Unahitajika Mkopo wa Milioni 60-Wa Kibiashara

Masokotz

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
3,435
5,404
Habari za wakati huu wakurugenzi;

Kwa wale ambao wako na Pesa lakini wanatafuta pa kuziwekeza.Unahitajika Mkopo wa Kibiashara.Kiasi cha mkopo unaohitajika ni Milioni 60.

Dhamana ya Mkopo ni kama ifuatavyo:

  1. Kiasi cha 30% ya Mkopo kitadhaminiwa na Kiwanjja kilichoko Hai Kilimanjaro)Hakina Title
  2. Kiasi cha 30% nyingie itadhaminiwa na kiwanja kilichopo Mkoa wa Arusha.Hakina Title
  3. Kiasi cha 20% kitadhaminiwa na Fixed Deposit Account
  4. Kiasi cha 20% kitadhaminiwa na Hisa za Kampuni binafsi/Kadi ya gari)
Mkopo utakuwa wa kipindi cha miezi 8 hadi 16 na riba yake itakuwa 16% kwa mwaka, ambapo Kila mwezi mkopeshaji atalipwa Riba yake ambayo itakuwa ni kati ya 1% hadi 2.5% na baada ya kipindi cha mkopo atarudishiwa Pesa Yake kamili.

Unaweza kutoa mkopo wote au mkopo wa kundi mojawapo. katia ya makundi hayo manne.

Zingatia huu ni mkopo wa kibiashara.

Vile vile anahitaji mtu ambaye anaweza kukodishia magari au guta ambazo zitakuwa customized kwa ajili ya kazi maalum kwa mkataba wa HIRE PURCHASE/au lease itategemea makubaliano.Zinahitajia 6.

Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa email: masokotz@yahoo.com
 
Hati au mkopo?
Anauliza kwanini havina hati? Hivyo viwanja.

Kama uwezekano wa kupatikana hati ni rahisi kwanini mmiliki asitafute hati yeye mwenyewe kwanza then ndo aje kutafuta mkopo akiwa na hati mkononi.
 
Mkuu hati inaweza kupatikana wakati wowote ni mchakato tu ila bado wahusika hawajauanza.
 
Hawana shida na pesa tajwa
Mkuu,mtu anapotafuta Mkopo sio kwamba ana shida bali ana fursa ambayo inahitaji PESA.Kuhusu hati sidhani kama ni issue kwa sababu Hati zinapatikana na siku hizi kupata hati ni rahisi.Nafikri cha muhimu ni kwa mtoa pesa kuwa na uwezo na nia ya kutoa kiasi hicho cha PESA kwa masharti yatakayofaa.
 
Daah, Mkuu usipende kuchukulia vitu kirahisi hivyo ni nani anayeweza kutoka pesa ya mkopo yote hiyo kwa kiwanja kisicho na hati?

Alafu umeng'ang'ania kupata hati ni rahisi, Are you serious?
Kama ni rahisi tafuteni kwanza hati, Kwenye issue za mkopo hakuna kitu cha dharula ni lazma taratibu za ukopeshaji zifuatwe otherwise ukopeshwe na ndugu au jamaa yako.
 
Mkuu, ushauri wake umezingatiwa.
 
Habari za wakati huu wakurugenzi;

Kwa wale ambao wako na Pesa lakini wanatafuta pa kuziwekeza.Unahitajika Mkopo wa Kibiashara.Kiasi cha mkopo unaohitajika ni Milioni 60.

Dhamana ya Mkopo ni kama ifuatavyo:

  1. Kiasi cha 30% ya Mkopo kitadhaminiwa na Kiwanjja kilichoko Hai Kilimanjaro)Hakina Title
  2. Kiasi cha 30% nyingie itadhaminiwa na kiwanja kilichopo Mkoa wa Arusha.Hakina Title
  3. Kiasi cha 20% kitadhaminiwa na Fixed Deposit Account
  4. Kiasi cha 20% kitadhaminiwa na Hisa za Kampuni binafsi/Kadi ya gari)
Mkopo utakuwa wa kipindi cha miezi 8 hadi 16 na riba yake itakuwa 16% kwa mwaka, ambapo Kila mwezi mkopeshaji atalipwa Riba yake ambayo itakuwa ni kati ya 1% hadi 2.5% na baada ya kipindi cha mkopo atarudishiwa Pesa Yake kamili.

Unaweza kutoa mkopo wote au mkopo wa kundi mojawapo. katia ya makundi hayo manne.

Zingatia huu ni mkopo wa kibiashara.

Vile vile anahitaji mtu ambaye anaweza kukodishia magari au guta ambazo zitakuwa customized kwa ajili ya kazi maalum kwa mkataba wa HIRE PURCHASE/au lease itategemea makubaliano.Zinahitajia 6.

Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa email: masokotz@yahoo.com
Kwenye uzi huu, nilishuka kwa kasi mithili ya tai anayewania kifaranga cha kuku nikidhani kuwa kuna miliion 60 hapa inahitaji mkopaji kumbe siyo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom