michezo

  1. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Waziri ya Ardhi yashiriki uzinduzi wa michezo ya Mei Mosi 2025

    Michezo ya wafanyakazi kuelekea kilele cha Mei Mosi 2025 imefunguliwa rasmi tarehe 22 Aprili 2025, katika Uwanja wa CCM LITI mkoani Singida. Uzinduzi huo umehudhuriwa na mamia ya watumishi wa umma kutoka taasisi mbalimbali za serikali, mgeni rasmi akiwa ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Honorable minister notice of violation of sheria namba 12/1967 ya baraza la michezo la taifa (BMT)

    Your honor, this notice takes into account a letter dated 21stFebruary 2022 that our client (unknown) addressed you and before that our client also addressed two letters to National Sports Council (NSC) (The said letter is attached overleaf). Honorable Minister, on behalf of our client, we...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majaliwa: Zawadi pekee ya kuwalipa Rais Samia na Rais Mwinyi kwa maendeleo waliyoyaleta kwenye michezo ni "mitano tena"

    https://www.youtube.com/live/2AL9sZGpSbA Ufunguzi wa kikao kazi cha Mafunzo na Mazingativu cha Maafisa Utamaduni na Maafisa Maendeleo ya Michezo Tanzania Bara, mgeni rasmi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa (MB). Ufunguzi huo unafanyika kwenye Ukumbi wa...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Siku hizi wadada hawaombwi tena namba, bali mvulana unaulizwa kwa nini hunaga namba yangu

    Hasa Hawa wadada wanaocheza michezo ya mtu kutoka kila siku😃😁😁
  5. A

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa hana kingine cha kuisemea Serikali zaidi ya matamko ya michezo?

    Huyu jamaa asilimia kubwa ya matamko yake ni mambo mepesi mepesi ya kiserikali......kama updates za ujenzi wa viwanja vya mipira na kukabidhi pesa za magoli ya mama. Hivi kweli amekosa kingine cha kuisemea serikali nje ya mambo ya kimizaha mizaha...amekuwa kama Ahmed Ally wa Simba sc Sioni...
  6. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Lema yaidhihirisha CHADEMA haina ajenda kwa vijana na michezo

    Kauli ya Mjumbe wa Kamati Kuu wa CHADEMA, Godbless Lema, ya kusema anaomba Mungu Simba na Yanga zipotee zisiwepo, ni kauli isiyoendana na hali halisi ya umuhimu wa michezo katika jamii ya Kitanzania na hata duniani kwa ujumla. Ni muhimu kuelewa kwamba michezo si burudani tu bali pia ni chombo...
  7. Doug Stamper

    JamiiForums Tanzania Dkt Mwigulu: Michezo itaanza kuhamasisha ulipaji wa kodi

    DODOMA - Waziri wa Fedha Dk Mwigulu Nchemba amesema wizara imetenga fungu katika Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) kwa ajili ya kuhamasisha elimu ya mlipa kodi akiwataka Simba kutumia fursa hiyo.
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Wananchi wa Ruangwa Msiache kuichangia Namungo FC inaosaidia kukuza uchumi wa Lindi

    Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Amos Makalla amewataka wananchi wa Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi wasichoke kuichangia timu ya soka ya Namungo, kwani uwepo wa timu hiyo unaleta utalii wa michezo unaosaidia kukuza uchumi katika wilaya hiyo na...
  9. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania CAFCL updates ya kinachoendelea kwenye michezo mitatu

    Mechi zote tatu zimeanza mida ya saa nne. 1.Al Hilaly Omdurman Vs Al AHLY 2.As far Rabat Vs Pyramids 3.Esperance Vs Mamelodi Sundown's Karibuni
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu usimamizi wa michezo ya kubahatusha

    Ni akina nani Huwa wanakagua makampuni ya kubeti nchini ili kuhakikisha hakuna utapeli kwa wananchi? Je Kuna mfumo wowote imara wakufanya auditing ya mifumo inayotumika kwenye michezo husika ya kubahatusha?
  11. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Al Masry kwenye michezo mitano iliyopita kashinda mechi moja tu, Simba hii anavuka

    Eid Mubarak watanzania wote. Wapinzani wa Simba kwenye mchezo wa robo fainali ya kombe la shirikisho Afrika, Al Masry wameshinda mchezo mmoja tu, huku wakifungwa mechi moja na kudroo mechi tatu. Katika mechi hizo tano amefungwa goli 7 na kufunga goli 7. Hii inatoa taswira kwamba, Simba...
  12. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Michezo Tanzania

    Ooooooh Tanzania u hali gani tena rafiki ! Naomba kutoa wazo juu ya uanzishaji wa Chuo cha Michezo Tanzania. Hiki chuo kiwe maalumu kwa utoaji wa kozi ya Astashahada, Stashahada na Shahada kwa kuanzia. Kiwe hata kikanda mfano; Kanda ya Ziwa, Kanda ya Kati, Kanda ya Pwani, Kanda ya Kusini, Kanda...
  13. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Sanaa, Utamaduni na Michezo

    Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Sanaa, Utamaduni na Michezo
  14. lugoda12

    JamiiForums Tanzania Hakuna kanuni ya ligi kuu inayoamuru Yanga kupewa alama tatu

    Kwenye barua ambayo TPLB imewajibu Yanga yenye kumbukumbu namba TPLB/2024/625 ya Machi 16,2025 imewaambia Yanga hawawezi kupewa alama tatu kutokana na kuwa hakuna KANUNI ya Ligi Kuu inayoamuru jambo hilo ambapo TPLB imewapa sababu takribani 10, nitazielezea kwa uchache. 1- Mchezo ulighairishwa...
  15. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Kwa Kauli ya Manara Je alikuwa sahihi au atupwe rumande ya Michezo?

    Wote tumesikia jinsi Manara alivyomvaa Rais wa TFF Ndugu W.Karia kwa lugha ambazo kimtizamo hazina staha ukilinganisha na alicho kisema Rais wa TFF ukweli kwa sasa kumekuwepo baadhi ya watu wanaleta sanaa katika mpira wa nchi hii! Hivyo lazima yeye kama kiongozi wa mpira wa nchii lazima akemee...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mchambuzi na Mwandishi Nguli wa Michezo Tanzania Saleh Jembe apiga msumari wa mwisho na pale pale katika Mshono kwa Yanga SC

    "Yanga SC wanawalalamikia Bodi ya Ligi kuhairisha Mechi ya Yanga na Simba mbona na Wao hawalalamikii Makoma wenye Ndoo wao kuzuia Simba SC kuingia Uwanjani kufanya Mazoezi ya mwisho ni jambo la Kikanuni na wale Wahusika wote wanajulikana na walipewa Baraka zote na Uongozi wa Yanga SC? Naomba tu...
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Waziri WA MICHEZO anatakiwa awe amejiuuxulu kwa VITUKO vinavyoendelea pale tff..Mama Samia sema neno Moja tu roho yetu ipone

    Rwanda hawana tabia ya kuendekeza ujinga kama huuuu N KANCHI kadogo lakini hakajawahi kukoseankunfundisha adabu pale anapokosea Mpaka sasa nilitakiwa kuona MH WAZIRI WA MICHEZO akiwa amejiuuxulu na KUOMBA radhi kwa UPUUXI WA TFF na BODI take uliotokea Else anatakiwa awe ameshafyrka Ile BODI...
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania NI AIBU SANA KUONA WAZIRI HUSIKA WA MICHEZO AMEKAA KIMYA MPAKA SASA KUONA UPUUZI WA TFF NA BODI YAKE KWENYE SOKA LETU

    Ni mambo ya kijinga na ya AIBU YANAENDELEA kwenye SOKA LETU Yaliyotokea Jana n jambo la AIBU SANA SANA kwa viongozi WA soka la Tanzania Haitoshi nawiwaa na wasiwasi na waziri HUSIKA kukaa kimya SWALA kama hili ni kuendelea kudumisha ushenzi unaoendelea kwenye SOKA la Tanzania Binafsi kama MH...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Utapeli wa mpaka sekta ya michezo Colombia

    Mbona kwenye ile nchi ya Colombia utapeli na kutojali ni kama vile sehemu ya maisha karibu kila nyanja? Kwa mfano, mtu ametoka jimbo moja kwenda jimbo lingine kutazama mechi ya dabi, amekata tiketi ya kutazama, mwisho wa siku mechi inahairishwa. Huu ni utapeli kama utapeli mwingine kwa sababu...
  20. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari za michezo hawaipendi Simba

    Zama zile wakati Yanga wanaishia kwenye hatua ya makundi mashindano ya CAF, waandishi wa habari za michezo Tanzania waliipachika Yanga jina la "wa kimataifa". Leo Simba imeingia robo fainali nne za mashindano ya CAF na kusababisha Tanzania kuongezewa timu mbili kwenye mashindano ya CAF, huoni...
Back
Top Bottom