michezo

  1. L

    JamiiForums Tanzania Maonesho ya taa yaliyofanyika katika Mnara wa Olimpiki wa Beijing wakati wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi yapendeza sana

    Maonesho ya taa yaliyofanyika katika Mnara wa Olimpiki wa Beijing wakati wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi yapendeza sana.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kujitolea kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing wanatengeneza sanamu ya mtu wa theluji

    Vijana wa kujitolea kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing wanatengeneza sanamu ya mtu wa theluji.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Februari 13, Maonesho ya Taa ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi yamefanyika katika Uwanja wa Michezo wa Kitaifa mjini Beijing, unaojulikana ka

    Februari 13, Maonesho ya Taa ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi yamefanyika katika Uwanja wa Michezo wa Kitaifa mjini Beijing, unaojulikana kama The Bird's Nest, ambayo yaling’ara sana.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mzee Ji Kaifeng mwenye umri wa miaka 76 ni shabiki wa kuteleza kwenye barafu, ambaye ameshiriki kwenye michezo hiyo kwa miaka 22

    Michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ya Beijing 2022 inaendelea, na China imetimiza lengo lake la kuwahamasisha wananchi milioni 300 kushiriki kwenye michezo ya majira ya baridi. Mzee Ji Kaifeng mwenye umri wa miaka 76 ni shabiki wa kuteleza kwenye barafu, ambaye ameshiriki kwenye michezo...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Tume ya Taifa ya michezo ya kubahatisha inashindwa kudhibiti wizi wa makampuni ya kamari .

    Ahlan wa sahlan Kama uzi unavyojieleza ,moja kwa moja nailenga tume ya taifa ya michezo ya bahati nasibu.Tunafahamu kuwa makampuni ya kamari yanalipa kodi kubwa kwa serikali ndio maana yanapewa vibali kuendesha shughuli zao za kinyonyaji. Mada yangu inalenga zaidi katika online casino games...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zashiriki kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi

    Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi inayoendelea imevutia macho ya dunia. Jumla ya nchi tano za Afrika, ambazo ni Kenya, Nigeria, Madagascar, Morocco na Eritrea zimeshiriki kwenye michezo hiyo. Kwa nchi za Afrika, kushiriki katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi, sio tu ni ishara ya...
  7. Congo

    JamiiForums Tanzania Redio zetu zimetawaliwa na vipindi vya michezo

    Radio Tanzania kipindi cha michezo saa 2 kasorobo mpaka saa 2 kamili. Robo saa inatosha kipindi cha michezo. siku hizi radio inakipindi cha michezo asubuhi masaa matatu na jioni masaa mawili na kila kipindi cha katikati kina segment ya michezo. Yaani unaangalia mechi azam tv ikiisha unaangalia...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Michezo ya 24 ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing yafunguliwa

    Hafla ya ufunguzi wa Michezo ya 24 ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing imefanyika leo kwenye Uwanja wa Michezo wa taifa wa Beijing. Rais Xi Jinping wa China atatangaza kufunguliwa kwa michezo hiyo. Wakuu wa mashirika ya kimataifa wakiwemo mwenyekiti wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki Bw...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Afrika yajumuika na China katika michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi

    Hatimaye mwaka mpya wa jadi wa China ambao ni mwaka wa chuimilia umefika! Mwaka huu umeanza kwa kishindo, matumaini na macho ya dunia yakielekezwa China. Kwa mara nyingine tena Beijing ni mwenyeji wa wageni kutoka pembe zote za dunia wanaojumuika kwa ajili ya olimpiki ya majira ya baridi maudhui...
  10. Makonyeza

    JamiiForums Tanzania Yaliyomshinda Mbunge wangu Kigamboni

    Yaliyomshinda Mbunge wangu Kigamboni: Sina pa kusemea, ukurasa wangu hapa facebook ndio kipaza Sauti changu. Anyways, Sikuwa na matarajio mkubwa kwake kwa kuwa Sina Imani na kikundi cha watu(chama) kilichomweka kwenye nafasi hiyo, kwa mantiki hiyo pia Sishangazwi na jinsi anavyotupuuza wana...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zinaunga mkono Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing

    Hassan zhou Awamu ya 24 ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi itafunguliwa Beijing mnamo Februari 4. Kutokana na hali ya hewa ya joto kwa mwaka mzima katika maeneo mengi ya Afrika, inaeleweka kuwa ni nchi chache tu, zikiwemo Eritrea, Ghana, Madagascar, Morocco na Nigeria ndizo...
  12. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Mabondia Hassan Mwakinyo na Ibrah Class wavuliwa mikanda ya ubingwa WBF Intercontinental

    MABONDIA wawili wa Tanzania, HASSAN MWAKINYO na IBRAH CLASS, wamevuliwa mikanda ya ubingwa WBF Intercontinental na Shirikisho la ngumi za kulipwa la dunia la WBF. Taarifa iliyotolewa na WBF imeeleza kuwa, mabondia hao si mabingwa tena wa mikanda ya WBF. Hassan Mwakinyo --- The World Boxing...
  13. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Serikali wekeni Tozo kwenye Betting kupata pesa ya kujengea viwanja na kuendeleza michezo nchini

    Michezo ni sekta rasmi kama sekta zingine inatakiwa ichangie Pato la Taifa na itoe ajira na burudani pia. Ni aibu kwa Nchi kubwa kama Tanzania yenye washabiki wengi wa mpira na wacheza kamali yaani betting wa kuyosha kushindwa kuwa na viwanja vya kisasa vya michezo (sports complex) walau Kimoja...
  14. ESPRESSO COFFEE

    JamiiForums Tanzania Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

    Chama is Back, Triple C is Back. Baada ya Mechi Ya Mwisho kucheza akiwa Morocco na Kuwa MAN OF THE MATCH. Leo Anarejea Tena, zamu hii Akiwatumikia Simba Sc Dhidi ya Mbeya City. Nini atawapa Wana Simba Sc ni Jambo La kusubiri. Baada ya kutwaa ubingwa wa mapinduzi Mnyama, Simba SC anarejea...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Tiketi za Winter Olympics kutouzwa kwa umma, michezo kushuhudiwa na wachache

    Tiketi za Michezo ya Olimpiki ya Msimu wa Baridi 'Winter Olympics' itakayoanza Februari 4, 2022 huko Beijing Nchini China zitatolewa kwa makundi kadhaa ya watu na hazitauzwa kwa Umma. Kutokana na Sera za kudhibiti maambukizi ya COVID19, Waandaaji wamesema mashuhuda wa kimataifa hawatokuwepo, na...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Marekani inazidi kujiabisha tu eti kwa kujidai “kususia Michezo ya Olimpki ya Majira ya Baridi ya Beijing”

    Na Pili Mwinyi Mwanzoni mwa mwezi Disemba 2021 serikali ya Marekani ilitangaza kususia Michezo ya Olimpki ya Majira ya Baridi ya Beijing ya mwaka 2022, kwa kile walichodai kwamba wanapinga ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na China, hivyo haitaleta maafisa wake kuja China kushiriki...
  17. L

    JamiiForums Tanzania BEIJING OLYMPICS: Haifai kuingiza siasa kwenye michezo

    Caroline Nassoro Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi imepangwa kufanyika mjini Beijing, China, mwezi Februari, na maandalizi yote kwa ajili ya michezo hiyo yamekamilika. Lakini baadhi ya nchi ikiwemo Marekani, zimepanga kutoleta maofisa wao katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Tucheze michezo mipya

    Habarini jamani? Naona Tanzania kuna fursa nyingi za kuanzisha klabu za michezo mingine, ukiachana na michezo kama football, boxing, basketball nk. Kuna michezo ambazo zinafaa kwa watu ambao labda football sio kipaji chao. Na pia michezo hiyo inaweza kuchezwa katika jukwaa la kimataifa...
  19. Mario Kempes

    JamiiForums Tanzania Tuma salamu za Mwaka Mpya 2022 kwa members watatu wa jukwaa hili la michezo

    Mimi nawatakia heri ya mwaka mpya members wafuatao 1.Gentamycine 2.Scars 3.Renzo barbera
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sioni uzuri huo wa 'Sure Boy' ambao Wachambuzi wa Michezo leo mnamsifia nao. Wilson Oruma acha Unafiki na Kuichukia mno Simba SC

    Huko tunakoelekea mtatusababisha akina GENTAMYCINE tusiovumilia Upumbavu na Unafiki wenu tuwe tunakuja Kuwazaba ( Kuwawamba ) Vibao huko Studioni mliko kwani tumeshawachoka sasa. Eti Kiungo Aboubakary Salum 'Sure Boy' ndiyo Kiungo bora wa Uchezeshaji kuwahi kutokea Tanzania. Hivi nyie...
Back
Top Bottom