Nauza android tv box yenye iptv account,
Unapata channel zote zaidi ya 9000+ premium kuanzia super sport, canal sport, na bein sport, channel za watoto habari na music zote live mechi zote live ligi zote kubwa.. Movies na series zaidi ya 30,000+ kwa kutumia wifi internet yako hapo home au...
Ni wa michezo ya Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde amekabidhi kwa uongozi wa Shule ya Sekondari Kiwanja cha Ndege kiwanja cha kisasa cha michezo ya mpira wa kikapu,pete na wavu kama sehemu ya kukuza na kuendeleza vipaji vya wanafunzi wa Jijini Dodoma.
Tukio hilo limefanyika...
Zaidi ya mwaka sasa, michezo mingi ambayo ilipaswa kufanyika uwanja wa Mkapa imekuwa ikiahirishwa, Tukijua kwa bajeti hiyo kutakuwa na maendeleo makubwa sana katika dimba la Mkapa, lakini mpaka sasa hakuna hata TV! pitch bado mbovu, LED Display boards zimeondolewa! Sasa usumbufu na muda wote huo...
Hapa bongo kuna kila aina ya vituko moja ya kituko kinacho niacha hoi ni huu utaratibu wa viongozi wa kitaifa eti kuifanya wanahamasisha michezo wakati ukweli ni kwamba wanajijenga zaidi kisiasa kuliko kuinua hiyo michezo yenyewe.
Badala ya kukaa na kuumiza kichwa ni vipi tunakuza vipaji ni...
Tuko kwenye zama za kidijitali ambapo michezo ya video haipo tu kwa ajili ya kuburudisha. Zamani, ilikuwa kawaida kuona michezo ya video kama njia ya "kupoteza muda," lakini sasa, teknolojia imeleta mapinduzi makubwa – unaweza kujifunza stadi mpya kwa kucheza michezo!
Fikiria hili, wewe...
TANZANIA KUSHIRIKIANA NA IRAN SEKTA YA MICHEZO
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeingia makubaliano ya kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika sekta ya Michezo.
Makubaliano hayo yameingiwa Oktoba 19, 2024 Jijini...
Leo ilikuwa mechi ya watani wa jadi SIMBA na Yanga. Maarufu kama Deby ya Kariakoo.
Michezo pia ni siasa.. Lakini pale inapokuwa ni siasa safi bila agenda za siri nyuma yake.. Kinyume chake ni uchuro wenye nuksi mbaya na laana!
Mimi ni mwana SIMBA original kabisa.. Na Nilikuwa na imani kubwa...
Umaarufu wake na ushiriki wake kwenye mambo ya Sanaa na michezo ni muda muafaka wa kumpa majukumu rasmi ya wizara. Uzi huu utumike kama rejea. Uzi tayari.
Nimefuatilia sakata la Ney wa Mitego na BASATA toka limeanza sijaona kabisa Naibu Waziri akiwa na msada wowote kwa msanii husika. Nini shida, sheria gani aliyovuja Ney kwa wimbo wake wake Nitasema?
Mwaka 1964 ndio ulikuwa mwanzo wa Tanzania kuanza kupeleka wanamichezo kwenye michezo ya Olympic na tumekuwa tukifanya hivyo kila wakati isipokuwa michezo ya Olympic ya mwaka 1976 huku pia tukiwa hatujawahi kushiriki kwenye ile michezo ya Olympic ya Winter.
Katika michezo hii toka mwaka 1964...
Majuzi hapa mashabiki wa Liverpool eti wakawa wanasema virgil ni bora kuliko vidic. Admin wa page ya FA Cup akawakumbusha vizuri wamjue vidic ni kisiki.
Naona vijana wa Arsenal wanaanza kusema pair ya vijana wao ni bora kihistoria EPL.
Nakubali kuwa vana Dijk, n Saliba na Gabriel ni wachezaji...
Kumekuwa na songombingo kuhusu baadhi ya Michezo ya ligi ya NBC Bara kwenda kuchezewa katika uwanja wa Amani Zanzibar.
Mjadala umekuwa ni mpana. Suala hili lilianza pale Simba walipokuwa wanatafuta uwanja wa kuchezea baada ya Lupaso kufungwa na Simba kutotaka kutumia uwanja wa Azam Chamazi...
Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amefunga mashindano ya mpira wa miguu ya KNK CUP 2024 yaliyotanguliwa na Bonanza la michezo mbalimbali ambapo amempongeza Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt.Dotto Biteko Kwa kuendelea kuunga mkono kwa kasi jitihada za Mhe.Rais Dkt Samia Suluhu Hassan...
Habari zenu wakuu. Natumaini mko salama humu jukwaani. Bila kupoteza muda, naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Jana nilikutana na mjadala mtandaoni kuhusu uzinduzi wa kadi mpya za mwendokasi, ambapo sasa bila kadi hii huwezi kufanya safari kwenye usafiri wa mwendokasi. Hii imenifikirisha...
Tanzania, kama taifa, kuamini kwamba tunawapenda watoto wetu, tunazidanganya nafasi zetu, ukweli hatuwapendi.
Kuna matukio mengi yenye kuthibitisha kuwa hatuwapendi watoto wetu, ama viongozi wa taifa hili hawawapendi watoto wa wanaowaongoza maana wao wa kuwazaa hawapitii mapito ya wale wanao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.