michezo

  1. JamiiForums Tanzania CCM kuhodhi viwanja vya michezo kunarudisha nyuma juhudi za Rais Samia

    Mama Samia ni Rais ambae ilikuwa kama kuota ndoto ya mchana kumpata. Mpaka sasa Mama huyu amedhihirisha kufanya mengi ambayo watangulizi wake hawakuyawaza wala kuyaota. Ana bahati sana kwenye kipindi chake timu ya mpira wa miguu ya wanawake kufuzu kwenda kushiriki kombe la wanawake huko India...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Waziri chengerwa awadhihirishia Watanzania kuwa; kero za Wizara ya Utamaduni na Michezo zinaenda kuisha kupitia bajeti yake ya 2022/23

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa leo amewasilisha bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023 ya zaidi ya shilingi bilioni 35.4 Akiwasilisha bajeti hiyo bungeni jijini Dodoma Waziri Mchengerwa amesema kati ya fedha hizo Shilingi Bilioni 8.2 ni Mishahara...
  3. J

    JamiiForums Tanzania DC JOKATE: Viwanja vya michezo vya Kisasa kujengwa Temeke Mwembe Yanga

    Ujenzi wa kituo cha Michezo cha Kisasa kuanza kujengwa katika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke - DC Jokate Mwegelo
  4. JamiiForums Tanzania Tusipinge Simba na Yanga kupokea na kushangilia timu za kigeni bali tuboreshe ili kutengeneza utalii wa michezo ( Sport tourism)

    ➡️ Kwa muda mrefu wadau wahafidhina wa michezo hapa nchini wamekuwa wanakereka na tabia iliyoota mizozi ya Simba na Yanga kupokea na kushangilia timu za nchi nyingine zinazokuja kucheza na timu mojawapo kwa kusema kuwa wanakosa uzalendo ➡️ Jambo hili wamepambana nalo na limeshindikana kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri kukutana na Viongozi wa Vyama na Mashirikisho ya Michezo Bara.

    Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa Kesho anatarajia kukutana na kuzungumza na Viongozi wa Vyama na Mashirikisho ya Michezo Tanzania Bara, Mkutano huu utafanyika uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  6. JamiiForums Tanzania Hakuna taasisi yenye pesa kama Bodi ya michezo ya kubahatisha

    Wakuu Wafanyakazi kwenye hii Bodi wanalipwa kuliko taasisi nyingine kubwa mnazozifikiria. Ni katika bodi inayozalisha pesa nyingi kwa nchi.
  7. JamiiForums Tanzania Daraja la Tanzanite kuonesha mechi mbashara usiku wa Fainali ya Klabu Bingwa Ulaya

    Mkwe wa Rais ambaye pia ni Waziri wa Michezo kulifunga daraja la Salander(Tanzanite) ili kupisha kuonesha Fainali ya Klabu Bingwa Ulaya kati ya Real Madrid Vs Liverpool -- Waziri Mchengerwa ameyasema haya “Tunatambua Heineken wamekuwa waki-support michezo na kwa mara ya 1 Tanzania...
  8. JamiiForums Tanzania Taarifa rasmi ni kuwa Clatous Chama ataendelea kukosa michezo ya Simba

    Baada ya tetesi nyingi ikiwemo kuelezwa amekosana na kocha wake, taarifa nyingine za ndani zinaeleza kuwa kiungo fundi wa Simba, Clatous Chama hataonekana kwenye mechi wala mazoezini kwa mwezi mmoja kutokana na kuwa majeruhi. Chama ambaye alikuwa akilipwa mshahara wa Tsh. Milioni 50 kwa mwezi...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa vigezo vya kujiunga na Chuo cha michezo cha Mallya

    Habarini wana jukwa, Naomba Mwenye ufahamu wa vigezo vinavyo hitajika kujunga na chuo cha michezo cha Mallya na cozi mbali mbali zitolewazo anisaidie nimetamani kufahamu.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Michezo ya hatari: Ushawahi kuingiza mwanamke / kulala naye nyumbani kwa baba yako? Ilikuwaje?

    Miaka kama mi 4 nyuma kuna mpangaji wetu alitembelewa na mdogo wake kutoka Singida, nikatokea kumpenda sanaa huyo mdogo wake, nikamtongoza akakubali akamwambia na dada yake nae akasema fresh tu. Kwenye kumla sasa yule dada alikua ana roho ngumu sana kwa jinsi Mama alivyokua mkali na demu wangu...
  11. JamiiForums Tanzania Michezo ya utotoni, ni hatari katika ukuaji wa mtoto.

    Nakumbuka nilipokuwa mdogo, shule ya msingi nilikwenda kumtembelea ndugu yangu mmoja, alikuwa anafanya kazi kijiji kimoja huko kanda ya ziwa, miaka hiyo. Baada ya kufika kule kijijini, nikakutana na marafiki wa rika langu; wakawa wananitembeza mtaa kwa mtaa, ili niweze kufahamu mazingira ya...
  12. JamiiForums Tanzania Nauliza sehemu wanayokodisha vifaa hivi vya michezo ya watoto

    kama Kuna mtu anajua vinapokodishwa naomba tuwasiliane DM
  13. JamiiForums Tanzania Waislamu msikae kizembe, Mtume Muhammad (S.A.W) amecheza michezo mingi ya burudani katika maisha yake

    Uislamu sio dini ya kununa au kukunja uso na userious muda wote hadi kuanza kuogopeka na watu. Uislamu ni dini ya wastani isiyo na aina yoyote ya itikadi kali au ulegevu. Inakataza burudani isiyo na faida na isiyo na manufaa ya kidunia au ya kidini, na wakati huo huo inahimiza kupumzika kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Watangazaji wa Michezo katika Redio na Tv pamoja na Wachambuzi acheni 'Kutudanganya' kuhusu Yanga SC na huu sasa ndiyo Ukweli...

    Siku chache tu zijazo Yanga SC inatimiza mwaka Mmoja tu (ila siyo Msimu) wa Kucheza Ligi Kuu bila ya Kufungwa. Tayari kuna baadhi ya Watangazaji wa Michezo wa Redio na Television bila kuwasahau na Wachambuzi wa Michezo ambao pembeni yao Wakidanganywa taratibu na Afisa Habari wa Yanga SC...
  15. JamiiForums Tanzania Ili niweze kuonesha michezo inahitajika mtaji wa Tsh ngapi?

    Naona ni fursa ya kujiajiri kupitia kutoa huduma ya kuonyesha mpira, masumbwi, tamthilia pamoja na michezo mingine pia hata matukio mbalimbali, Je mchanganuo wa mtaji wake upoje?
  16. JamiiForums Tanzania Waziri wa Michezo: Soka la Tanzania haliwezi kuendelea kama hatupingi rushwa

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe.Mohamed Mchengerwa amesema Tanzania haiwezi kupiga hatua kwenye sekta ya michezo, iwapo itashindikana kuboresha miundombinu ya michezo, ujenzi wa viwanja vya kisasa, ujenzi wa academy pamoja na ujenzi wa vituo muhimu vya michezo. "Rais wetu wa Awamu ya...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Serikali inatambua mchango wa Chuo cha IAA katika kuendeleza Michezo nchini

    Serikali inatambua mchango wa Chuo cha IAA katika kuendeleza Michezo nchini Na Eleuteri Mangi-WUSM, Dodoma Serikali inatambua na kuthamini mchango unaotolewa na Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) katika kuendeleza na kuimarisha sekta ya michezo nchini hatua inayosaidia kutoa ajira kwa vijana na...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Mandhari kwa ajili ya Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing yapangwa tayari

    Mandhari kwa ajili ya Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing tayari imepangwa mjini Beijing wakati michezo hii inafunguliwa Ijumaa tarehe 4 mwezi huu. Na mascot ya michezo hii ni “Shuey Rhon Rhon”.
  19. L

    JamiiForums Tanzania Michezo ya majira ya baridi kati ya walemavu yaendelea kwa kasi nchini China

    Baada ya China kupata nafasi ya kuwa mwenyeji wa Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing, michezo ya majira ya baridi ya walemavu imeendelezwa kwa kasi nchini China. Katika miaka 6 iliyopita, shule nyingi maalumu kwa ajili ya walemavu zimeanzisha masomo ya michezo ya...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Mbio za mwenge wa Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022 zaendelea

    Mbio za mwenge za Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022 zilizinduliwa jana mjini Beijing.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…