mimba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania NAUZA MAJIKE YA NGURUWE YENYE MIMBA

    Samahani waislamu, Kwa mahitaji ya majike ya nguruwe yenye mimba. Napatikana Mbezi kwa msuguri. Mbegu ni large white. Bei chee kabisa ofa ya sikukuu. 500,000 kwa jike moja. 0783985530 Karibuni sana. Ofa mpaka january 15 2022. Niwatakie siku njema.
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Halmashauri kuu Ccm (w) Njombe haijaridhishwa na serikali kuruhusu wanafunzi waliopata mimba kurudi shule. Yaomba uamuzi ubatilishwe.

    Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi(CCM) Wilaya ya Njombe, haijaridhishwa na uamuzi wa serikali kuwarejesha shule za kawaida baada ya wanafunzi (wazazi) waliopata ujauzito na kujifungua. Imetoa mapendekezo kwa halmashauri kuu ya CCM mkoa kuiomba serikali kubatilisha uamuzi huo...
  3. Kasomi

    JamiiForums Tanzania September 12 Siku ya kupeana mimba - Urusi

    Nchini Urusi kila tarehe 12 September ni siku ya kupeana mimba Hii ilianza kipindi Rais wa Urusi Vladimir Putin Katika hotuba yake ya Hali ya Taifa hilo ya mwaka 2006, alitaja janga la idadi ya watu kuwa ni tatizo la dharura zaidi linaloikabili Urusi na akatangaza jitihada za kuongeza kiwango...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utamfanyaje mwanamke anayekuambia ana mimba wakati hana?

    Wadau maoni muhimu, imagine umekuwa ukiamini unahudumia mimba yako. Kila siku unatoa pesa ya matumizi hadi bajeti za vifaa vya kujifungulia, halafu mwisho wa siku unakuja kuambiwa mimba haikuwepo
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ana ujauzito wa mwezi mmoja, mchepuko ana ujauzito wa miezi mitatu

    Wakuu Jamaa angu kaniaomba ushauri hapa, ana mchepuko wake una mimba ya miezi mitatu na wife wake nae leo kamwambia ana mimba ya mwezi mmoja. Yeye amepanga kuwaambia wote watoe hizo mimba. Me nimemshauri amuache wife wake azae ila mchepuko utoe tu. Nyie mnampa ushauri gani huyu raia?
  6. seedfarm

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa CCM kukubaliana na hoja za wakati ule za Zitto Kabwe kuhusu watoto wenye mimba kurudi shule inafikirisha sana

    Wanabodi, Wabunge wa CCM walimtukana Zitto Kabwe wakati wa hayati JPM kuhusu hoja ya Zitto kuwa watoto Tanzania waliopata mimba hawapewi nafasi ya kusoma shule za kawaida Wabunge wa CCM Wengine walitishia kumuua zito Kabwe kwa kosa kuwa anawasaliti Wabunge wote wa CCM wakati wa JPM hawakutaka...
  7. Makonyeza

    JamiiForums Tanzania Kwani Wanawake mko wapi?

    KWANI WANAWAKE MPO WAPI? Na Moh'd Majaliwa, Adv. Kiasi imenistaajabisha na kunistua, sikuitarajia hali hii. Kwenye makutano na mikusanyiko mingi ya maana na ya kipuuzi, wanawake nyie huwa wengi zaidi ya wanaume, yaani mmekuwa wepesi kuhamasika na kwa ajili hiyo kipimo cha jambo lako la...
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Sheria ya kuruhusu wenye mimba kuendelea na masomo,je imejaribu kutazamwa kwa upande wa mtu aliyesababisha hiyo mimba?

    Sheria ya kuruhusu wenye mimba kuendelea na masomo,je imejaribu kutazamwa kwa upande wa mtu aliyesababisha hiyo mimba? Wakati huyo mwanafunzi analea, mimba yake akiwa darasani je, huyo aliyetungisha, mimba atakuwa wapi? Sheria itaruhusu mwenye mimba kuendelea na Masomo kwa kujiamulia tu au...
  9. mama D

    JamiiForums Tanzania Tunaposhangilia sheria ya kumrejesha binti aliyezaa shuleni, tusisahau kuuliza haki ya yule mtoto mchanga aliyezaliwa anayebaki nyumbani

    Ni jambo jema tunapofanya kampeni ya kwamba watoto wetu waliopata mimba wakiwa mashuleni wakakatisha masomo warudi mashuleni kuendelea na masomo Lakini ni muhimu zaidi kujiuliza vichanga vilivyozaliwa vitabaki wapi? Na nani atakua akiwalea? Tukiachilia mbali zile familia chanche zenye uwezo wa...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Serikali iache mzaha; kuruhusu watoto waliopewa mimba kurudi shule ni anguko la taifa la kesho

    SERIKALI IACHE MZAHA; KURUHUSU WATOTO WALIOPEWA MIMBA KURUDI SHULENI KUSOMA NI ANGUKO LA TAIFA LA KESHO. Anaandika Robert Heriel. Naiomba serikali, viongozi wakubwa msikie Jambo hili, tena msifanye mzaha. Huruma huruma za ajabu ajabu katika baadhi ya ishu ni hatari Kwa ustawi wa taifa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Sheria inayomhukumu miaka 30 mwanaume aliyemtia mimba binti wanafunzi au aliye chini ya miaka18 ni kandamizi na inasababisha mzigo mzito wa walezi

    Ni kweli kutiwa mimba kwa mwanafunzi au msichana chini ya miaka 18 inamnyima fursa huyo binti ya kusoma na kutengeneza maisha yake ya baadae! Leo waziri wa Elimu Joyce Ndalichako anatarajiwa kutoa waraka wa kuwaruhusu mabinti waliotiwa mimba kuendèlea na masomo! Je nauliza maswali yafuatayo...
  12. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Serikali: Wanafunzi waliopata mimba kuendelea na Masomo katika mfumo rasmi

    Waziri wa Elimu Prof. Ndalichako amesema Wanafunzi wa Shule za Msingi/Sekondari watakaokatisha masomo kwa sababu mbalimbali ikiwemo utoro, mimba na changamoto za kifamilia watapewa nafasi ya kurejea Shuleni katika mfumo rasmi “leo leo natoa waraka zege halilali" ====== Waziri wa Elimu, Prof...
  13. chaz beezz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inaniuma sana, katoa mimba yangu kisa mama yake hanipendi

    Ni mda Kama wa miaka mitatu Sasa inaenda niko na uyu binti kwenye mahusiano tulipendana Sana nakufikia kuweka malengo ya kuwa mume na mke hapo baadae. Mwezi uliopita aligundulika anaujauzito wangu wa mwezi mmoja tulikaa tukakubaliana tuulee uo ujauzito basi mambo yakapita nikaanza kupambana...
  14. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unafahamu kuwa nchi ya Urusi imepitisha siku maalumu ya kupeana mimba?

    Katika hotuba yake ya Hali ya Taifa hilo ya mwaka 2006, Rais wa Urusi Vladimir Putin alitaja janga la idadi ya watu kuwa ni tatizo la dharura zaidi linaloikabili Urusi na akatangaza jitihada za kuongeza kiwango cha idadi ya watu na kuongeza uzazi kwa Urusi, ikiwa ni pamoja na kutoa motisha ya...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Simanjiro: Auawa Kikatili kwa kukatwa katwa na mapanga kwa kumpa ujauzito Mke wa mtu

    Simanjiro Manyara Mke wa mtu ni sumu walisema wahenga sote tujihadhari Mkazi wa Simanjiro Mkoani Manyara ambaye ni Daktari wa Mifugo ameuawa kwa kukatwa mapanga baada ya mchepuko wake ambaye ni mke wa mtu kukiri Ujauzito alionao sio wa mumewe bali wa mchepuko huyo Ndugu wa mume aliyeibiwa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Chanjo za COVID-19 hazisababishi mimba kuharibika

    Kituo cha Kudhibiti Magonjwa nchini Marekani (CDC) kinahimiza wajawazito wote, wanaofikiria kuwa wajawazito na wale wanaonyonyesha kupata chanjo ili kujikinga na #COVID19. Utafiti umegundua kiwango cha kuharibika kwa mimba baada ya chanjo ya #COVID19 ni sawa na kiwango cha kuharibika kwa mimba...
  17. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Watu maarufu waliopata vifungua mimba 2021

    Ni matamanio na furaha ya kila mwanandoa kubarikiwa na watoto wenye afya, baada ya safari ndefu ya ujauzitoMwaka wa 2021, tumeona na kushuhudia baadhi ya watu mashuhuri ambao wamebarikiwa na vifungua mimba wao. Hii hapa baadhi ya orodha ya watu waliobarikiwa na watoto wa kwanza mwaka wa 2021...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Hivi mimba ya miezi miwili tu inaweza kumfanya mtu akawa na hasira na kiburi?

    Habari wapendwa? Nina mtu wangu ana mimba ya miezi miwili tu but amebadilika sana, kawa na hasira za ghafla na kiburi hatari. So nauliza,kwa umri wa hiyo mimba ni sahihi kwa yeye kuwa hivyo au analeta maigizo tu?
  19. SubTopic

    JamiiForums Tanzania Swali: Je, Mwanamke wa Kizungu huwa anakula Udongo pindi anapopata Ujauzito?

    Hili suala la baadhi ya Wanawake wa Kiafrika kupenda kula Udongo kipindi cha Ujauzito ni kitu cha kawaida kabisa. Vipi kuhusu wazungu, je nao hula udongo kipindi cha ujauzito? Mwenye majibu anisaidie hapo.
  20. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Inasemekana MalkiaKaren ana mimba ya Diamond Platnumz

    Msanii MalkiaKaren ambaye ni mtoto wa mtangazaji nguli hapa Tanzania, Gadner G Habash ana ujauzito mkubwa tuu ambao hata ukisikia kajifungua kesho wala usishangae. Mwenye mzigo inasemekana ni mnyama bin laden simba. Wadau wa kufukunyua hebu mje hapa, tupeni undani wa hii tetesi.
Back
Top Bottom