milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sheikh mwaipopo adai kitima alikutana na heche na kumpa milioni mia

    Sheikh mwaipopo anaonekana misikitini akidai kitima alikutana na heche na kumpa milioni mia moja Ni matumaini yangu, kanisa langu makini moja takatifu la mitume litakanusha,na siyo kukanusha tu bali kumchukulia hatua za kisheria sheikh mwaipopo,maana kazidi sana! NB: Modes acheni kufuta nyuzi...
  2. JamiiForums Tanzania POTOSHI Pichaa hii ya Padri Kitima na John Heche walipofanya mazungumzo Januari 06, 2026

    Wakuu hii picha inasambazwa kwa kasi sana mtandaoni leo inasemekana kuwa Padre Kitima na John Heche walikutana na kufanya mazungumzo Januari 06, 2025. Je, ni kweli? i
  3. R

    JamiiForums Tanzania Trump: Serikali ya Venezuela itatupatia mapipa Milioni 30-50 ya mafuta, tutayauza na fedha nitasimamia zinufaishe pande zote

    Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema serikali ya mpito ya Venezuela imekubali kuipatia Marekani mamilioni ya mapipa ya mafuta yatakayouzwa kwa bei ya soko la kimataifa, huku mapato yakielezwa kuwa yatanufaisha wananchi wa nchi zote mbili. Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye mitandao ya...
  4. JamiiForums Tanzania Natamani tupatane watu 40 wenye milioni 5

    Ndugu watanzania, nimewaza, hapa natamani TUPATIKANE WATU arobaini tuunganishe mitaji ya Mil 5 ili kuitimiza Mil 200 then tuwekeze kupitia Vodacom M-wekeza, huku tukitarajia kupata faida ya zaidi ya asilimia 13 kwa mwaka. Ambapo tujihakikishie kupata zaidi ya Mil 26 kwa mwaka na kwa mwezi 2.1M...
  5. O

    JamiiForums Tanzania MIAKA 2 iliyopita nilijenga nyumba ya MILIONI 50 Kwa kubeti

    Nilianza mwezi WA kwanza 2023 na nilimaliza mwakan2024 mwezi wa9. Nilikuwa nimeplan sitajenga Kwa PESA ya biashara nitajenge Kwa kubeti. Safari ilikuwa ngumu ila nilimaanisha, nilichikua 500k nikaanza kuzungusha na na kuweka material kidogo kidogo , nikiliwa navuta mwezi natupia tena 500k...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya milioni 20 gari ipi itafaa kwa bajeti ya mafuta ya laki 2 kwa mwezi kwa mizunguko ya mjini na isiwe ya kwenda sana gereji

    Bajeti milioni 20 Bajeti ya mafuta laki 2 maximum Mazingira inatumika mkoani hakuna foleni kama Dar, Sifa za gari Isiwe gari ya kwenda sana gereji, Iwe inatengenezwa kirahisi hata mikoani Spea kibao
  7. JamiiForums Tanzania Nicki Minaj apoteza followers milioni 10 kwa kuongelea siasa

    Nicki Minaj amejiondoa kwenye mtandao wa Instagram, baada ya kurudi, ndani ya muda mfupi baada ya kukumbwa na upinzani mkali mtandaoni. Tukio hilo linahusishwa na ushiriki wake katika mkutano wa kisiasa wa Turning Point USA (AmericaFest) uliofanyika Phoenix, Arizona. Kwenye mkutano huo, Nicki...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mbinu ya kupata milioni 2 kabla mwaka haujaisha

    Habari zenu, Mimi ni Kijana wa miaka 23 nipo chuo. Ombi la kuandika uzi huu ni kutaka mbinu nayoweza kuitumia ili kujikusanyia kiasi cha pesa hizo. Sina kazi zaidi ya kuwa mimi ni mwanafunzi tu. Nahitaji pesa, pesa, pesa. NB: Kama una mawazo ya kimaskini usichangie mada hii, na wale...
  9. JamiiForums Tanzania Bima ya Afya inatakiwa kuwa ni ya Serikali tu. Mfano watu milioni 62 wakilipa kwa mwezi shiling 2000. Angalia hapa

    Tanzania kuna mahali kuna shida na hizi shida sio kwao kwa watawala tuliopo nao. Ukusanyaji wa pesa ungekuwa na mpangilio mzuri hakuna mtu angeshindwa kuchangia ila mfumo uliopo sio mzuri. Fikiria kama serikali ingeweza kuweka bima ya mwezi 2000 hata chokorohaa na wasio jiweza wangelipa maana...
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge Kamonga: Je, Ni Mipira 193 ya Milioni 13?

    Ni masaa machache sasa kumekuwa na mjadala mkali uliosambaa kama moto porini kuhusu ununuzi wa mipira 193 kwa Sh. 13,510,000 na Mbunge wa Ludewa, Mheshimiwa Joseph Kamonga, akikumbwa na lawama kutoka kwa wananchi na wadau wa michezo. Ripoti zilizotengwa mtandaoni zinaibua maswali tele: Je, bei...
  11. JamiiForums Tanzania Ukiona mwenzako ananyolewa na sisi tupo mbioni, Leo Venezueza milioni 10 yao sawa shiling 1000

    Ubabe na ujeuri wa rais wao ndio umefikisha taifa hapo. Yani imefikia pesa imekosa thamani kiwango cha hata ukidondosha hakuna anayesumbuka kuokota. Wengine wamefikia kutengeneza mapambo kwa kutumia pesa.
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 ‘Ulipata’ kura zaidi ya milioni 31 lakini leo umejificha

    Maajabu ya Samia hayo! Kwamba eti alipata kura zaidi ya milioni 31. Ambazo eti ni 97.6% ya kura zilizopigwa. Ila cha ajabu, akajiapisha uani na kuwanyima fursa hao wapiga kura wake milioni 31 kusherehekea huo ‘ushindi’ wake. Leo ni maadhimisho ya 64 toka Tanganyika ipate uhuru. Ni siku...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Resource Gap: Inawezekana kabisa kura Milioni 32 kuhesabiwa kwa siku 2, ila sidhani kama zilihesabiwa!

    Bilionea kijana wa kibongo, Benjamin Fernandez, amehoji kwamba, "Kwanini uchunguzi unachukua miezi mitatu, lakini kuhesabu kura milioni 32 inachukua siku 2 bila internet?" Japo wengi wameunga mkono huo mtizamo, ila kwangu, mimi nasema kwamba: inawezekana kabisa kuhesabu kura milioni 32 kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Hii taarifa kwamba Malkia anakunywa maji kutoka Marekani imekaaje?

    Mimi ni mjumbe tu, huko kwenye live ya Bunge la vijana wa Gen z wanadai malkia ana bajeti yake ya maji ya kunywa kutoka Marekani. Wanadai box moja zinakaa chupa 6 ambazo gharama mpaka kulifikisha hilo box moja la maji ni 704,000 TZS ( na joto la Tanzania anaagiza box ngapi kwa mwaka??) Eti...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Hesabu Zinasema Alipata Kura Milioni 32

    Oktoba 29 hadi 30, walionekana waandamanaji waliokuwa wakipinga zoezi la uchafuzi uliokuwa ukiendelea. Kulikuwa na ushahidi wa watu, hasa vijana waliofanya jambo hilo, picha zipo na mwonekano halisi ulitambuliwa. Kwa maoni yangu, kwa kukadiria tu kutokana na mwonekano huo toka sehemu mbalimbali...
  16. JamiiForums Tanzania Leo nimeweka milioni 100 kwa Ushindi wa Yanga

    Leo nimeweka bet ya 100m kuwa Yanga itashinda am 3-0 au 3-1; nikikosa zote, basi nitahamia mapangoni. Nikipata mojawapo, basi tuwasiliane nikakupe bia za bure mpaka uzitapike: "He was a wise man who invented beer!"
  17. JamiiForums Tanzania TCRA: Watumiaji wa Huduma ya Intaneti wameongezeka kutoka Milioni 54.1 (Juni 2025) hadi Milioni 56.3 (Septemba 2025) sawa na 4.1%

    Huduma ya intaneti inaonesha kuongezeka utumiaji kutoka milioni 54.1 mwezi Juni 2025 hadi kufikia milioni 56.3 mwezi Septemba 2025 ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 4.1. Kwa mujibu wa ripoti ya takwimu ya sekta ya Mawasiliano ya robo mwaka inayoishia Septemba 2025 inaonesha idadi ya...
  18. JamiiForums Tanzania Zile dola milioni 30 zilizokutwa nyumbani kwa Magufuli ziliishia wapi?

    Katika zama hizi za mitandao ya kijamii, simu za viganjani zenye kila aina ya uwezo, zenye kuweza kupiga picha, kurekodi video, na kadhalika, ni vigumu sana kwa baadhi ya mambo kuendelea kuwa siri. Tuliambiwa kwamba, baada ya Rais Magufuli kufariki, kwamba nyumbani kwake zilikutwa dola za...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya Milioni 1.8 wakabiliwa na balaa la njaa, ukame

    Ripoti mpya ya usalama wa chakula nchini Kenya, inaonyesha kuwa karibu watu milioni mbili katika Kaunti kame nne za Kaskazini Mashariki mwa Kenya, wanakabiliwa na Uhaba mkubwa wa chakula. Serikali ya Kenya imetoa wito kwa wahisani kusaidia katika kukabili hali hiyo ya dharura ili kuepusha maafa.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 100 nataka nifungue kituo cha tiba(Afya) Tanzania

    Wakuu salaam, Naombeni ushauri kwa wajuzi wa mambo na wenye uzoefu hapo Tanzania nataka nifungue kituo cha Afya kwa Tanzania sasa sijajua na nimeandaa bajeti ya milioni 100 kuanzia manpower,vifaa tiba,majengo na kila kitu na lengo niwasaidie Ndugu zangu waTanzania maana nimewaza kufungua huku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…