michezo

  1. shuka chini

    JamiiForums Tanzania Wanawake mtatuua na hizi michezo za siri

    Habari za muda huu wadau . Moja kwa moja kwenye mada ipo hivi mimi ni baba wa familia mwenye mke na mtoto mmoja . Nimekuwa nikiacha matumizi hapa nyumbani sasa ajabu kila siku ninaacha matumizi hapa nyumbani nakuta mboga za ajabuajabu. Nikaanza uchunguzi wangu taratibu katika fukunyuafukunyua...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hivi wale Wazee wa Simba waliotoa siku 7 kwa TFF, Wizara ya Michezo na Bodi ya Ligi kuomba radhi baada ya kichapo, zile siku hazijaishaga mpaka leo?

    Wale wazee wa simba waliitisha press na waandishi wa habari baada ya kichapo na kutoa siku 7 kuombwa radhi vinginevyo wangefanya jambo but mpaka sasa ishapita miezi karibu mitatu tunajiuliza waliishia wapi? Tunalisema hili mapema maana zile kelele ziko njiani Tena kurudi kwa namna mambo...
  3. vibertz

    JamiiForums Tanzania Full Time: Young Africans 4 - 0 Tanzania Prisons | NBC premier league | KMC Complex| Disemba 22, 2024

    Katika siku nyingine, siku ya Jumapili ya tarehe 22/12/2024 timu ya Young Africans almarufu wananchi watakuwa dimbani KMC complex kuzitafuta alama tatu dhidi ya Tanzania prisons almarufu kama wajela jela. Timu ya Young Africans inajitafuta kurudi kwenye makali yake baada ya kupata vipigo...
  4. Dabil

    JamiiForums Tanzania CEO wa Simba Uwayezu Francois Regis ateuliwa na Kagame kuwa katibu wizara ya michezo nchini Rwanda.

    Hii imekaaje,CEO Mrwanda aliyeletwa na Simba amekula shavu katika serikali ya Rais Kagame ameteuliwa kuwa katibu waziri wa michezo. Ikumbukwe hakupata vibali vya kazi tangu Simba imlete,naona serikali hapa iliona mbali.
  5. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Fujo Uwanja wa Benjamin Mkapa: Aibu kwa Taifa na Tishio kwa Mafanikio ya Michezo

    Fujo Uwanja wa Benjamin Mkapa: Aibu kwa Taifa na Tishio kwa Mafanikio ya Michezo Leo, Desemba 15, 2024, mashabiki wa CS SFAXIEN ya Tunisia walifanya vitendo vya fujo na uharibifu mkubwa kwenye Uwanja wa Benjamin William Mkapa, Temeke, Dar es Salaam, wakati wa mchezo wa Kombe la Shirikisho la...
  6. Jackson News

    JamiiForums Tanzania Zinauzwa Bukta Fupi za kiume na wanauke kwa michezo 2-in-1 kwa Ufukweni na Kukimbia

    Bei: TZS 33,111.39 (Original: TZS 57,089.89, punguzo la 42%) Bonyeza na Nunua Sifa kuu: Muundo wa 2-in-1: Suruali za nje za kukimbia na suruali za ndani za compression kwa msaada wa ziada. Kupumua na Kaukaji Haraka: Huzuia joto na inakaukaji haraka baada ya kuingia maji, hivyo inafaa kwa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Michezo ya kamali (Butua, Mchongo pesa, cheza pesa) imekithiri kwenye vituo vya Redio

    Kumeibuka wimbi la michezo ya kamali katika vyombo vya habri hapa Tz mfano BUTUA PESA (REDIO FREE & KISS FM) MCHONGO PESA (CLOUDS MEDIA GROUP) CHEZA PESA (BONGO FM) katika vyombo hivyo vya habri watangazaji wamekuwa. wakisisitiza wasikilizaji wait wacheze pesa na watashinda lakini kinacho...
  8. ngara23

    JamiiForums Tanzania Waziri mpya wa Sanaa na Michezo (Prof. Kabudi) naona hatoshi huku

    Naheshimu sana mamlaka za uteuzi wake Naheshimu taalumu, wasifu na uwezo wa Professor Paramagamba Kabudi ila nadhani huku hapamfai Natoa tu maoni na mtazamo wangu wala neno langu sio sheria Waziri Paramagamba Kabudi ana umri wa miaka 68, na wizara anayokuja kutumikia inashirikisha vijana yaani...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa ulinzi katika michezo chachu ya mbadiliko

    Na Zurima Ramadhan, Zanzibar. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Riziki Pembe Juma amesema kuandaliwa kwa mpango mkakati pamoja na muongozo wa ulinzi katika michezo utasaidia kuimarisha ulinzi na usalama katika Sekta ya michezo na kuboresaha mazingira wezeshi ya michezo kwa...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro: Chuo cha Michezo Malya Kushirikiana na Vyuo Nchini Urusi

    Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Michezo wa Urusi Mhe. Mikhail Degtyarev na kujadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano kwenye sekta ya michezo baina ya nchi hizo. Viongozi hao wamekutana Desemba 3, 2024 katika ofisi za...
  11. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Ninashauri michezo ya shirikisho na mingine isiyo na umuhimu isiwekewe LIVE updates

    Kuna michezo mingi ya muhimu ambayo inastahili kuwekewa LIVE updates, michezo ya FIFA, AFCON, UEFA Champions Leaague, CAF Champions League, Ligi kuu bara, nk. Hii michezo mingine inayohusisha timu zisizojulikana na zisizokuwa na michango yoyote katika maendeleo ya soka Tanzania ni vyema ziwe...
  12. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Nani amelitendea haki Jukwaa la Michezo kwa Mwaka 2024?

    Leo ni Desemba Mosi 2024, tumeingia mwezi wa mwisho kwa mwaka huu! Ni member gani amenogesha zaidi jukwaa hili kwa mwaka huu? Karibuni.
  13. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Arusha utakaotumika kwenye Fainali za AFCON 2027 wafikia 11%

    UJENZI WA UWANJA WA AFCON ARUSHA WAFIKIA 11% Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Gerson Msigwa amesema anaridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Arusha unaotarajiwa kutumika kwa ajili ya Fainali za AFCON 2027 ambao hadi sasa umefikia 11% za ujenzi. Msigwa...
  14. Magical power

    JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wamejiingiza kwenye vikoba, michezo, upatu ambao umewafanya wawe ni watumwa wa maisha

    Kuna wanawake wamejiingiza kwenye vikoba, michezo, upatu ambao umewafanya wawe ni watumwa wa Maisha. Imefikia hatua mpaka wanaume anapotaka kumsaidia mtu anambiwa unamapaje mtu hela hiyo mimi nadaiwa kikoba Mtu anayecheza michezo sawa na mtu anabet kila pesa huiwazia kamari tu akaizalishe😀🙌🏿...
  15. itagata

    JamiiForums Tanzania Serikali Ijenge shule za Michezo kila Mkoa

    Ndugu wana Jamiiforums Kwanza nianze kwa kuipongeza timu yetu ya taifa (Taifa Stars) kwa kufuzu kushiriki fainali za kombe la Mataifa ya Africa zitakazofanyika nchini Morocco. Ni hatua nzuri na ya kujivunia kuona soka la Tanzania linazidi kukua na kuonesha mwanga mwema wa mafanikio. Pia ni...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Balozi Ujerumani kushuhudia michezo Jumuishi kwenye Viwanja vya Filbert Bay, Novemba 25, 2024

    BALOZI wa Ujerumani Nchini Tanzania, Thomas Terstegen anatarajia kushuhudia michezo jumuishi itakayoshirikisha vijana zaidi ya 45, michezo itakayofanyika Novemba 25, 2024 kwenye Viwanja vya Filbert Bay, Kibaha Mkoani Pwani. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, Mkurugenzi wa Special Olympics...
  17. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yaandaa Bonanza la Utalii, Michezo na Utamaduni la Pemba, tarehe 27 hadi 30 Novemba 2024

    Salaam Wakuu, Zanzibar yaandaa Bonanza la Utalii, Michezo na Utamaduni la Pemba, tarehe 27 hadi 30 Novemba 2024. Hapa chini ni Hotuba iliyotolewa leo na Mhe. Mudrik R. Soraga Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale kuelekea Bonanza hilo. ====== HOTUBA KWA UZINDUZI WA PEMBA TOURISPORT AND CULTURAL...
  18. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Yanga vs Tabora imenifanya nitambue jinsi watawala wanavyotumia michezo na burudani kupumbaza jamii

    Jana jioni nilikaa eneo fulani nikiwa napambana na hamu ya kunywa bia (nimeacha ulevi ila day by day sio rahisi kusema kweli) nikasikia makelele Bar ya jirani. Ingawa sio mpenzi sana wa mpira, nikasema nijongee nione nini kinaendelea. Nikiwa pale, nikaambiwa Yanga ipo ICU, hivyo nikakaa kuona...
  19. lugoda12

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa klabu ya simba sc pamoja na mchezaji wao jean charles ahoua!

    USHAURI KWA KLABU YA SIMBA SC PAMOJA NA MCHEZAJI WAO JEAN CHARLES AHOUA! Sio rahisi sana isipokuwa anafanya kazi kwa bidii zaidi na kuboresha baadhi ya udhaifu: 1. Timu inapopoteza mipira michango yake katika kuweka alama na kubonyeza kwenye eneo la Wapinzani bado haijaonekana. Yeye pia ni...
  20. sergio 5

    JamiiForums Tanzania Clouds media jana mmejiaibisha mno kwenye kipindi cha michezo

    Habari za mda huu Wana michezo? Kuna mtu Jana mwenye akili timamu aliesikiliza hoja za wachambuzi wa ichi kipindi kuhusu team flani kushtumiwa kutumia sindano na dawa za kusisimua misuli? Ivi huu uchawa tuna tutauacha lini yaani mnatetea team kushinda kwaa kujidunga sindano kuwa itaharibu...
Back
Top Bottom