milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Tree of Life Foundation kupanda miti milioni moja mwaka 2023

    Pamoja tunaweza. Taasisi ya Tree of Life Foundation iko mbioni kupanda miti ya matunda, kivuli na ya mbao kwenye mwaka mpya wa 2023. Upandaji huo utaambatana na utoaji wa elimu ya mazingira kwa wananchi walio mijini na vijijini. Karibu tushirikishane pamoja katika kuyatunza mazingira ya nchi yetu.
  2. GENTAMYCINE

    Boss Saalah wa Silent Ocean, wana Simba SC tunajua mchanganuo wa ahadi yako ya milioni 30 kama Tanzania Prisons ikiifunga Simba SC Ijumaa

    Boss Saalah Said Mohammed Mmiliki wa Kampuni ya Silent Ocean na Mdogo wake wa Damu Tajiri wa Yanga SC Gharib Said Mohammed tunajua kila Kitu juu ya ahadi yako ya Tsh Milioni 30 kama wakiifunga Simba SC ijumaa kwa Mkapa. Ufuatao ndiyo Mchanganuo mzima wa hiyo ahadi ya Tsh Milioni 30 kwa Klabu ya...
  3. BARD AI

    Ripoti Bloomberg: Watu milioni 37 wameambukizwa COVID-19 ndani ya siku 1 nchini China

    Mtandao wa #Bloomberg umeripoti kuwa maambukizi hayo huenda yamewafikia watu Milioni 248 ambao ni sawa na 18% ya idadi ya watu wote ndani ya siku 20 za Desemba 2022. Desemba 22, 2022, kampuni ya Airfinity inayohusika na utunzaji Data za #Afya ilikadiria kuwa kuna uwezekano wa Vifo vya kila siku...
  4. T

    Nina shilingi milioni 64, niwekeze kwenye biashara gani kati ya hizi?

    Habari wakuu. Natumaini mnaendelea vizuri na maandalizi ya sikukuu. Bila kuwachosha sana, nimeweza ku save jumla ya shilingi milioni 64 hadi sasa, kiasi hiki nimeweza kukisave kuanzia mwezi April mwaka huu kutoka kwenye mshahara wangu. Nipo mkoa wa Dodoma. So far, nimefikiria kuwekeza katika...
  5. JanguKamaJangu

    Muhimbili waanza kutoa huduma kupunguza uzito, watatu wenye kilo 100+ wamepata huduma kwa Sh milioni 3.5 hadi 4

    HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili-Mloganzila,iliyopo jijini Dar es Salaam, imeanza kutoa huduma ya kupunguza uzito uliokithiri, ikiwa ni hatua ya kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza. Hadi sasa watu watatu wenye uzito zaidi ya kilogramu 100 wamepata huduma hiyo inayogharimu kiasi cha Sh milioni...
  6. BARD AI

    Mashahidi 14 kutoa ushahidi kesi ya dawa za kulevya za Sh559 milioni

    Aliyekuwa Mkuu wa Kitengo cha Kupambana na dawa za kulevya (ADU), Godrey Nzowa anatarajia kutoa ushahidi katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya Cocaine zenye thamani ya Sh559 milioni inayomkabili raia wa Liberia, Ndjane Abubakar. Abubakar anadaiwa kusafirisha dawa za kulevya aina ya...
  7. BARD AI

    WHO: Kila siku maambukizi Milioni 1 ya Magonjwa ya Zinaa yanatokea Duniani kote

    Zaidi ya Maambukizi Milioni 1 ya Magonjwa ya Zinaa (STIs) yanatokea duniani kote Kila Siku, mengi kati yake hayana Dalili za kuonekakana. Kwa mujibu wa Takwimu za Shirika la Afya Duniani, kila mwaka kuna wastani wa Maambukizi Mapya Milioni 374 ya Magonjwa ya Zinaa ikiwemo Klamidia, Kisonono na...
  8. C

    Namungo FC: Tutavaa Jezi Nyeusi Jumatano Wageni wavae Njano au Kijani la sivyo watulipe Tsh Milioni 200 wavae zao Nyeusi

    Katika kuonyesha kuwa Klabu ya Namungo inaelewa Mchezo mzima wa Jezi Nyeusi za Timu Moja nayo imeweka wazi kuwa Jumatano itavaa Jezi zao Nyeusi na kama kuna Timu inataka Kuvaa Jezi Nyeusi za Mganga wao wa Kienyeji basi wawalipe Tsh Milioni 200. Hata hivyo mpaka Mleta Uzi anaenda Mitamboni bado...
  9. GREAT VISIONAIRE

    Kiwanja kinauzwa milioni 5 Bugogwa, Mwanza, kimepimwa

    Kiwanja kipo,nyamwilolewa kata ya bugogwa. kina ukubwa wa 30*25 Kimepimwa. Bei Milioni 5 Mawasiliano:0765540059
  10. Suzy Elias

    Rais Samia: Milioni 960 za sherehe ya Uhuru zikajenge mabweni shule nane za wanafunzi wenye mahitaji maalum

    NB: Ya Magufuli ni yake Samia. ==== Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza TZS milioni 960 ambazo zilitengwa katika bajeti kwa ajili ya maadhimisho ya sherehe za Uhuru inayoadhimishwa kila Desemba 9, zipelekwe Ofisi ya Rais TAMISEMI na zitumike kujenga mabweni katika shule nane...
  11. T

    Ushauri: Gari ya milioni 60

    Wakuu, salama? Nimeombwa ushauri hapa wa gari nzuri ya kununua isiyozidi milioni 60. Rafiki yangu mmoja yuko huko kwenye machimbo Geita kapata pesa anata gari nzuri. Vile mimi sio mtaalamu wa hayo mambo nikaona niombe ushauri humu kwa niaba yake. Gari anayotaka ni ya kutembelea. Shukrani sana.
  12. Kiminyio 01

    Kufungua kituo cha afya kwa mtaji wa Tsh milioni 200

    Husika na kichwa taja chajieleza Naomba Mnipe Strategic Areas, ambalo naweza kufungua Kituo Cha Afya, isipokuwa ndani ya Mkoa Wa Dar Es Salaam.
  13. Roving Journalist

    Prof. James Mdoe: Lugha ya Kiswahili ina wazungumzaji takriban milioni 250, sasa kupandishwa Mlima Kilimanjaro

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imejizatiti kueneza lugha ya Kiswahili kwa kuimarisha ufundishaji wa Kiswahili katika nchi za Afrika na ulimwenguni kwa ujumla. Akizungumza jijini Dodoma wakati wa kukabidhi bango la Kiswahili kwa watumishi watakaopanda Mlima Kilimanjaro kwa azma ya...
  14. BARD AI

    Rais Samia: Wanawake milioni 44 wamepoteza ajira Afrika

    Takwimu zinaonyesha wanawake milioni 44 wamepoteza ajira barani Afrika hadi kufikia mwaka 2021, huku idadi ya wanawake kwenye vyombo vya maamuzi Tanzania ikiongezeka kutoka asilimia 21.5 mwaka 2005 hadi kufikia asilimia 37 mwaka 2020. Hayo yamebainishwa leo Jumamosi Desemba 3, 2022 na Rais wa...
  15. L

    Sothbys kufanya mnada wa almasi yenye karati mia 3 ambayo inakadiriwa kuwa na thamani ya dola milioni 15 za kimarekani

    Sothbys kufanya mnada wa almasi yenye karati mia 3 ambayo inakadiriwa kuwa na thamani ya dola milioni 15 za kimarekani.
  16. BARD AI

    Kanye West kumlipa Kim Kardashian Tsh. Milioni 466.6 kila mwezi kwa matunzo ya watoto

    Kim Kardashian na Ye (zamani akijulikana kama Kanye West) wamefikia suluhu kuhusu talaka yao. Kwa mujibu wa nyaraka za Mahakama, Kardashian atapokea $200,000 zaidi ya Tsh. Milioni 460 kwa mwezi kama gharama za matunzo ya watoto na pia watashiriki malezi ya pamoja ya watoto wao wanne -- North...
  17. BARD AI

    Tsh. Milioni 400 za Bodaboda Arusha zayeyuka, DC na Mbunge watajwa

    Hali si shwari ndani ya chama cha waendesha bodaboda Jiji la Arusha (Uboja) baada ya kubainika zaidi ya Sh400 milioni zimetolewa kwenye akaunti ya chama hicho huku baadhi ya fedha hizo zikidaiwa kutumika kisiasa. Fedha hizo zinadaiwa kutolewa kwenye akaunti ya umoja huo kuanzia mwaka 2018 hadi...
  18. BARD AI

    Waliopata chanjo ya Uviko-19 Dar yafikia milioni 3.4

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema hadi sasa idadi ya waliochanja chanjo ya Uviko-19 katika mkoa huo ni milioni 3.4. Makalla ameyaeleza hayo leo Jumamosi Novemba 27, 2022 baada ya matembezi ya hiari yaliyoandaliwa na Huduma za Afya Aga Khan Tanzania (AKHS, T) kwa kushirikiana...
  19. BARD AI

    Tetesi: Data za watumiaji zaidi ya Milioni 487 wa WhatsApp zinauzwa mtandaoni

    Kuanzia November 16; taarifa za watumiaji hao zimevuja na zinauzwa mtandaoni. Taarifa hizi zikiwemo namba za simu, majina (kwa wanaoweka majina yao kwenye akaunti zao) na profile picture zimekusanywa na kuuzwa kwenye Dark Markets. Hakuna chats zilizovuja; data zinazouzwa ni namba za simu za...
  20. BARD AI

    BoT: Kukopesha fedha bila leseni faini Tsh. Milioni 20, jela miaka 2

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa onyo kwa wananchi kuepuka kukopa au kufanya Biashara na Taasisi, Kampuni, Mtu au Watu Binafsi ambao hawana leseni. Kifungu cha 16 (1) cha Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya mwaka 2018 imezuia na kukataza biashara ya kutoa mikopo bila kuwa na vibali maalumu...
Back
Top Bottom