miezi

Normunds Miezis (born 11 May 1971) is a Latvian chess Grandmaster (1997).

View More On Wikipedia.org
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Songwe: Baba amchoma mtoto wa miezi sita akidai amesingiziwa

    Jeshi la Polisi mkoani Songwe linamshikilia mkazi wa mtaa wa Ilembo wilayani Mbozi, Mariko Kahinga kwa tuhuma za kumuunguza mtoto wake wa miezi sita. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe (RPC), Janeth Magomi amesema Jeshi hilo limebaini kuwa Kahinga alimchoma mtoto huyo kwa madai kuwa sio wake huku...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mwaka na miezi 3 kuchelewa kukaza shingo

    Habari zenu, Nina mtoto wa mwaka na miezi mitatu alichelewa kukaza shingo kwa sasa ndio anatambaa ila kwa makalio. Ila napatwa na wasiwasi ninapomsimamisha shingo yake anaitupa kwa nyuma. Nifanye nini ikae sawa? Ila anapokaa anachezea vitu vizuri tu na kuvifata hata kujaribu kusimamia vitu...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Uwekaji wa mfumo wa anwani za makazi kufanyika kwa muda wa miezi mitano badala ya miaka mitano

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Serikali itatekeleza uwekaji wa mfumo wa anwani za makazi kwa muda wa miezi mitano badala ya miaka mitano kama ilivyokuwa itekelezwe hapo mwanzo. Waziri Nape amesema zoezi hilo linafanyika kutokana na misingi mitatu...
  4. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pikipiki King Lion imetumika miezi 9 Mwanza Mjini

    INAUZWA 1.7mil... 0713096076 ipo IGOMA CC 150 GIA 5. HAIJAGUSWA POPOTE ENGINE NZIMA. KARIBU
  5. S

    JamiiForums Tanzania Awamu ya Sita imeshakopa Trillion 10 ndani ya miezi 9 madarakani. Tunaomba ufafanuzi

    Mbatia katika hotuba yake ya mwisho wa mwaka alisikika akisema mpaka sasa Serkali ya awamu ya sita imeshakopa takriban Trillion 10 tokea iingie madarakani! Nauliza kwanini serikali haiji kutoa ufafanuzi wa kutosha badala yake kufunika funika mambo?. Mheshimiwa Spika Ndugai japo kaomba msamaha...
  6. Msitari wa pambizo

    JamiiForums Tanzania Course gani fupi za miezi angalau sita ambazo zinaweza kuwa na faida kwa aliyemaliza Form Four?

    Wakuu nina vijana wawili wa kike na wa kiume wamemaliza kidato cha nne mwaka huu 2021. Kama mnavyofahamu kwamba matokeo yao yakitoka January wanatapaswa kujiunga kidato cha tano mwezi July. Sasa kwa miezi yote hii sita naona kama muda ni mrefu sana kwa wao kukaa nyumbani tu. Sasa nilitamani...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Samia kwa miezi 9 tangu aingie Madarakani

    MAFANIKIO YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN TOKA AINGIE NADARAKANI Mh.Rais Samia Suluhu Hassan: Ameendelea kujenga Nchi kwa kuendeleza Miradi mikubwa ya Taifa kama ilivyoainishwa kwenye ILani ya CCM ya Mwaka 2020-2025, Mradi wa Julius Nyerere Hydropoer Poject-JNHPP wa Megawatt 2115 umeendelea...
  8. Underthesea

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilijinunulia Pete, Nikagharamia harusi mwenyewe, Ndoa ikafa baada ya miezi minne

    Mume wangu tulikutana chuo, mimi nikiwa na miaka 20, yeye 21. Tukaanza kuishi pamoja kama mke na mume. Tulikuwa tukiandika majarida mitandaoni ndo tunapata pesa ya kujitunza wenyewe, na ndo pesa nilimsomeshea mdogo wangu kwani mama alikuwa mgonjwa na tuliishi maisha duni sana. Mimi na mume...
  9. britanicca

    JamiiForums Tanzania Britanicca ndani ya Korea Kusini na Kaskazini Kwa miezi 8, week ya awali yawa ngumu Kwa kukiuka Utaratibu wa nchi husika

    Ni mara yangu ya pili kufika Pyangyong ! Ni kazi zetu hizi hizi ambazo Kwa manufaa ya wengi si vema kuzisema sema! Mwaka 2017 nilienda Korea kaskazini na nikakuta mashart magumu sana ambayo Kwa mtu asiye mvumulivu anaweza akajuta Kwenda ! Mashart kama vile 1. Kusindikizwa na wazawa wawili Kama...
  10. Madihani

    JamiiForums Tanzania Mbezi Louis: Mabadiliko makubwa yaliyotokea ndani miezi michache baada kifo cha Dkt. Magufuli

    Habari za muda huu JamiiForums. Picha zinawekwa hapa kwahio hakuna haja ya maneno mengi. 1.Mbezi Louis ya Mwendazake (Dictatorial Regime). 2. Mbezi Louis ya Samia Suluhu.
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ana ujauzito wa mwezi mmoja, mchepuko ana ujauzito wa miezi mitatu

    Wakuu Jamaa angu kaniaomba ushauri hapa, ana mchepuko wake una mimba ya miezi mitatu na wife wake nae leo kamwambia ana mimba ya mwezi mmoja. Yeye amepanga kuwaambia wote watoe hizo mimba. Me nimemshauri amuache wife wake azae ila mchepuko utoe tu. Nyie mnampa ushauri gani huyu raia?
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano kujifungua mimba ya miezi 8 na mtoto akawa salama?

    Je,kuna uwezekano wa mwanamke kujifungua miezi 8 na mtoto akawa fresh???
  13. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Miezi 8 bila Hayati Magufuli; Alikuwa alama, utambulisho, kielelezo na mwakilishi wa Watanzania

    MIEZI NANE BILA JPM;RAIS MAGUFULI, ALAMA,UTAMBULISHO,KIELELEZO NA MWAKILISHI WA WATANZANIA. Leo 10:35hrs 17/11/2021 Nianze kwa Ushauri,na huu ndio ushauri wangu;Pamoja na Uzalendo uliopitiliza aliokuwa nao Rais Magufuli,pamoja na roho ngumu aliyokuwa nayo kuisimamia Tanzania irudi kwenye...
  14. Rais wa Matajiri

    JamiiForums Tanzania Benki za Biashara Tanzania zinaogelea kwenye faida. Je, nini kimefanyika awamu ya sita?

    Wachumi mtusaidie hili, Hivi mabenki yetu ya biashara kupata faida ya TZS 471B kwa miezi tisa tu,Wakati huko nyuma yalipata TZS 286B kwa mwaka ina maana gani kwa Uchumi wa nchi yetu?Je! ni Vyuma kulegea? Mtakumbuka kwa mara ya mwisho hapa Tanzania mabenki yetu ya biashara kurekodi faida ya...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Hivi mimba ya miezi miwili tu inaweza kumfanya mtu akawa na hasira na kiburi?

    Habari wapendwa? Nina mtu wangu ana mimba ya miezi miwili tu but amebadilika sana, kawa na hasira za ghafla na kiburi hatari. So nauliza,kwa umri wa hiyo mimba ni sahihi kwa yeye kuwa hivyo au analeta maigizo tu?
  16. Liverpool VPN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikiwaambia msioe muwe mnasikia; kwa miezi 4 mwamba kaishi maisha magumu bila mshahara kumbe mkewe ana laki 8 ndani, na usaliti juu kaambulia

    Eeeh bwana ehh ni Mimi Mr. Liverpool Tena. Weekend hii tumempiga Manure na nyundo Kali sanaa mpaka kapoteana.!! Sasa jiulize ile ilikua Old Traford, je wakija Anfield..!!! Turudi kwenye mada .... HIVI KWANINI HAMSIKII NIKIWAAMBIA MSIOE ??😳😳😳 Sasa Kuna mwenzenu yamemkuta huku ...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amefanya vizuri ndani ya miezi saba madarakani

    Oktoba 19 imetimia miezi saba tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani kuliongoza Taifa hili. Kuna mengi ameyafanya vizuri sana, na mengine hakufanya kwa usahihi, lakini kutokana na kwamba siku ya sherehe hatafuti sababu ya kuhuzunika, basi leo nitandike jamvi nimsifu kwa machache. Mimi...
  18. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Miezi 7 bila Dkt. Magufuli; Noti mpya iliyopakwa Dhahabu, Almasi, Tanzanite ingeileta Tanzania mpya katika uso wa dunia

    MIEZI SABA BILA JPM;NOTI MPYA ILIYOPAKWA DHAHABU,ALMASI, TANZANITE INGEILETA TANZANIA MPYA KATIKA USO WA DUNIA. Leo 10:15hrs 17/10/2021 Nianze na maswali matatu yatakayotuongoza katika kujiuliza kama tunaweza kutengeneza pesa yetu na thamani yake ikapimwa kwa dhahabu,Almasi au Tanzanite...
  19. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna akiba ya forex ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi sita au kutulisha wote kwa miezi mitatu

    Akiba ya Fedha zetu za kigeni Rais Samia ameiongeza kwa $1.5BL sasa imefikia $6.253BL toka $4.8b mwezi March 2021 | Pesa hii inaweza kulisha Watanzania wote kwa miezi mitatu mfululizo yaani Wale walale tu au kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi 7, === Namba hazijawahi kudanganya na...
  20. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KRA imekusanya ksh 476 billion kwa muda ya miezi mitatu. Pesa ambayo TZ inakusanya katika muda wa miezi sita.

    Wadau Kenya inazidi kuonyesha kwamba sisi ndio baba wa ukanda huu hata likija kwenye swala la kukusanya ushuru. Kenya imekusanya ksh 476 billion katika muda wa miezi mitatu tu. Kiwango cha pesa ambacho Kenya inakusanya kwa muda wa miezi mitatu, Inaichukua Tanzania miezi sita kukusanya. Sasa sisi...
Back
Top Bottom