milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. BigTall

    DED Nyasa akagua miradi ya Sekta ya Afya na Elimu yenye thamani ya Sh Milioni 582,017,569

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa, Khalid A.Khalif ameendelea na utaratibu wake wa kawaida wa kuwatembelea wakandarasi kwenye Kandarasi za Miradi ya Maendeleo inayoendelea kutekelezwa ikiwa ni sehemu ya kuhimiza ukamilishwaji kwa wakati na ubora unaoendana na thamani ya fedha...
  2. Dr. Zaganza

    Alphard ilotoka bandarini inauzwa milioni 22

    Piga 0713 039 875 (Tuko Kibaha maili moja)
  3. Y

    RC Mwanamvua Hoza Mrindoko: Kipindi cha Rais Samia Katavi tunazalisha maziwa Lita milioni 23 kutoka Lita milioni 19 za 2021

    Sekta Kipengele / Mradi Kiasi / Idadi Mafanikio / Maelezo Mifugo Milipuko ya magonjwa ya wanyama 72% (2021) → 15% (2025) Kupungua kwa milipuko ya magonjwa Mifugo Viwanda vya vyakula vya mifugo Viwanda 2 Kuweka mazingira wezeshi ya uchakataji na kuanzisha viwanda vya maziwa (MSS...
  4. M

    Yanga hata wakisema Ile milioni 100 ilitoka GSM,kosa lao ni kujihusisha na siasa

    Hata wangetoa laki 5 kama alivyofanya Chief Godlove,kosa liko palepale Kosa la yanga au Hersi Said sio amount waliyotoa,bali ni Hersi Saidi kiongozi wa Yanga kutamka kauli inayohusisha club na mambo ya siasa. Namnukuu, ""Sisi yanga tunachangia ...."' Hiyo kauli ndio inamfanya aonekane...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Biashara unazoweza kuanzisha ukiwa na milioni moja ( Tsh 1,000,000)

    Hamjambo! Leo sitakuwa na maneno mengi. Ukiwa na milioni Moja hizi ni biashara unazoweza kuzifanya; 1. Fundi Nguo! Chukua sherehani tatu za 250,000/= inayobakia tafuta Frem ya elfu 50. Nunua vifaa kisha anza kupiga kazi. Cherehani zingine mbili tafuta mafundi, piga kazi. 2. Saluni ya kiume...
  6. GENTAMYCINE

    Naona tayari Laana ya wana Yanga SC kwa Timu yao Kuichangia CCM Milioni 100 imeshaanza Kulipa huko Kigali Rwanda

    Jifanyeni tu mpaka sasa bado hamna Matokeo wakati mapema tu tayari Kipa Mjibinuaji Onyesha Boksa keshawekwa 1...!
  7. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Klabu ya Yanga imechagia milion 100 CCM gala dinner 2025

    Klabu ya Yanga imechagia milioni 100 CCM gala dinner 2025 katika harambee ya kuchangia bilion 100 kuchangia Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wawakilishi, Wabunge na Urais.
  8. Stephano Mgendanyi

    Turky Group of Companies (Vigor) Yachangia Tsh. Milioni 600 Harambee CCM Gala Dinner 2025

    TURKY GROUP YACHANGIA TSH. MILIONI 600 HARAMBEE CCM GALA DINNER 2025 Turky Group of Companies (VIGOR) imechangia jumla ya Shilingi Milioni 600 katika Usiku wa harambee ya CCM Gala Dinner 2025 iliyoendeshwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  9. Waufukweni

    Yanga hatarini kuadhibiwa na FIFA kwa kuichangia CCM Tsh. 100 Milioni

    Wakuu! Kabla hili la Yanga SC halijapoa, tuzungumze kidogo kuhusu kilichotokea. Labda wengi hawakutarajia kwamba klabu maarufu ya Yanga (Wananchi) ingejikuta katikati ya mjadala mkubwa wa Kitaifa hivi karibuni. Yanga imejikuta ikijadiliwa sana na kukosolewa vikali baada ya kuchangia kiasi cha...
  10. JF Member

    Mtaji wa Milioni 8. Biashara gani italipa hapa Mbezi Luis/Magufuli?

    Habari wataalam. Baada ya kujidunduliza sasa nimeamua niingie kwenye biashara yaani busines. Naomba nipate japo ushauri kabla sijayamwaga haya mamilioni yangu. Biashara ipi inalipa hapa Mbezi ya Magufuli - na eneo lote kwa ujumla?
  11. DuaZaMama

    TRA kodi haiwahusu mawinga wanaoingiza chini ya milioni 4

    "Winga ambaye anafanya biashara ya mtu mwingine na anapata kipato, kipato kile lazima kilipiwe kodi kama kimezidi milioni 4. Kama hakizidi hatuna shida naye." - Richard Kayombo, Mkurugenzi wa Mawasiliano na Elimu kwa Mlipa Kodi TRA Pia soma > TRA: Tumeongeza muda, mawinga wataanza kujisajili...
  12. S

    Mzozo Mkali unaoendelea kati ya Marekani na Venezuela

    Mnamo Agosti 2025 Serikali ya Marekani ilitangaza ongezeko la zawadi hadi dola milioni 50 kwa yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa kwa Rais wa Venezuela Hatua hiyo ilichukuliwa kutokana na tuhuma kwamba Maduro anaongoza mtandao mkubwa wa usafirishaji wa dawa za kulevya...
  13. and 998 others

    Utashangaa CHAUMMA & ACT wamepata kura Milioni 3 kila mmoja!!

    Kimchezo mchezo utashangaa jamaa wa Ubwabwa na wale wa Dalali wamejaziwa kura milioni 3 kila mmoja. Hii michezo aise raha sana.
  14. DuaZaMama

    Watu wawili Mbaroni kwa wizi wa Tsh. milioni 105 Dar es Salaam

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watuhumiwa wanne, wakiwemo wawili wanaodaiwa kuhusika na wizi wa Shilingi milioni 105 na wawili waliokutwa na pikipiki za wizi, katika msako uliofanyika mwishoni mwa Julai na mapema Agosti 2025. Tukio la kwanza lilitokea Julai 27, 2025...
  15. Waufukweni

    Picha: Diamond Platnumz akiwa ametupia mwilini zaidi ya Tsh. Milioni 659!

    Msanii Diamond Platnumz ametupia mavazi na vito vya thamani kubwa vilivyogharimu jumla ya dola 265,259.95, sawa na Tsh. Milioni 659,171,100 akiwa ameunganishia mitindo ya kifahari kutoka Prada, Moncler, Louis Vuitton, Chrome Hearts, Balenciaga, na John Varvatos pamoja na mkufu wake wa Wasafi...
  16. DuaZaMama

    TFF yapigwa Rungu na CAF kulipa faini ya USD 10,000 kwa Kuvunja Taratibu za Usalama mechi dhidi ya Burkina Faso

    Bodi ya Nidhamu ya CAF imefungulia mashitaka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kuvunja masharti ya Usalama na Ulinzi kama yalivyoainishwa katika Kanuni za Nidhamu za CAF, Ibara ya 82 na 83, pamoja na Ibara ya 24 na 28 za Kanuni za Usalama na Ulinzi za CAF. Mashitaka hayo...
  17. Hyrax

    Kutoka mtaji wa elfu 50 mpaka milioni 10 ndani ya mwaka mmoja hii kitalaamu tunaitaje.?

    Watalaamu wa uchumi mkuje. Content Credit: Kelvin Kibenje
  18. VOICE OF MTWARA

    Nahitaji Raum, Spacio au Wish. Bajeti yangu ni Milioni 8

    Kichwa cha habari kinajieleza
  19. VOICE OF MTWARA

    Nahitaji Raum, Spacio au Wish. Bajeti yangu ni Milioni 8

    Kichwa cha habari kinajieleza
  20. A

    Rais Ruto amechachamaa huko kila mchezaji Harambee stars kala mgao wa milioni 21, hiyo ni ya Ushindi wa kwanza tu..Viongozi igeni hii

    Unaambiwa baada tu ya mechi kuisha, Wachezaji wamekula mgao wa milioni 21 kabla hata jasho halijakauka.. Na akaahidi mzigo mwingine kama huo endapo watashinda kila mchezo ulio mbele yao. Ni muhimu Rais wetu akashauriwa kuwa anapotoa ahadi, awe anatoa ahadi ambazo zipo too specific. Ukiahidi...
Back
Top Bottom