milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania Nina 1.5 milioni nataka kufunga ndoa na harusi? Nianzie wapi

    Nimerudi tena waungwana. Natarajia kukusanya kitita cha 1.5 milioni kusudi nifunge ndoa na mwanamke ninayemtaka ndani ya miezi 6 ijayo. Wazoefu, nianzie wapi kusudi nisiingie kwenye ndoa na madeni? Binafsi sitaki kuchangisha watu kabisa kutoa watake wenyewe ila si ombi wala lazima. Harusi...
  2. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Tema Cheche aweka wazi mahari ya ni milioni mia moja

    Mrembo Dalali Pink ambaye ni mwendeshaji wa kipindi cha Tema Cheche cha Tiktok ameweka wazi kuwa mahari yake ni milioni mia kwa Mwanaume ambaye anataka kumuoa na kama itashuka sana basi milioni 90. Dalali Pink amesema kuwa kiwango hicho cha mahari ameweka kwasababu yeye ni mzuri ana macho...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Serikali: Vitambulisho Milioni 1 na nusu na zaidi vya NIDA viko tayari, nendeni mkavichukue

    Utekelezaji wa kampeni hii, kwa sisi hapa Tanzania, tumeamua tuje na kaulimbiu inayosema "Kipo, Kichukue, Kamilisha Safari Yako." Lengo letu kubwa ni kuwakumbusha wananchi wote waliosajiliwa kwenda kuchukua vitambulisho vyao. Tunayo changamoto, kama nilivyosema kwenye takwimu, tumesajili...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu aongoza harambee ya maombi ya kitaifa, achangisha milioni 700

    DKT. MWIGULU AONGOZA HARAMBEE YA MAOMBI YA KITAIFA, ACHANGISHA MILIONI 700. ▪️Asisitiza maadili na uwajibikaji kama mhimili wa Dira 2050. WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa wito kwa Watanzania, taasisi za umma, sekta binafsi, na viongozi wa dini kuwekeza katika malezi, uadilifu, na...
  5. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kenya Kununua Magunia Milioni 11 ya Mahindi kutoka Zambia Kwa bei Kubwa na Kuikacha Tanzania Yenye Mahindi Mengi ya Bei Chee.

    Kenya imeamua kui by pass Tanzania Kwa kuamua kununua mahindi takribani gunia Milioni 11 kutoka Zambia badala ya Tanzania huku ikoacha wakulima wa Tanzania wakihaha wasijue wapi watauzia mahindi Yao. Ikumbukwe Tanzania ni mzalishaji wa mahindi namba 2 Afrika ilizalisha zaidi ya Tani Milioni 12...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mory Kanté na 'Yé Ké Yé Ké': Wimbo wa kwanza wa Kiafrika kuuza nakala milioni 1 duniani (Uchambuzi wa kiweledi)

    Habari za wakati huu wana-JamiiForums (JF Entertainment Forums), Leo naomba tuangazie kidogo historia ya muziki wa Afrika kupitia maisha ya gwiji mmoja na wimbo ulioweka alama isiyofutika duniani kote. Huu ni wimbo wa "Yé Ké Yé Ké" wa mwanamuziki mashuhuri kutoka Guinea, Mory Kanté, uliotolewa...
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru UoN kumlipa Mhitimu Shilingi milioni 3 baada ya kuondoa jina lake siku ya Mahafali

    Mahakama Kuu imeiamuru Chuo Kikuu cha Nairobi (UoN) kumlipa Marceline Murono fidia ya shilingi milioni 3 baada ya kubaini kuwa chuo hicho kilikiuka haki zake za kikatiba kwa kuondoa jina lake kwenye orodha ya wahitimu siku ya mahafali mwaka 2023. Katika uamuzi wake, Jaji Lawrence Mugambi...
  8. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua aweka sh1 milioni mezani: “Rais William Ruto akipata 30% Nyanza, njooni mchukue!

    Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua ameweka dau la Sh1 milioni, akisema yuko tayari kutoa fedha hizo iwapo Rais William Ruto atafanikiwa kupata angalau asilimia 30 ya kura za Luo Nyanza katika Uchaguzi Mkuu wa 2027. Akizungumza na ujumbe kutoka Laikipia uliomtembelea nyumbani kwake Wamunyoro...
  9. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Zambia ilisajili wapiga kura milioni 14 katika uchaguzi wa mwaka 2026

    Kumekuwepo Chapisho linalosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, ikiwemo Facebook na Instagram, linadai kuwa Zambia ilisajili wapiga kura milioni 14 na kwamba katika uchaguzi huo zaidi ya watu milioni 14 walipiga kura.
  10. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Wadada, swali la milioni moja hili hapa!😄

    Kwanini baadhi yenu mkisikia “baby baba akikwambia nitumie Control Number ya ada nimlipie mtoto” mnabadilika ghafla kuwa mbogo? 😂😂 Mtu anakuomba tu Control Number ili alipe ada ya mwanae, lakini majibu yanakuwa: «“Kwa nini unataka Control Number?” na matusi mazito juu! “Hiyo hela nitapanga...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Watanzania zaidi ya milioni 50 wanakosa Lishe bora UN wabainisha.

    Ndugu zangu kama ripoti ya UN ni kweli basi bado Tanzania tuna umasikini mkubwa na naweza kukubaliana nao kwa sababu ni familia chache sana Tanzania zinazoweza kupata mboga za majani na matunda angalu kwenye mlo wa mchana na usiku au tuseme milo angalau miwili kwa siku bila kujali muda...
  12. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Nashauri haraka, SUGU na Proffesa J, hii Milioni 40 ya Tone Tone, iliyobakia muitafute uwanja wa mkapa, wekeni Kiingilio kiwe Sh;500 tu.

    Nimemsikiliza MH john heche Makamu ,Mwenyekiti wa CHADEMA akisema imebakia 40m wafike lengo la kukusanya milioni kadhaa za Baraza kuuu takatifu la CHADEMA. Nashauri, Mr SUGU na Proffesa J andaeni shooo iitwe tone tone stendaup. Uwanja wa Taifa Kiingilio kiwe sh 500 tu kwa kila mpenda...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kundemba FC mabingwa PBZ Yamle Yamle Cup, Masauni awapa Sh10 milioni

    Unguja. Timu ya Kundemba FC imetawazwa mabingwa wapya wa Mashindano ya PBZ Yamle Yamye kwa kuichapa bao 1-0 timu ya Ubinadam Kazi FC lililofungwa na Abdallah IddI Pina katika mchezo uliopigwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Mashindano hayo yalishirikisha timu 36 kutoka Unguja timu 24 na Pemba timu...
  14. balibabambonahi

    JamiiForums Tanzania Natafuta MTU wa kuniandikia proposal ya biashara ya milioni Tano chap.

    Ninahitaji Hilo kama upo nichel 0747464239
  15. O

    JamiiForums Tanzania Mradi wa maji wa Milioni 585 wazinduliwa na mwenge wa uhuru

    Mradi wa maji wa Sh585 milioni wazinduliwa na mwenge wa uhuru MWENGE wa Uhuru umezindua rasmi Mradi wa Ujenzi wa Mtambo wa Kuchuja Maji Igombe–Kabangaja, jijini Mwanza, uliyojengwa kwa gharama ya Sh585 milioni, unaolenga kuongeza upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi wa maeneo hayo...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Wapi Arusha naweza kupata shamba kwa bei ya milioni moja kwa ekari?

    Habari wana jamvi. Nahitaji shamba eka 5 linalofaa kwa kilimo cha migomba. Angalau umbali usizidi kilomita 50 kutoka Arusha mjini.
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Safari ya chadema kuchangisha milioni mia3.34 imefikia wapi ndugu wadau wa Jf?

    Naona hakuna updates tena kama awali, kuna changamoto yoyote?🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  18. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Sera za Kilimo za Samia zawezesha Ongezeko la Matumizi ya Mbolea kwa asilimia 211% Kutoka Tani 264,000(2021/22) Hadi Tani 1.2 Milioni(2025/26).

    My Take Mkifanikiwa kumvuta Dangote ajenge kiwanda Cha mbolea itakuwa ni big deal sana. Dangote anajenga kiwanda Kikubwa Ethiopia wakati Tanzania ndio food busket wa Africa. https://www.instagram.com/reel/Dbuph__AjA6/?igsh=MTBubnU5NWVpbW9rbg==
  19. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Tume ya Sayansi Yampa Mkopo wa Milioni 100 Mbunifu wa Helikopta Ili aendeleze Teknolojia.

    My Take Kuwe na Mfuko maalumu wa kuwawezesha wabunifu tuu na WA link na research centres . Kuna mwingine kule Njombe ameishia la saba ila ametengwdza mfumo wa umeme. Tukienda hivi tuswapita Iran.Kukariri vya wengine huko madarasani ni ku endeleza ujinga...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Marekani yaweka rasmi dhamana ya visa ya hadi $20,000 kwa Nchi 30 za Afrika. Tanzania ikiwepo

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani inatarajia kufanya kuwa wa kudumu mpango wa majaribio unaowataka raia wa mataifa 50, mengi yakiwa ya Afrika, kutoa dhamana kubwa wanapoomba viza, huku gharama zake sasa zikitarajiwa kufikia hadi $20,000. Ilani ya awali, iliyochapishwa Ijumaa katika Rejista...
Back
Top Bottom