milango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Magical power

    Maombi ya asubuhi ya Baraka Njema

    Tunakushukru Eee Mungu Baba kwa pendo lako kuu umetulinda na hatari zote za mwili na roho tumeamka salama tunazo changamoto ndani mwetu kwasababu sisi ni wahitaji Bwana Tunaomba ututendee wema wako sisi wahitaji katika maeneo yetu ya uhitaji wetu Eee Bwana Tutakapoyakabili majukumu basi...
  2. Magical power

    Maombi ya usiku wa manane kufunguliwa milango yako ya baraka usiku huu ikafunguke🙏🏽

    Eee Bwana ni usiku tena asante kwa neema hii. Tuliikabili siku kwa juhudi zetu huku tukiwa na tumaini ndani mwetu. Yawezekana haikuwa vile tulivyotarajia yawezekana haikuwa fungu letu kesho inaweza kuwa vile tulivyotami leo Bwana wakati mwingine hili nililopitia leo ni kwasababu ya...
  3. MaduhuJ

    Nauza mbao za mti wa Eucalyptus/Mkaratusi kwa bei ya shambani

    Habari, nauza mbao za mti wa Eucalyptus, kwa majina ya kiswahili unajulikana kama Mlingoti, Mkaratusi, Mti Mbao, Mbao nyekundu. Mbao zina ubora, size zimejaa na bei ni rafiki (ya shambani). Mbao hizi ninachana mwenyewe maeneo ya Mgololo, Mufindi (Iringa) na Uchindile, Mlimba (Moro). SIFA ZA...
  4. Strong25

    Karibuni sana kupata madirisha ya vioo na milango

    Natumai mko poa kabisa PENDEZESHA NYUMBA YAKO KWA ALLUMINIUM _natengeneza madirisha ya alluminiu _milango ya alluminium & viooo _partion za mahoficini & duka la dawa & hopitali _vioo vya saloon kike na kiume _kama uliweka madirisha tunafanya repair kama vioo havitembei vizuri ama wavu kuchanika...
  5. Roving Journalist

    DC Mboni Mhita: Mkandarasi aliyeng'oa milango kisa deni aliirudisha na shughuli zinaendelea kama kawaida

    Imeelezwa kuwa milango ambayo iling’olewa na Mkandarasi katika Kituo cha Afya cha Bulige, Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga, ilirejeshwa na shughuli zinaendelea kama kawaida. Awali Mkandarasi aling’oa milango kwa madai ya kuwa hajalipwa gharama za kazi yake kutoka kwa Ofisi ya Mkurugenzi, Mkuu...
  6. L

    Ndugu zangu wa Yanga timu mnayo kweli lakini kwanini mnaingiza mabasi uwanjani bila wachezaji na mnapitia milango isiyo rasmi, shida ni nini?

    Kwa kweli mmekamilika kweli sio utani, ila yapo mambo yanatufanya tuwe na wasiwasi wazee wa Jangwani. Timu mnayo na mnaonyesha kweli mnataka bao, ile move ya Boka hadi mtu akajifunga sio masihara, yule ni Usain Bolt kabisa. Lakini kwanini Azam jana wajifunge mabao yote matatu huku nyie...
  7. Brain Kingdom

    Nikigundua anafungua milango yote ya utumishi wa mwili wake naachana naye

    Shalom, Napitia wakati ngumu sana nyakati hizi, wanawake, wadada, mabinti wengi ninaokutana nao zama hizi kwa ajili ya kulijenga jumba la maraha jumba la zeze, kwa bahati mbaya wengi wao tayari wanafunguo za milango yote ya nyumba kubwa na ndogo. Nasikitika sana nawaza uelekeo wa maisha haya...
  8. A

    INAUZWA Kabati la Milango mitatu Mninga (Mbao ngumu) linauzwa

    SOLD...
  9. Lexus SUV

    Kabati la milango mitatu linauzwa ni jipya....pia tunapokea order za kutengeneza makabati na furniture..

    Lipo. Moshi mjini karakana.. Bei 380,000/=.... mawasiliano. 0756294771 Pia ukihitaji kutengenezewa kwa order mafundi wapo inalipa advance then. After a time unaletewa mpaka mlangoni then una maliza kiasi kilichobaki...
  10. Lupweko

    Katika hatua ya makundi AFCON, Aishi Manula ashika namba nne kwa ubora miongoni mwa walinda milango wote

    Mtandao wa Sofascore umetoa ubora wa walinda milango katika hatua ya makundi ambapo mlinda mlango wa Tanzania, Aishi Manula, amefanikiwa kuwa katika namba nne kwa ubora katika orodha ya walinda milango wote walioshiriki katika mechi za AFCON 2023 hatua ya makundi. Orodha kamili iko hapa:
  11. Lexus SUV

    Kabati milango 3 inauzwa

    lipo dukani , moshi mjini , pia yapo matatu bei each, 490,000/= Contact 0672701329
  12. MK254

    Mapropaganda wa Urusi wakutana na vichwa vya nguruwe kwenye milango yao

    Watu kadhaa ambao hutumiwa na Urusi kueneza propaganda wakiwemo wanahabari wakumbana na vichwa vya nguruwe kwenye milango yao, sijaelewa kwanini itumike kichwa cha nguruwe maana hawa sio wafuasi wa ile dini ya mwarabu ambayo huogopa sana nguruwe......... Hawa mapropaganda ni hatari sana, kuna...
  13. profesawaaganojipya

    Msaada haraka, kafungia funguo ndani ya gari na kalock milango

    jamaa kafungia ufunguo ndani ya gari na ka lock milango,na kapandisha vyoo vyote, gari ni runx, msaada tafadhali kwamafundi na wazoefu,afanyeje jamaa..
  14. carnage21

    Wadada mnaovaa mawigi kuweni makini mnapopita kwenye hii milango ya kisasa

    Leo nimeshuhudia wigi la mdada limeanguka baada ya kunata kwenye mlango,aisee ki ukwel ana kichwa kibaya saaaaanaa. MY TAKE Kama ni mdada na unavaa mawigi ongeza umakini usije kuaibika kama una kichwa kibaya.
  15. K

    Milango ya mbao na frame Mwanza

    Natafuta mafundi wazuri wa kutengeza milango ya mbao na frame zake MWANZA wanajamvi kwa yoyote anayejua wanakopatikana anielekeze. Asanteni.
  16. Nonji

    Sample za milango mizuri ya mbele

    Habari wajenzi? Naomba kuona sample za Milango ya chuma ya mbele.
  17. Melki Wamatukio

    KWELI Jokofu likiachwa milango wazi huku limewashwa halidumu kwa muda mrefu

    Hivi ni kweli kuwa jokofu likiwa 'switched on' huku milango yake ikiwa wazi, hupelekea kuharibika ndani ya muda mfupi wa matumizi?
  18. U

    Unatatuaje tatizo la Milango ya mbao kushindwa kufunga hasa ikinyeshewa na mvua?

    Nimekuwa nikisumbuliwa Sana na milango kushindwa kufunga hasa ikinyeshewa na mvua, ushauri wenu wadau wa nini nifanye!
  19. Equation x

    Wapi naweza kupata top za milango na fremu za mninga kwa bei nafuu?

    Wapi naweza kupata, fremu na top za milango ya mninga kwa bei nafuu; top isizidi 200,000/=, na fremu isizidi 90,000/=; hiyo gharama iwe mpaka kufikisha eneo la ujenzi, Arusha. Milango na fremu 16pc, ila kazi inaweza kufanyika kwa awamu.
  20. Execute

    Nimenunua kasia, je naweza kupata ajira pale airport niwe nafungulia milango ya ndege?

    Wakuu nilipita katika pwani ya bahari nikaona kijana amebeba kasia nikampa elfu tano akaniuzia. Naweza kulitumia hili kupata ajira pale airport niwe nawafungulia milango ya ndege?
Back
Top Bottom