miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Miaka 46 ya tukitawaliwa na CCM huku watanzania wakiwa na umasikini wa hali ya juu. Rais Samia akikata keki ikulu na kuchekelea.

    Kila kona kuna shida ya maji. Wanafunzi bado wanatembae umbali mrefu kuta kutafuta elimu Kodi kandamizi na tozo za kibabe Leo hii mkuu wa nchi anakula keki bila huruma kwa wananchi.
  2. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtanzania afungwa Jela Miaka 30 Kenya kwa Usafirishaji Haramu wa Watoto

    James Sengo Nestroy alikamatwa baada ya kubainika anajihusisha na Usafirishaji Haramu wa Watoto na Watu wenye Ulemavu ambapo aliamriwa na Mahakama, alipe faini ya Tsh. Milioni 563.8 au atumikie kifungo jela. Baadhi ya Waathirika wa Biashara hiyo wengi wakiwa ni Wenye Ulemavu (Raia wa #Tanzania)...
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Siku Nilipoiona Simu Kwa Mara ya Kwanza Odeon Cinema 1955 au 1956 au Nyuma ya Hapo Kidogo Sijavuka Miaka 4

    SIKU NILIYOIONA SIMU KWA MARA YA KWANZA ODEON CINEMA 1955 AU 56 AU NYUMA YA HAPO KIDOGO SIJAVUKA UMRI WA MIAKA MINNE Nakumbuka kama jana vile. Nilikuwa mgonjwa na baba yangu mdogo Mzee Issa akanichukua kunipeleka hospitali. Ilikuwa usiku lakini si usiku mkubwa kiasi cha saa moja hivi. Nina...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kuitafuta miaka yangu hii ya 60 bado nikipanda Dala Dala nawapisha Wazee, ila Vijana 'mnauchuna' tu Vitini

    Ndiyo maana mnaishia tu Kuvuta Bangi, Kupewa hovyo Mimba, mnafeli hovyo Mashuleni, Akili hamna huku wengine mkipenda kuwa kama Dada zenu wakati ni Watoto wa Kiume. Nidhamu ni Ufunguo wa kila Jambo na chanzo cha Baraka Maishani hasa ikionyeshwa na Mtoto / Kijana mbele ya Wakubwa zake hata kama...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Miaka 62 baada ya kupata uhuru: Ni faida gani tuliyoipata kwa kuwa huru?

    Ni miaka 62 imepita baada ya Tanzania kupata uhuru kamili. Lakini ukiniuliza ni faida gani tumepata kwa kuwa huru, sina jibu. 1.Hatuna uhuru wa kisiasa. Siasa yetu bado inasimamiwa na mabeberu e.g. swala la vyama vingi, demokrasia, etc 2. Hatuna uhuru wa uchumi. Uchumi wetu bado upo mikononi...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kijana wa miaka 15 aishi miezi 10 bila kula wala kunywa chochote

    Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firaoni. Kijana wa miaka 15 amekaa akifanya tahajudi kwa zaidi ya miezi kumi bila kula wala kunywa chochote. Kijana huyo ameendelea kuwa hai licha ya kutokula chochote kwa muda wote huo, na ameonekana mara kadhaa akitokwa na jasho jingi.
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Billy Ocean ametimiza miaka 73

    Wahenga mtakua mnakumbuka nyimbo zake zilivyokua zinachangamsha get together parties.
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwa mwanaume kuna raha jamani, yaani miaka 93 anaoa mdada miaka 24?

    Mwanamke zake tambo ni miaka 20 mpk 40 tu, baada ya hapo kwisha habari yako! Ikiwa mwanamke hajaolewa katika umri huo imetoka, na akiwa hana mtoto ndiyo nitolee hiyo. Lkn midume inaendelea kula mzigo na kuoa kama kawaida mpka siku atakayokwenda peponi.
  9. Broussard

    JamiiForums Tanzania Inawezekana mtumishi wa Serikali kulipwa mafao Milioni 10 baada ya miaka 39 kazini?

    Habari wakuu, Naomba niende kwenye mada, kwa wenye uelewa na hili naomba kufahamu zaidi. Ni sahihi au kuna upigaji kwenye hili? Miaka 39 kazini Serikalini. Mafao hayazidi 10Million Mshahara aliostaafia Laki 6 (miaka 7) Kabla alikuwa akilipwa 250K-450K Asante
  10. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Familia ya Hayati Magufuli inajisikiaje Baba yao kutukanwa miaka miwili baada ya kufariki?

    Kabla ya Hayati Magufuli walikuwepo Marais wanne waliomtangulia, ila wote hakuna anayetukanwa si mitandaoni wala majukwaani. Hayati Magufuli amevunja rekodi ya kutukanwa na kubezwa sana,si majukwaani au mitandaoni. Alikosea wapi? Familia inajisikiaje?Au wameshazoea? Je, tuna la kujifunza kwake...
  11. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Rais Paul Biya wa Cameroon afanya sherehe ya kutimiza miaka 40 madarakani

    Paul Biya ni Rais wa Cameroon ambapo amekaa madarakani miaka 40 sasa. Katika kipindi hiko chote Wacameroon wamekuwa wakimchagua tena kwa kishindo. Rais Paul Biya anaishi nchini Ufaransa kwa muda wingi wa utawala wake. Hii ndio Africa ambayo Trump aliwahi kutuambia tunahitaji kutawaliwa miaka...
  12. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Mwanamme aliyemchinja kichwa mkewe ahukumiwa kifungo cha miaka nane jela

    PICHANI: Binti mdogo Mona aliyekuwa mke wa muuaji aitwaye Sajjad Heydari. Katika hali ya kusikitisha, kijana mmoja nchini Irani amemchinja pichani juu binti aliyekuwa mkewe kutokana na kumkimbia kwa sababu mateso na manyanyaso ndani ya Ndoa yao. Binti huyo mdogo aliolewa akiwa na miaka 12 na...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri; Tujipange kubadilika; Huenda miaka ijayo binadamu mzee zaidi ataishi mwaka mmoja tu na kuzeeka

    Ulishawahi kuwaza zamani watu waliishije zama wayahudi? Walikuwa na maumbo gani? Mfano ukiangalia umri wa maisha ya mfalme Suleimani alivyoishi miaka ile na wake zake?,vipi kuhusu kina yakoub, Daudi, ibrahim na wengine? Naomba hili niliweke kimahesabu ili tuone mantiki! Sitaki kujiuliza sana...
  14. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Siri ya popobawa Miaka ya 90 na Ushoga miaka yetu hii

    Mpaka leo files zake zimekuwa classified. Hawataki kusema ukweli hasa nini kilitokea na ikawaje wakayafungulia yale majini yakaanza kuwa yana waingilia wanaume kinyume na maumbile. Al maarufu Popo Bawa. Ulikuwa ni Uganga ilio fail sehemu. Yaliletwa toka huko Arabuni kwa minajiri flani...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa afya kati ya China na Afrika wapiga hatua kubwa katika miaka 60 iliyopita

    Kwenye kitongoji kilichoko kusini mwa mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa, kuna jengo moja la kisasa linalong'aa chini ya anga ya bluu na mawingu meupe. Jengo hili ni awamu ya kwanza ya mradi wa Makao Makuu ya Kituo cha Kudhibiti na Kukinga Magonjwa cha Afrika (Africa CDC) unaofadhiliwa na China...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Unapopata mtoto katika umri wa miaka 70 uhakika wa kusheherekea siku yake ya kuzaliwa ya miaka 20 au 30 ni mdogo

    Unapopata mtoto ukiwa na umri mkubwa, kikubwa unachoweza kumpa ni busara ulizozikusanya kwa miaka mingi. Uwezekano wa kusherehekea mahafali yake ya elimu ya juu ni mdogo sana. David Foster mwenye umri wa miaka 73 akiwa na mke wake wa ndoa ya tatu na mtoto wao. Watoto wa uzeeni wana muda...
  17. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Imekuwaje Ibrahim Ajib ana miaka 26 wakati alisoma darasa moja na mdogo wangu mwenye miaka 36

    Huu ni muujiza naweza kusema hivyo Mdogo wangu ana miaka 36,alianza darasa la kwanza na Ibrahim Ajib Ilikuwakuwaje ,na inawezekanaje Ajib awe na miaka 26 Classnate wa primary kupishana miaka kumi????
  18. 666 chata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sekunde 30 za ngono zilivyompeleka jehenamu kwa miaka 30

    2020 Bwana Hamis (sio jina halisi) alikua ni kijana wa mtaa, wakati huo amemaliza form 4 pale kinondoni, hakufaulu na hakupata ajira yoyote so akawa ni mtu wa maskani tu. Maskani ya vijana wengi wa dar hua inakua opposite na gheto la mwamba mmoja ambaye hua ametoa ruhusa ya mwana yoyote kati...
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Miaka bilioni 3.8 iliyopita sayari Venus na Mars zilikuwa na kama vya dunia

    Huwezi kukubali ila kubali sababu sayansi ndio imekufikisha hapa unatumia JF. Solar system tunayoisoma leo ilikuwa tofauti miaka bilioni 3.8 kabla ya dunia tuliyopo. DUNIA ilijikuta baada ya mabadiliko ya kianga kukumbwa na meteor zilizobadilisha muonekano wa solar system. Kiufupi tuite kwa...
  20. Zakaria Maseke

    JamiiForums Tanzania Kosa la kulawiti mtoto chini ya miaka 18: Adhabu ni kifungo cha maisha gerezani

    Ukimlawiti (kumwingilia kinyume na maumbile) mtoto (wa kike au wa kiume) wa chini ya miaka 18, adhabu ni kifungo cha maisha jela (life imprisonment). Adhabu hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 154(2) cha sheria ya Kanuni ya Adhabu (Penal Code) Sura ya 16 (Cap. 16), kama ilivyofanyiwa marejeo...
Back
Top Bottom