Milango ya chuma ni Bora dhidi ya mchwa,lakini ni zipi faida zake zaidi na ni yapi mapungufu yake?

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
9,229
33,910
Siku za hivi karibuni kumekuja ubunifu wa milango ya chuma,
Milango hiyo mwanzo ilianza kuonekana ktk maduka ikitokea nje ya nchi.
Lkn bahati nzuri pia mafundi wetu wa vifaa vya grill nao wameanza kutoa milango kama hiyo ya nje lakini walitengeneza kwa mabati magumu sana wakiunganisha kwa welding.
Kusema kweli ni wewe mteja TU unapeleka ama unapendekeza urembo ama ua au mtindo unaoupenda,mafundi wanakutengenezea vizuri tu.
Milango hii inafaa sana kwenye maeneo yenye mchwa.

Sasa naomba wataalamu mnisaidie kujua zaidi faida na hasara zake
 
Faida zake ni nyingi kuliko hasara.

Changamoto kubwa ni endapo ukuta wa nyumba hauko vizuri, nyufa lazima zitokee au frame kujiachia na ukuta.

The rest ni faida kuanzia gharama, ubora, kudumu.
 
Kwa usalama milango wa chuma ni mizuri na madhubuti kama ukivamiwa ingawa pia ikitokea ajali ya moto uokoaji ni mgumu ukilinganisha na milango ya mbao.
 
Back
Top Bottom