Kocha Nabi alia na muunganiko kasema anahitaji miezi 3

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Haa walahi kudadeeeekiiii hapa hata takataka za redioni zilizokouwa blinded na bahasha za khaki za wakwepa kodi hawataweza kulizungumzia kabisa.

Kocha mkuu wa Yanga, Nassredine Nabi ametua nchini jana na kutamka kwamba bado hajapata muunganiko katika timu yake licha ya kuwa nchini Morocco kwenye maandalizi ya msimu mpya.

Akizungumza na waandishi wa habari, Nabi amesema:

“Muunganiko wa timu bado, tunahitaji muda kama mwezi au miezi mitatu kwa sababu timu haijengwi kwa muda mfupi.

Wachezaji wote tuliowasajili ni wazuri kwa sababu tulikuwa tunawafuatilia, tukipata muda zaidi tutakuwa bora zaidi,” alisema Nabi.
 
Kwisha habari,mechi na Rivers utd imekwisha Rivers wameshatangulia mguu mmoja.
 
Haa walahi kudadeeeekiiii hapa hata takataka za redioni zilizokouwa blinded na bahasha za khaki za wakwepa kodi hawataweza kulizungumzia kabisa.

Kocha mkuu wa Yanga, Nassredine Nabi ametua nchini jana na kutamka kwamba bado hajapata muunganiko katika timu yake licha ya kuwa nchini Morocco kwenye maandalizi ya msimu mpya.

Akizungumza na waandishi wa habari, Nabi amesema:

“Muunganiko wa timu bado, tunahitaji muda kama mwezi au miezi mitatu kwa sababu timu haijengwi kwa muda mfupi.

Wachezaji wote tuliowasajili ni wazuri kwa sababu tulikuwa tunawafuatilia, tukipata muda zaidi tutakuwa bora zaidi,” alisema Nabi.
Anawaandaa Utopolo kisaikolojia na matokeo ya uwanjani hicho kikundi kitakapoboronga.

Kuna kitu ameshaona kwamba mle hamna timu bali kikundi cha wachezaji.
 
Yanga wanaanza upya kila msimu!

Unaweza shangaa wachezaji 7 hadi 8 ya first eleven tarajiwa ikaundwa na wachezaji wapya!

Mwinyi zahera alirundikiwa wachezaji kama wote.

na yeye alivyomjinga alibadili ile first 11 kwa asilimia mia, isipokuwa tshishimbi na faisal toto basi!

Halaf miezi miwili badae yanga ilitakiwa ishiriki caf champion league!

Waliwatoa township ya botwasana kabla ya kuchapwa na zesco na pyramid.
 
Miezi mitatu Ni January huko wakati wao wanaunganika, Simba atakuwa anahesabu mechi kadhaa mbele
kuchukua ubingwa wa 5.

Kocha anawaandaa kisaikolojia.
Wacha wewe!! 😁😁😁😁 Na ndiyo January hiyooo inaishia ishia!! Na Simba inahesabia tu ubingwa wa 5 mfululizo 🥵
 
Back
Top Bottom