Apple imeuza bidhaa za Tsh. Trilioni 273 ndani ya miezi 3

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,121
Kampuni ya Apple imetoa ripoti yake ya mauzo ya robo yake ya kwanza ya mwaka 2023 iliyomalizika December 31. Roho ya mwaka ya Apple ni tofauti na robo mwaka ya nchi na makampuni mengine; Hivyo ni ripoti ya mauzo ya mwezi October, November na December 2022.

Apple imeonyesha mapato ya dola Bilioni 117 sawa na Shillingi Trilioni 273 za kitanzania au Shillingi trilioni 14 za Kenya.

๐—ž๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐˜‚๐˜‡๐—ผ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐˜ƒ๐—ถ๐—ณ๐—ฎ๐—ฎ ๐˜ƒ๐˜†๐—ฎ ๐—”๐—ฝ๐—ฝ๐—น๐—ฒ, ๐— ๐—ฎ๐˜‚๐˜‡๐—ผ ๐˜†๐—ฎ:

๐Ÿ”˜ iPhone ni Dola Bilioni 65.7 ambazo ni sawa na Shilingi Trilioni 153.6.

๐Ÿ”˜ Macs ni Dola Bilioni 7.7 ambazo ni sawa na Shillingi Trilioni 18

๐Ÿ”˜ iPad ni Dola Bilioni 9.3 ambazo ni sawa na Shillingi Trilioni 21.7.

๐Ÿ”˜ Wearable, Home na Accessories nyingine (Apple Watch, AirPods, AppleTV, HomePods n.k.) ni Dola Bilioni 13.4 ambazo ni sawa na Trilioni 31.3.

๐Ÿ”˜ Services na subscriptions ni Dola Bilioni 20.7 ambazo ni sawa na Shillingi Trilioni 48.4.

SwahiliTek
 
Back
Top Bottom