Mahakama ya Wilaya ya Babati Mkoani Manyara imemuhukumu Patrick Wambura (34) Mkazi wa Bariadi Mkoani Simiyu kutumikia kifungo cha miezi mitatu gerezani kwa kosa la kujifanya Afisa Usalama wa Taifa.
Hukumu hiyo imetolewa leo na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Babati Victor Kimario...
Kampuni ya Apple imetoa ripoti yake ya mauzo ya robo yake ya kwanza ya mwaka 2023 iliyomalizika December 31. Roho ya mwaka ya Apple ni tofauti na robo mwaka ya nchi na makampuni mengine; Hivyo ni ripoti ya mauzo ya mwezi October, November na December 2022.
Apple imeonyesha mapato ya dola...
Heri ya mwaka mpya wadau maana mwaka bado mpya huu ndo kwanzaaaa January.
Turudi kwenye mada ya msingi, nina rafiki yangu Mghana alifiwa na mama yake tarehe 17 mwezi wa 10 mwaka jana. Sasa me nlijua msiba ulishaisha ila naona anasambaza tangazo kwamba bi mkubwa atazikwa tarehe 28 mwezi huu...
Mama katika Baraza lake hamna mtu ambaye hamuelewi Kama dogo janja. Sio kwamba hampendi bali ni uwezo wake mdogo na kupenda rushwa.
Mama ana wasiwasi Sana na dogo janja. Mpaka mama alikuwa anamwambia mdau wake mmoja kuwa Nina wasiwasi Sana Kama hili bwawa litaweza kuzalisha hata uniti moja...
Anatuletea habari za ndani kabisa jinsi bara la Ulaya lilivyo 2022 na viza ya Schengen
Msafiri jasiri Marwa toka Kuria Kenya anatuonesha jinsi bara la ulaya lilivyo na mambo mengi ambayo ni shule kwa nchi za bara Afrika kuhusu umuhimu wa mifumo isiyotetereka na endelevu.
Huwezi kuona tofauti...
Jamaa ukicheki kwenye frji kuna kila aina ya kinywaji unachokitaka ma bia yamejaa bwelele na huwezi kukuta pamepelea hata kidogo.
Mamisosi ya kwenda dah kuna watu wanaishi maisha matamu
Sijui makuku ni jambo la kawaida vyumba safi kabisa
Three months ago, we lowered our flag over the U.S. Embassy in Kyiv, Ukraine, just days before Russian forces streamed across Ukraine’s border to carry out President Putin’s unprovoked, unjustified war of choice.
When we suspended operations at the embassy, we made the point clear: while we...
Wakuu, naombeni ushauri wa kitaalamu, mpenzi wangu alijifungua mwezi Januari mwaka huu.
Mwezi wa 4 katikati akaomba game kwani ameimisi muda mrefu(hatuishi pamoja).
Ajabu mwezi huu hajaona siku zake na ameenda kupima amekutwa na mimba tayari.
Naombeni ushauri, je hii mimba anaweza kuibeba na...
Ni wazi kabisa kupanda kwa bei ya mafuta ni makampuni yanayoagiza mafuta yameamua kupandisha bei wala suala hili halihusiani na vita vya Ukraine ni muhimu kwa serikali kuangalia huu mfumo wa uagizaji kwa Bulk. Ikumbukwe wakati wa serikali ya awamu ya 3 mfumo huu wa kuagiza mafuta kwa (Bulk)...
Mwanamke mmoja raia wa Nigeria, amezua taharuki mitandaoni kwa kusimulia yaliyomkuta baada ya kubaini kuwa mtu aliyemwajiri kama mfanyakazi wa ndani mwanamke 'house girl' sio wa jinsia ya kike bali ni mwanaume.
Mwanamke huyo amebaini kuwa huyo si mwanamke baada ya kumfanyia kazi kwa takribani...
Habari zenu,
Nina mtoto wa mwaka na miezi mitatu alichelewa kukaza shingo kwa sasa ndio anatambaa ila kwa makalio. Ila napatwa na wasiwasi ninapomsimamisha shingo yake anaitupa kwa nyuma. Nifanye nini ikae sawa?
Ila anapokaa anachezea vitu vizuri tu na kuvifata hata kujaribu kusimamia vitu...
Mtunisia kasema anahitaji miezi 2 hadi 3 ili team ipate muunganiko, vilevile kasema mechi ya kesho ni ngumu hawezi kuahidi ushindi sababu yeye siyo mtabiri
Kocha mkuu kuanzia tarehe 27 ni Kazelona sasa sisi wadau wa soka tunaomba apewe atleast miezi 6 ili apate muunganiko maana hawa wachezaji...
Haa walahi kudadeeeekiiii hapa hata takataka za redioni zilizokouwa blinded na bahasha za khaki za wakwepa kodi hawataweza kulizungumzia kabisa.
Kocha mkuu wa Yanga, Nassredine Nabi ametua nchini jana na kutamka kwamba bado hajapata muunganiko katika timu yake licha ya kuwa nchini Morocco...
Habari,
Ndani ya miaka 6 ya Magufuli niliambulia annual increment moja tu ya November 2017, ambacho ni kiasi kidogo sana.
Kwa ufupi mshahara haujaongezeka katika kipindi chote hicho.
Miezi 3 tu ya Rais Samia Suluhu salary slip yangu pale juu imebadilika.
Watu wa imani tunaamini kuwa mateso...
Juzi nilikuwa nimekaa sehemu kimya, nikakumbuka kifo cha Magufuli. Nikajiuliza hivi kafa lini? Nikagundua ni miezi 3 tu iliyopita. Nikashtuka, ashaanza kupotea kwenye kumbukumbu zangu zaidi hata ya Nyerere aliyefariki miaka 22 iliyopita.
Wakuu heshima kwenu,
Kwa mara ya kwanza nimeweza kujicontroll na kuacha kufanya mapenzi na kunywa pombe kwa muda wa miezi mitatu (kuanzia January hadi Aprill mwanzoni)
Nikiri kwamba nimepata nguvu za ajabu mno na uwezo wa ubongo kuchanganua mambo umeongezeka mara dufu. Nilipokuwa meza moja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.