Ateba achungwe sana...

Ateba achungwe sana...

lugoda12

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
311
Reaction score
646
Huyu “ATEBA” wamchunge sana ataua wengi sana msimu huu katika NBC Premier League na hii michuano ya CAFCCL. 🙄📌
74237009-D076-44BD-BE28-A3C5063F4B34.jpeg
 
Huyu “ATEBA” wamchunge sana ataua wengi sana msimu huu katika NBC Premier League na hii michuano ya CAFCCL. 🙄📌View attachment 3104225
Ni kawaida sana kwa mashabiki wa Simba ndio maana wakaitwa mbumbumbu. Onana alifunga goli mbili dhidi ya Wydad wakaimbishwa wimbo mpya wa kumuona ni bonge la straika na ikafikia hatua hadi kuomba msamaha kwa Onana kwa kumkosoa
 
Ana kipi cha ziada? Goli alilofunga kapewa na beki wa Ahly, ulitaka afanyaje pale?
Wale akina Mzize na Dube wa kukosa nafasi 7 za wazi, Kisha kufunga nafasi ya 8 pale wangekosa.

Ila kwa Ateba ukijichanganya kosa moja tu, anakuadhibu.
 
Uto watapinga hadi liwakute Jambo. Bado wandhani kuna wala rushwa pale simba
 
Back
Top Bottom