimba duniani kote hazikutarajiwa

    Ripoti ya Hali ya ldadi ya Watu Duniani mwaka 2022, iliyotolewa Machi 30, 2022 na Shirika la Umoja wa Mataifa Linaloshughulika na Idadi ya Watu na Afya ya Uzazi (UNFPA) imeonyesha kuwa karibu nusu ya mimba zote ambazo ni jumla ya milioni 121 kila mwaka duniani kote, hazikutarajiwa. Ripoti hiyo...
Back
Top Bottom