michezo

  1. Stephano Mgendanyi

    Tutumie Michezo Kutangaza Utalii

    MBUNGE COSATO CHUMI - TUTUMIE MICHEZO KUTANGAZA UTALII "Wawindaji wazawa hawawezi kushindana na wawindaji Wakubwa, nashauri Wizara ya Maliasili na Utalii itenge 70% kwa ajili ya wawindaji wageni na 30% kwa ajili ya wawindaji wa ndani" - Mhe. Cosato Chumi, Mbunge wa Jimbo la Mafinga Mjini...
  2. NALIA NGWENA

    CAF watalifuta goli la ugenini endapo Al Ahly ataonja uchungu kwa kutolewa na Wydad Casablanca kwa goli la ugenini

    Jambo wanamichezo na wadau wa football kwa ujumla, NALIA NGWENA the great thinker, mkombozi wa fikra mpya kama mnavyoniita Wanajamiiforums wenye upendo wa dhati, leo naleta hoja kidogo kuhusu goli la ugenini katika michuano ya CAF. Kwa kweli goli la ugenini linaumiza sana, tena sana, lakini...
  3. Alphonce Njau

    SoC03 Michezo nchini Tanzania

    Andiko kwa Wizara ya Michezo: Kuboresha Uwajibikaji na Utawala Bora Natumai andiko hili litaleta chachu katika hali njema na hamasa ya kuleta mabadiliko chanya katika sekta ya michezo nchini Tanzania. Kwa kuzingatia umuhimu wa uwajibikaji na utawala bora katika kuendeleza sekta hii, napenda...
  4. Nanan

    Takwimu za kamari za michezo na jinsi soko la Tanzania linavyokua

    Sekta ya kamari mkondoni inaendelea kukua kwa kasi ulimwenguni kote, na waendeshaji daima wanatafuta fursa mpya za kuongeza ushawishi wao. Hivi karibuni, Afrika, ambayo kwa muda mrefu ilikuwa nyuma ya pazia, imekuwa kitovu cha tahadhari na imeonekana kuwa soko lenye matarajio makubwa kwa...
  5. Maleven

    Anayejua michezo ya Bolt kuongeza bei aniambie

    Wakati na request bolt bei ilokuja ni 15, 000 tunafika destination risiti inasoma 21,000 tumebishana sana ila kwakuwa nilikuwa na mgojwa wa nikaitoa hiyo hela, haijawahi kutokea hii mara zote nilizorequest bolt, Je kuna vijana wanafanya uhuni? Naomba shule katika hili
  6. Raia Fulani

    Kuna haja ya kuondoa/kuzuia vipindi vya michezo asubuhi redioni na TV

    Hili kwa ukweli wizara husika (ya habari) ilizingatie. Saa mbili, saa tatu asubuhi unaanza kusikia habari za nani kafungwa nani kahamia club fulani, kocha kafanyaje, n.k. Muda wa asubuhi ni muda wa kupata taarifa muhimu za matukio yanayoendelea duniani kuanzia siasa, uchumi, utamaduni, sheria...
  7. GENTAMYCINE

    Watangazaji wa Michezo Redioni mbona leo hamchangamki kama mlivyokuwa mkichangamka kabla ya Mechi ya Yanga SC na USM Alger FC ya leo?

    Halafu mlivyo wa hovyo badala ya Kuitangaza vyema kwa kusema kuwa Yanga SC imefungwa Kiuwezo mnachokifanya sasa ni kutafuta Wasikilizaji wenye Uyanga na kuwalazimisha waseme kuwa Yanga SC itaenda kupindua Matokeo / Meza Jijini Algiers nchini Algeria kwa Kuwafunga USM Alger FC na kuwa Mabingwa wa...
  8. Raia Fulani

    Tanzania kuna wachambuzi wa michezo ila...

    Ila zaidi ya redio hakuna majukwaa mengine ambapo unaweza kutembelea na kupata taarifa za kimichezo (hasa soka) kwa wakati na za kutosheleza. Nakumbuka enzi hizo alianza Dr Leakey tukimsikiliza kipindi cha kombe la dunia - 1994 to 1998. Kipindi hicho ni yeye alitamba kwenye uchambuzoi wa soka...
  9. J

    Haydom marathon 2023 kuchangia matibabu kaya masikini

    Na John Walter-Mbulu Hospitali ya Kilutheri Haydom Dayosisi ya Mbulu imeandaa mbio za nyika (HAYDOM MARATHON 2023) kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa wasioweza kugharamia matibabu hospitalini hapo na kuboresha huduma zaidi. Mkurugenzi wa Hospitali hiyo Dr.Pascal Mdoe akizungumza na waandishi wa...
  10. P

    SoC03 Utawala Bora kupitia Michezo

    Michezo ina jukumu muhimu katika kuchangia utawala bora kwa njia kadhaa. Hapa chini ni baadhi ya mchango wa michezo katika utawala bora: Kukuza maadili na uwajibikaji: Michezo inajenga maadili kama ushirikiano, haki, nidhamu, uwazi, na uwajibikaji. Kupitia michezo, watu wanajifunza umuhimu wa...
  11. Artifact Collector

    Hali ni tete kipindi cha EFM michezo

    Baada ya jana Yanga kushinda south Afrika imezua taharuki kwenye kipindi cha EFM ambacho pundit wote waliitabiria Yanga kupigwa kipigo cha mbwa mwizi south afrika Swali ni kwamba wataongea nin???? Kwenye maisha tukubali kuwa na akiba ya maneno bin kazumari, geof leah hakuna aliyetweet chochote...
  12. A

    SoC03 Andiko kuhusiana na michezo

    Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu sana katika maendeleo ya michezo katika nchi yoyote ile. Michezo ina jukumu kubwa katika kuunganisha jamii na kuleta maendeleo ya kiuchumi, kijamii na kiakili. Hata hivyo, katika nchi nyingi, utawala bora na uwajibikaji katika michezo bado ni...
  13. KENGE 01

    Hongera Azam kwa kuanza kuonesha Ligi ya Kenya mtafika mbali. Commentator awe na lafudhi yao kama DJ Afro

    Sote tunajua juhudi zinazofanywa/zilizofanywa na Azam kwa ujumla. Nipo nchini burundi kisumbusi chao pendwa ni Azam na sasa Azam imeingia Kenya kwa Ruto kwa kasi ya ajabu. Ligi ya Kenya ni nzuri sana tena pengine zaidi ya NBC PL kama watapata muamko wa kushabikia team zao naamini watatuacha...
  14. sIR tEaChER only

    SoC03 Kizungumkuti Wizara Michezo na utengaji bajeti ya ukarabati wa viwanja vya Michezo vinavyomilikiwa na chama

    KIZUNGUMKUTI SEKTA YA MICHEZO NA MATUMIZI YA FEDHA ZA BAJETI YA WIZARA YA MICHEZO, SANAA NA UTAMADUNI Kwa miaka kadhaa sekta ya michezo imekuwa ikizidi kukua siku hadi siku na kujiongezea wafuasi ambapo katika mpira wa miguu ni eneo ambalo kwa sasa lina mashabiki wengi, pamoja na kuwa na...
  15. benzemah

    Rais Samia aipigia chapuo Tanzania kuchaguliwa kuwa Makao Makuu ya Sekretariat ya Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika

    Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza kwa njia ya "video" na wajumbe wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Michezo katika Kanda ya IV ya Afrika (AU Sports Council of Ministers Meeting – Region IV) unaofanyika Jijini Arusha hapa Tanzania. Rais Samia amepiga "kimombo" kilichonyooka kwelikweli...
  16. B

    Rais Samia awakaribisha nchini Mawaziri wa michezo wa nchi 14

    Na Bwanku M Bwanku. Leo Alhamisi Mei 04, 2023 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ni mgeni rasmi na atafungua mkutano wa Mawaziri wa Michezo wa Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika Kanda ya 4 ambapo Mawaziri 14 kutoka Nchi za Comoro, Mauritius, Sudan, Somalia...
  17. Franky Samuel

    TFF wasogeza mbele mchezo wa SBS vs Yanga na Azam vs Simba

    Soma barua ya TFF ====== Bodi ya Ligi Kuu itaupangia tarehe nyingine mchezo wa ligi kuu kati ya Singida BS dhidi ya Yanga ambao ulipaswa kupigwa mwishoni mwa wiki. Yanga inatarajiwa kusafiri nchini Nigeria kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza Robo Fainali Kombe la Shirikisho barani...
  18. Teko Modise

    Tabiri vichwa vya habari vya magazeti ya michezo kesho

    Kufuatia Yanga kushinda ugenini dhidi ya Rivers Utd ya Nigeria huko kwenye michuano ya kombe la shirikisho barani Africa, hebu tabiri vichwa vya habari kwa magazeti ya michezo kesho. Mwanaspoti: Tuwape Yanga maua yao Endelea na wewe kutiririka
  19. Mcanada

    Biashara ya Kubeti Michezo haina tofauti na Biashara ya kuchimba madini

    Baada ya muda kidogo kufuatilia vifo vinavyotokana na biashara hizi mbili nimegundua kuwa utofauti uliopo baina ya biashara hizi ni kwamba Betting haiitaji mtaji mkubwa wa kifedha bali inahitaji mtaji mkubwa wa akili (Intelligence); Biashara ya Betting inatumia akili zaidi na inakupasa uwe na...
Back
Top Bottom