Kuna vitu vinasikitisha sana.
Watanzania tulifanya makosa sana kuwaacha hawa manyangau wawe wazima 29 Oktoba. Hakuna wanalojali kuhusu wananchi zaidi ya kujiamulia na kuila nchi yetu tu.
Fikiria, pamoja na gharama za mafuta kupanda kunakopelekea maisha kuwa magumu, hakuna jitihada zozote...
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imetoa zawadi ya sh. milioni 500 kwa Timu ya Taifa ya Tanzania ya vijana chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) kwa kufanikiwa kutinga hatua ya fainali ya mashindano hayo na kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania kimataifa.
Dkt. Mwigulu amesema hayo...
Gari ni Brevis
Kwa hali ya sasa ilivyo mafuta yapo juu sana, watu wengi wanayauza kwa bei ya kutupa hata milioni 5 lqkini kupata clean kidogo inaweza kuwa milioni 6
Makadirio ya kufunga gesi ni Milioni 2
Makadirio ya Service yanaweza kuwa milioni 1
Kwa hio gharama zote zinakuwa MILIONI 9
Is...
Kampuni ya Amsons Group yenye makao makuu yake nchini Tanzania, inaripotiwa kuwa katika mazungumzo ya hatua ya juu ya kuinunua kampuni ya Oryx Energies katika dili linalokadiriwa kuwa na thamani ya dola milioni 250 (Zaidi ya shilingi bilioni 650 za Kitanzania), kwa mujibu wa taarifa kutoka...
Ukisikia gari ni liability basi ndio hii
Mafuta yamepanda bei, kuna watu wamo matabaka flani ya kiuchumi ambayo bei za mafuta zimewaathiri sana bajeti zao lakini bado wanakaza kulinda brandi
Bei za mafuta zimefanya hata wenye ist, Vitz , Premio, n.k. kutumia 20K kila siku,
Sasa imagine mtu...
Hebu tumalize propaganda na uongo wa Chadema, Hivi chama kilicho moyoni mwa Watanzania 70M ndio hiki chenye wanachama halali LAKI NNE na ELFU TATU NA THEMANINI NA TATU (403,083) kwamjibu wa Database rasmi ya Chadema inayotunza taarifa za wanachama?
Peter Msigwa ni mwanachama wa mwisho...
Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amebaisnisha mafanikio ya sekta ya usafiri wa anga kwa kipindi cha kuanzia Julai 2025 hadi Machi 2026, ikionyesha ukuaji mkubwa wa idadi ya abiria na usafirishaji wa mizigo nchini.
Akizungumza bungeni leo Mei 13, 2026, Prof. Mbarawa amebainisha kuwa...
Mbunge wa Makete, Festo Sanga ameshauri Wizara ya michezo kupitia BMT wapitie na wapendekeze kima cha chini cha mishahara ya wachezaji kwenye Ligi mbalimbali nchini hususani Ligi kuu.
Amesema "Kuna baadhi ya Wachezaji wanapokea laki 4 , laki 3, Million 1 na wengine wanapokea Milioni 10, 20 hadi...
OFISA mmoja wa serikali anadaiwa kujipatia kiasi kinachokadiriwa kufikia shilingi bilioni 4, kwa njia ya rushwa. Anayepewa tuhuma hizo ni Ofisa Uvuvi Msaidizi Mkuu, anayesimamia Wilaya ya Bunda, Mkoa wa Mara, Masanja Kadashi.
Tuhuma dhidi yake zinadaiwa kuanza muda mrefu ambapo Machi 31, mwaka...
Wanabodi,
Watch TBC live,mapokezi ya Rais Paul Kagame wa Rwanda,(Paulo Mrefu)
Paskali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mhe. Paul Kagame mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa Ziara ya Kikazi...
May 2 2026
Kundi la AMSONS kujenga hospitali 10 za akina mama na watoto nchini Kenya chini ya mpango wa afya wa dola milioni 40 za Marekani
Mpango huo, unaoitwa "Ahadi ya Maisha," unaonyesha kujitolea kwa pamoja katika kuhakikisha uzazi salama na kuanza kwa afya kwa watoto wachanga...
My Take
Haiwezekani watu wameharibu Nchi zao harafu wanakimbilia Nchi zingine nako wakaharibu.
Watu mil.27 ni wengi sana iwe takwimu za kweli au za kupika ila Watimuliwe.
Nendeni Nchi za watu kidogo sio kurundikana kama ni kwenu
Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini Ado Shaibu amesema imemgharimu milioni 30 za Kitanzania kushinda ubunge katika jimbo hilo
Kwanza kabisa mazingira ya kisiasa yamebadilika sana ukifanya uchambuzi wa miaka 30 ya Demokrasia ya vyama vingi uwekezaji kwenye siasa umekuwa ukibadilika kutoka...
"Kuna kijana mmoja, Usariva Harusha, mwenye umri wa miaka kumi na sita. Alishawishiwa, alipewa Shilingi elfu hamsini ashiriki, na walimuahidi—na kwa maneno yake—walimuahidi watampa Shilingi milioni tano akishiriki.
Na kwa ushahidi wake, anasema 'walinipa mchongo utakaonitoa kwenye umaskini'...
Hii pesa ya Kuwait. Miongoni mwa pesa zenye thamani kubwa sana.
Hii ni Dinar 1000 ya KUWAIT sawa na pesa ya madafu Milioni 8 na Laki 4.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Natafuta mwekezaji kwa ajili ya ushirikiano wa kibiashara kwenye masoko ya kifedha (Crypto) kupitia mfumo wa "Quantitative Trading".
Kikwazo kikubwa cha uwekezaji mtandaoni ni usalama wa mtaji. Kuondoa hili, katika ubia huu, hutakabidhi mtaji wako kwangu. Usalama wako ni 100% kwa sababu mtaji...
Kijana mmoja mtumishi wa serikalini, avamiwa na vibaka, maeneo ya kijangwani na kumpandikizia eti kamshika mtu bega kumbe ni mkakati wa kumpora, kapewa kichapo, na pesa milioni tano wamesepa nazo wahuni.
Ni wiki kadhaa tu tangu tukio la mimi kutolewa visu mchana kweupe na kunipora pesa na...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles Kichere ameeleza hayo Machi 30, 2026 wakati akisoma Ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025 kuhusu uuzwaji wa viwanja katika eneo la Pangani lililopo Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha.
CPA Charles Kichere amesema Viwanja 168...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.