milango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Execute

    JamiiForums Tanzania Nimenunua kasia, je naweza kupata ajira pale airport niwe nafungulia milango ya ndege?

    Wakuu nilipita katika pwani ya bahari nikaona kijana amebeba kasia nikampa elfu tano akaniuzia. Naweza kulitumia hili kupata ajira pale airport niwe nawafungulia milango ya ndege?
  2. G

    JamiiForums Tanzania Tatizo la milango kupasuka

    Wakuu Naombeni ufahamu, fundi kaniwekea milango aina ya mkongo, baada ya wiki mbili imepasuka kama picha inavyoonyesha, naomba kujua tatizo ni nini na nitairekebishaje.
  3. D

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Milango mitano ya MNINGA

    Habari za wakati huu Wana JF. Leo nimerudi tena Ndugu Zanguni, Nauza Milango MITANO (5) ya MNINGA. Ni mipya kabisa, bei ni tsh Laki mbili na elf hamsini (250,000/=) kwa mlango MMOJA. Maongezi yapo KIDOGO. Napatikana TABATA KINYEREZI Dar Es Salaam Karibuni SANA 0768 838320. Kwa anayeitaji...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU waagizwa kuchunguza jengo la zahanati lililotumia Tsh. Milioni 75 na halina milango wala madirisha

    Mwonekano wa jengo la zahanati ya Kijiji cha Mtakuja iliyopo Wilaya ya Ruangwa ambayo imeshatumia Tsh. Milioni 75 hadi sasa. Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi amemwagiza Kamanda wa TAKUKURU wilayani Ruangwa kufanya uchunguzi wa...
  5. Going Concern

    JamiiForums Tanzania Kipi ni sahihi? Kuanza na plasta ndio uweke frame za milango au uanze kuweka frame then plasta?

    Kipi kinafaa kuanza kati ya plasta au kuweka frame za Milango kwanza? Lengo ni kupata frame ambayo itajaa kwenye kuta vizuri. Naogopa nikianza kuweka frame ataweka ukubwa Sawa na kuta za Milango hivyo wakipiga plasta haitokua imejaa! Wakipiga plasta then Uje uweke Milango haitokua imeshika...
  6. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Milango ya chuma ni Bora dhidi ya mchwa,lakini ni zipi faida zake zaidi na ni yapi mapungufu yake?

    Siku za hivi karibuni kumekuja ubunifu wa milango ya chuma, Milango hiyo mwanzo ilianza kuonekana ktk maduka ikitokea nje ya nchi. Lkn bahati nzuri pia mafundi wetu wa vifaa vya grill nao wameanza kutoa milango kama hiyo ya nje lakini walitengeneza kwa mabati magumu sana wakiunganisha kwa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nani anaelekeza madereva Mwendo Kasi kupakia abiria kupitia milango iliyoangalia barabarani (Kibaha to Kimara)? Hadi abiria wagongwe?

    Nimeona jambo lisilo la kawaida katika eneo la Temboni, gari la mwendo Kasi linapakia abiria kupitia milango inayotazama katikati ya barabara. Kibaya Zaidi wakati wanapakia Kuna gari zinapita kwa Kasi huku abiria nao wakikimbia Kwa Kasi Jambo ambalo kiusalama siyo SAHIHI. Wakati haya yanafanyika...
  8. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Haya yakifanyika uhalifu utaisha, panya road watakwisha na raia watakuwa wanalala milango wazi hadi asubuhi

    Habari zenu ndugu zangu. Baada ya salam, ningependa niende kwenye mada husika kwa kutumia mifano hai iliyopita. Katika historia ya nchi yetu toka tapate uhuru mpaka leo, hakuna kipindi kilichokuwa na changamoto za kiusalama kama kipindi cha miaka ya 1989 hadi 1993. Hiki ndio kipindi ambacho...
  9. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ethiopia yaanza kufungua milango kwa ajili ya KCB na Equity - yaani watu milioni 110

    Tushindwe wenyewe....yaani Wakenya tuna subira mithili ya chui, tunanyatia nyatia na kusogelea na kupiga mahesabu ya mbali, ila pale tutachomoka huwa hatukosei maana lazima meno yang'ate kwenye shingo. DRC na ukanda wote wa EAC upo kwapani tayari, hawa Wahabeshi ndio walikua mfupa uliomshinda...
  10. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai akutana na Rais Samia Ikulu Dodoma

    Rais Samia Suluhu baada ya Kutoka Kwao Zanzibar amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) aliyefika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma. Rais Samia kesho ana Kikao na Mawaziri na Manaibu Mawaziri Ikulu Chamwino. Pia soma; Spika Job...
  11. Heaven Seeker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ifahamu milango minne ya kuingia katika mahusiano na sababu za kuvunjika au kufanikiwa kwa mahusiano hayo!

    Amani kwenu Wakuu. Elimu ya mahusiano ni kubwa na watu wengi wamekuwa wakielezea mambo kadha wa kadha, kwa upande wangu naomba kujikita katika muktadha tofauti kidogo kwa namna yake japo kwa ujumla wake mambo yanaweza kuwa yaleyale kama ambavyo huelezwa na watu wengine. Bila shaka utakubaliana...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Hivi vyoo huwa havihitaji milango

  13. D

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Door and window sensor alarm (alamu za madirisha na milango)

    Je unahitaji kuimarisha ulinzi wa nyumbani kwako kwa kuweka alarm lakini changamoto ni hela? Kama una madirisha ya aluminium, Je umewahi kuibiwa simu kupitia dirishani wakati wa usiku Je unajua wezi ni rahisi kwao kufungua madirisha ya aluminium au kuvunja vitasa na kuingia kupitia mlangoni na...
  14. luangalila

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa vitasa vizuri vya kufunga katika milango

    Wajumbe mnaofahamu Vitasa vizuri vya kifunga katika milango au pia kama kuna mtu annae fahamu duka wanalo uza vitasa vizuri vya milangoni.
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Taliban yatawanyisha maandamano ya Wanawake kudai haki

    Maafisa wa Taliban wamevunja maandamano ya Wanawake kadhaa huko Kabul. Imeelezwa Wanawake hao walikuwa wanadai Haki ya kufanya kazi na kujumuishwa kwenye Serikali. Kundi hilo limesema mabomu ya machozi yalifumika kuwasambaratisha wakati wakijaribu kutembea kwenda Ikulu ya Rais. Huu ni...
  16. F

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tufungue Milango ya ajira za nje kwa wahitimu wetu

    Wakati tunahamasisha wahitimu wetu kuingia zaidi kwenye ujasiriamali kama njia ya kukabiliana na ukosefu wa ajira, ninaamini bado kuna nafasi katika soko la ajira la nje hatujaitumia vema. Kwa sababu kama soko la ajira la ndani limekuwa gumu kuna uwezekano wa kutafuta ajira nchi zingine. Hapa...
  17. Guru Master

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Milango ya Mbao na Frame kwa Mbao za Mninga, Mkongo, Mbanda Kwa bei rahisi sana

    Tunachukua order za kutengeneza Milango ya Mbao,Imara na Misafi toka Urambo Tabora. Mbao Maarufu za Mninga ,Mkongo na Mbanda. Inapatikana. Kwa order kuanzia milango 5 na kuEndelea. Karibuni Kwa order na mawasiliano zaidi. Huo ambao haujawa polished Tsh. 300,000. Pure Mninga. Ule wenye vibox...
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Milango ya kibiashara yafunguka Kenya na Tanzania baada ya kuondolewa kwa vikwazo

    Kuondolewa kwa Vikwazo 30 Kati ya 64 vya kibiashara baina ya nchi ya Tanzania na Kenya, kumechangia kufunguka kwa milango ya kibiashara katika Mpaka wa Namanga. Mkuu wa Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha, Nurudin Babu. Hata hivyo, Mkuu wa Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha, Nurudin Babu...
  19. Guru Master

    JamiiForums Tanzania Natafuta tender za kutengeneza Milango ya Mbao za Mkongo

    Nimekuwa nikifanya biashara ya kutengeneza Milango ya mbao za Mkongo toka Mkoani Tabora. Kama unahitaji wewe Binafsi au unaweza niunganisha na Makampuni ya Ujenzi naomba tuwasiliane tuongee biashara. Mbao ni za Mkongo. Haziliwi na wadudu na Haziozi nadhani kwa wajuzi wa mbao wanazifahamu hbr...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Corona: EU Yafungua Milango kwa Wageni hali Inapotengamaa

    Hii ni habari njema kwamba kumbe palipo na jitihada kubwa, hali inaweza kutengamaa. Nani hakuyasikia ya Italy, Spain nk? https://edition.cnn.com/travel/article/pandemic-travel-news-new-york-california-europe/index.html Ni wazi kuwa mpambano haukuwa bure, maisha yameokolewa na matumaini sasa...
Back
Top Bottom