miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania Hebu jaribu kupata picha ya jinsi maisha yatakavyokuwa miaka 50 ijayo

    Jamani maisha yanaendelea kuwa magumu kila kukicha especially katika bara la Africa. Yaani the further we go (in terms of years) the worser the situation becomes (in terms of economy). Vijana waliohitimu vyuo wamefurika mitaani Ila ajira hakuna kabisa.Hii imewasaba ishia vijana wengi misongo ya...
  2. NetMaster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilianza kwa majaribio nikaishia kuwa teja, Story ya ukweli jinsi nilivyokuwa mtumwa wa kujichua kwa miaka 10

    Ilikuwa ni kipindi nipo darasa la sita nikiwa na miaka 12 kwenye kipindi cha sayansi mwalimu alikuja kufundisha topic ya mitindo ya maisha kama sikosei ilikuwa ni reproduction. Ni topic ambayo wengi iliwafanya wawe wasikivu kama mjuavyo hata watoro walikuwa hawaikosi, sasa katika maswali ya...
  3. B

    JamiiForums Tanzania DC Muro aongoza timu kumaliza mgogoro wa ardhi wa miaka 18 Ikungi

    DC Muro aongoza timu kumaliza mgogoro wa ardhi wa miaka 18 Ikungi. Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Jerry C. Muro pamoja na viongozi wa kata ya Irisya wakiongozwa na mwenyekiti wa halmashauri ya ikungi Mhe. Ali juma mwanga ambae ni diwani wa irisya wamefanikiwa kuumaliza mgogoro wa ardhi baina ya...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Meya wa Jiji la Dar kuzindua kinachoitwa 'Chawa wa Mama'

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , tarehe 14/01/2023 kwenye ukumbi wa Karimjee , Jijini DSM , kutafanyika Uzinduzi Kabambe wa kile kinachoitwa CHAWA WA MAMA . Taarifa iliyosambazwa kwa vyombo vya habari inaonyesha kwamba shughuli hiyo itasimamiwa na Mstahiki Meya Kumbilamoto , na Kwamba Wasanii...
  5. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Anna Mwasyoke: Miaka 15 Katika Taaluma ya Uandishi wa Habari

    Hii ni simulizi ya miaka 15 ya maisha ya Anna Mwasyoke katika fani ya uandishi wa habari ambayo imetimia tarehe 02/01/2023. Mwasyoke, kupitia ukurasa wake wa Instagram, ameona ni vema kuushirikisha umma japo kwa ufupi kuhusu safari yake hii anayoieleza kuwa ni “nzuri na tamu isiyochosha" ili...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Kijana wa miaka 17 ashikiliwa kwa kuwapa mimba wanawake 10

    Jeshi la Polisi la Jimbo la Rivers Nigeria limemkamata mvulana mwenye umri wa miaka 17 aliyetambulika kwa jina la Noble Uzuchi na Chigozie Ogbonna (29) kwa madai ya kuwapa ujauzito wanawake 10 kwa ajili ya biashara haramu ya kuuza watoto. Waliokamatwa wengine ni washukiwa wawili wa kike, Favour...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Raia wa Botswana afungwa miaka mitatu kwa kuishi nchini kinyemela

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imemuhukumu raia wa Botswana, Theo Leborang kulipa faini ya Sh1 milioni au kwenda kifungo cha miaka mitatu jela kwa kosa la kuishi nchini kinyume cha sheria na kutoa taarifa za uongo kwa Maofisa wa Uhamiaji. Hukumu hiyo imetolewa jana Jumanne...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Miradi 215 yasajiliwa katika kipindi cha miaka miwili Zanzibar-majaliwa

    MIRADI 215 YASAJILIWA KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MIWILI ZANZIBAR-MAJALIWA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema katika kipindi cha miaka miwili ya uongozi wa wa Mheshimiwa Rais wa awamu ya nane wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi jumla ya miradi 215...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa watano ambao waliipenda siasa ikawanufaisha lakini ikawadhalilisha kuwaondolea utu wao hapa nchini kwa miaka ya karibuni hawa hapa

    1. Job Ndugai; alipata madaraka makubwa na katika maeneo yote aliyowahi kuongoza hakuna eneo alifanikiwa kupewa sifa Bali siasa ilimfedgeesha. Kwa SASA amezeeka lakini uzee wake umeambatana na fedhea kubwa Sana yakuondolewa uspika kabla ya kumaliza muda wake. Mdomo uleule uliompa nafasi ndio...
  10. Yakki Kadaf

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nililala na mke wa mtu aliyenizidi miaka 30

    Habari wakuu, miezi mitatu iliyopita nilikuwa ni mwalimu wa kujitolea shule moja ya serikali. Mama yule alikuwa kapata nafasi shule. Basi mama yule alifika ili aonane na makamu mkuu wa shule ili ampe prem number kwa ajili ya uhamisho. Bahati mbaya makamu mkuu wa shule hakuwepo ikabidi aniachie...
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Miaka ya 2000's nlifungua Internet Cafe. Ndipo nlipoanzia kupiga bingo na kupasua mioyo

    Miaka hiyo kutumia saa moja internet ilikuwa tsh 500 hadi 1000. Kumfungulia mtu email ilikuwa tsh 1,000. Ni miaka ambayo nlitengeneza sana pesa. Maana nlikuwa na ofisi mbili za internet. Moja sinza na nyingine Kijitonyama. Mi nazunguka tu na Baloon kutembelea ofisi. Watu wanachat kupitia Yahoo...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Umasikini unaanzia kwenye mfumo wetu wa elimu ambao umepitwa na wakati

    Nauona umaskini unaanzia pale mtu uko zako chuo halafu unakaa miaka zaidi ya mitatu bila kufanya kazi unakamua pesa tu za wazazi kukulipia ada na malazi bila kuingiza chochote na mwisho wa siku ajira hakuna! Huu ni umasikini tuliokubali kujitengenezea bila kujua kuwa ni chanzo cha umasikini...
  13. Beesmom

    JamiiForums Tanzania Binti miaka 20 anatafuta kaz

    Anatafuta kaz za ndani ...mshahara kuanzia 60 ...
  14. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Iringa: Ahukumiwa miaka 30 baada ya kushauriwa kumbaka dada yake wa kuzaliwa ili apate utajiri

    Huko Iringa Mahakama ya wilaya ya Kilolo imemhukumu Frank Kigomba miaka 30 na kutakiwa kulipa faini ya shilingi laki 5 kwa kosa la kumbaka dada yake wa kuzaliwa kwa maelekezo ya mganga wa kienyeji ili awe tajiri. Matukio ya kubaka, kuua na kutafta utajiri sasa yamehama kutoka kanda ya ziwa na...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Afungwa jela maisha kwa kubaka Mtoto wa miaka mitatu

    Mahakama ya Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, imemhukumu John Sanare (23), Mkazi wa Kimnyaki wilayani hapo kutumikia kifungo cha maisha jela baada ya kukutwa na hatia ya kubaka kichanga cha miaka mitatu na miezi miwili. Hukumu hiyo ilitolewa jana mahakamani hapo na Hakimu Mkazi Mkuu Gwantwa...
  16. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania Miaka ya 30 ya vyama vingi, Ondoeni ruzuku tufanye mambo ya maana

    Katika kipindi cha miaka 30 ya vyama vingi, tumetumia mabilioni ya pesa za walipa kodi ili kusaidia vyama ambavyo vingine haviko tena mitaani. Vingine vipo kama maboya tu ya kupitishia ajenda za watawala. Kwa umri huu vyamna hivi vinatakiwa vijisimamie. Ni aibu kuendelea kuwa na wacheza siasa...
  17. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Hongera Masuguri Mkuu wa Majeshi Mstaafu kwa kuongeza umri miaka 103

    Leo tarehe 4 Januari 2023, Mkuu wa zamani wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) Jenerali David Musuguri ametimiza miaka 103 ya kuzaliwa, Jenerali alizaliwa tarehe 4 January, 1920. Ktk siku ya leo Watanzania tunakupongeza na kukuombea sana kwa Mwenyezi Mungu akupe Afya na Maisha Marefu zaidi na Zaidi...
  18. Bundakwetu

    JamiiForums Tanzania Aucho Khalid asaini miaka miwili Yanga

    Kiungo mkabaji kutoka Uganda amesaini tena miaka miwili kuwatumikia Yanga.
  19. D

    JamiiForums Tanzania Miaka 61 ya Uhuru usio na Uhuru

    Miaka 61 ya Uhuru usio na Uhuru! Mnaempinga kisiasa anawapangia cha kusema Anawapangia muda wa kusema Anawapangia pa kusemea Huu ni Uhuru pasipo Uhuru Hata ukipanga nyumba ukaambiwa uko huru LAKINI saa moja kamili uwe umerudi geti litafungwa siyo Uhuru! UHURU HAUNAGA LAKINI UHURU yake...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2022 umekuwa mwaka mgumu sana kuwahi kuushuhudia ndani ya miaka 40 iliyopita

    Gharma za bidhaa zilikuwa juu naona na mwaka huu bado zimeendelea kuwa juu. Bidhaa za muhimu sana zaidi ya mafuta zimekuwa bei ghali, CHAKULA. Sihitaji kutaja bei kwani kila anajione janga hili. Sasa najaribu kutafakari nini chakufanya ili hali hii isiendelee kuumiza watanzania hasa wa kipato...
Back
Top Bottom