miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka mitatu awekwa unyumba na Baba yake mzazi

    Kuna msemo unaosema ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, tukio la Baba mzazi mkazi wa mtaa wa Mafisa, Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kudaiwa kumuweka unyumba mtoto wake wa kike wa miaka mitatu limewachukiza wengi huku baadhi ya wananchi wakiiomba serikali kuchukua hatua kali...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Serikali: Sanamu ya Nyerere imemlenga Nyerere wa miaka ya 60-80, imefanana naye kwa 92%. Serikali imeridhika yule ni Nyerere

    Balozi Said Shaibu Mussa, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akijibu swali kuhusu sintofahamu ya sanamu la Mwl. Nyerere amesema; Kwenye sintofahamu hiyo kuna waokubali kuwa sanamu lile linafafa na Nyeyrere na wengine wanaokataa. Akisema kuwa Serikali...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Shilingi bilioni 1 haitoshi kwa mtu aitegemee kuishi maisha standard kwa miaka 30, inabidi aishi kibahili na nidhamu kubwa ya pesa

    miaka 30 x siku 365 = siku 10,950 Bilioni 1 gawanya kwa siku 10,950 = el 91 kila siku Hizo ni hesabu za KUKURUPUKA ambazo anaepiga ana kila dalili ya kukosa maarifa kutambua kwamba pesa huwa inapungua thamani kadri muda unavyoenda (time value of money) hasa kwa mifumuko ya bei, shilingi 50 ya...
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya Samweli Sitta spika wa viwango! Sasa ni Tulia Ackson Mwansasu homa ya jiji

    Bila unafiki, ushambenga, uchawa na ukurung'unzu wowote. Nasimama kusema katika umri wangu spika Bora niliyewahi kumuona na kumkubali alikuwa Samweli Sitta mzee wa viwango! Lakini kwa sasa nchi ipo mikono salama chini ya spika Tulia Ackson Mwansasu. Huyu mtu sio tu ni spika bali tumepata...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kutuma salamu za pongezi kwenye mkutano wa AU kwa miaka saba mfululizo, ni mambo gani anayojali Xi Jinping?

    Hivi karibuni, Rais Xi Jinping wa China alituma salamu za pongezi kwenye Mkutano wa 37 wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika. Huu ni mwaka wa saba mfululizo akiendelea kutuma salamu kwenye mkutano huo. Huu ni mkutano wa kwanza wa kilele kufanywa na Umoja wa Afrika tangu ulipojiunga rasmi na G20...
  6. JamiiForums Tanzania Kisa cha usaliti baina ya Lowasa na rafikiake kinasisimua Sana. Miaka ijayo kitaigizwa kwenye filamu. Ni kisa cha Maisha

    Kwema Wakuu! Kisa cha Lowasa na Rafikiake na usaliti mkubwa uliotokea ni kisa kitakachoishi kwenye taifa hili kwa karne na karne. Huwaga visa vya usaliti na mapenzi vinadumu sana. Historia na Historia zitapita lakini visa vya usaliti havipiti kwani ni visa vya maisha. Kisa cha Yesu na Yuda ni...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini Africa ukifikisha 35, 45, 55, tunasema ni mzee?

    Obama alianza uraisi akiwa 48 yrs na tulimuuita kijana. Elon Musk ana 53, tajiri mkubwa namba moja duniani, tunamuuita kijana Mark Zuckerberg ana 39, tajiri mkubwa tunamuita kijana Kwanini Africa ukifikisha 35, 45, 55, tunasema ni mzee? Nataka, kutoa somo moja Leo. Chanzo kingine cha Africa...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali inapaswa kuomba msamaha vijana kwa kuwakosesha fursa ya kuajiriwa kwenye vikosi vya ulinzi na usalama kwa zaidi ya miaka 8 nchini

    Kupitia bunge leo kupiga kura ya kuadhimia kuondoa kipengele cha sharti mwajiliwa wa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama kupita jkt au jku, serikali inapaswa kuomba msamaha maana kigezo hiko kimekoseha maelfu ya vijana kupambania fursa ya kuajiriwa kwenye vyombo hivyo. Imagine mtu aliyemaliza...
  9. JamiiForums Tanzania Aliyeozeshwa mtoto ahukumiwa miaka 30 Jela

    Mahakama ya Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe tarehe 16 Februari 2024 imemhukumu mshtakiwa GIVEN MICHAEL NZUNDA (24) Mkulima, mkazi wa Shilanga kutumikia Kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la Kubaka. Mtuhumiwa alikamatwa Disemba 15, 2023 maeneo ya Shilanga, Kata ya Ihanda Tarafa ya Vwawa ambapo...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Iringa: Maria Ngoda aliyefungwa kwa kukutwa na nyama ya swala aachiwa huru na Mahakama Kuu

    Mahakama Kuu Kanda ya Iringa leo imemwachia huru Maria Ngoda aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kosa la kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala Novemba 3, 2023, Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT), Jokate Mwegelo ameeleza. Bi. Ngoda ameachiwa baada ya kushinda rufaa iliyosimamiwa...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya music production studio yoyote Dar es salaam

    Habarini wapendwa,natumaini mnaendelea vyema.Samahani mimi ni kijana wa miaka 22,naishi Buguruni,Dar es salaam.Nina ujuzi katika kutengezneza beat,mimi sio professional sana ila ninajua na ninaweza kwa uwezo wangu. Kama kuna mtu anafahama studio ya muziki inayohitaji music producer tafadhali...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Walimu changamkieni hizi fursa za kwenda Marekani: Je, una uzoefu wa kufundisha wa miaka 5 na zaidi?

    Kwa waalimu wenye uzoefu wa kufundisha wa miaka 5 na kuendelea kuna fursa nzuri sana hapa Login » IREX - International Research & Exchanges Board: Fulbright Online Application System. Kama upo interested chukua hatua kuapply na pia unaweza kupata usaidizi kupitia ResearchLink International. Pia...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Niliamua kuishi kama Lowassa miaka 24 iliyopita, nimetambua sikufanya makosa. Nipo njiani kwenda Monduli

    Mwaka 2000 niliamua kuishi kama Lowasa, nilishawishiwa sana na upendo uliokuwepo ndani ya wana CCM na jamii dhidi yake. Kuna wakati nilichukia matendo yake hasa pale alipokuwa akifanya kampeni za Arumeru dhidi ya aliyeelezwa kuwa ni mkwe wake. Lakini baadaye niligundua kwamba kosa halikuwa lake...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni kijana mwenye umri usiozidi miaka 22, na una ubunifu au uvumbuzi wa hali ya juu tayari na unatafuta fedha za mradi wako fuatilia uzi huu

    Soma vizuri hadi mwisho na ujaze fomu iliyowekwa mwishoni kabla ya mwisho wa mwezi February. Researchlink International (www.researchlinktz.com) itatoa msaada wa kitaalam wa ku-apply kuongeza uwezekano wa kufaulu. Kuna fursa nzuri ya kupata fedha kutoka kwa kampuni ya Thiel Foundation. Kampuni...
  15. JamiiForums Tanzania Ujerumani: Kijana wa miaka 16 afariki baada ya kushambuliwa na kundi la wahamiaji 15

    Filipp kijana wa miaka 16 raia wa Ujerumani alifariki kutokana na majeraha baada ya kushambuliwa na kundi na Waarabu wahamiaji. https://twitter.com/RadioGenoa/status/1756794417304780992?t=2PGGgHlh8PQBdbKjhjC61g&s=19 =============== In a devastating incident that has sent shockwaves...
  16. JamiiForums Tanzania Ili kumaliza migogoro inayoendelea Congo, inabidi malalamiko yote ya waasi yasikilizwe

    Nachopendekeza katika migogoro inayo endelea Congo DR ni kuwa malalamiko yote ya makundi ya waasi yasikilizwe. Yale malalamiko yanayoweza kutatuliwa yatatuliwe yale yenye ugumu yaingiwe makubaliano ya pande mbili kufikia upatikanaji wa amani. Lazima malalamiko ya waasi wajulishwe Wacongo na...
  17. JamiiForums Tanzania Waafrika hatukupaswa kutumia kalenda moja na wazungu. Sisi tuko nyuma ya wazungu kwa miaka 300

    Hii naileta bila salamu! Karne ya 17 na 18 wazungu ndipo walipogundua teknolojia nyingi. Vitu ambavyo wazungu walivumbua Karne ya 17 -18 mpaka sasa Waafrika hatujagundua mithili ya hivyo. Tunapeleka watoto shule Ili waweze kutumia vitu ambavyo wazungu walivumbua miaka zaidi ya 300 nyuma ...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Wananchi Msidanganyike wanawasikiliza kinafiki tu kwa Sababu ya Uchaguzi. Baada ya hapo wanawabwaga kama ilivyo miaka yote

    Sasa hivi wanajipitisha pitisha eti wanasikiliza kero. Kero gani ambazo hujaziona na kuzifanyia kazi miaka mitano yoote ambazo utatatua kwa miezi michache iliyobaki. Sijaona watu wanafiki kama hawa. Eti wako madarakani miaka 60 ya Uhuru leo ndio wanajifanya hawajui kama Wanachi wana Maji...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini kodi ya gari la miaka ya karibuni iko juu sana

    Yaani ukiagiza Japan gari la Miaka ya 1990's ushuru wa TRA upo chini. Ila ukijiroga uagize gari la miaka ya 2010's utafurahi na roho yako jinsi ushuru wa TRA ulivyo juu. Unakaa unajiuliza hivi hii nchi kuna mtu ana roho ya korosho hataki watanzania waendeshe magari mazuri? Nani anafanya hivi...
  20. JamiiForums Tanzania Dar: Kutana na Kijana wa miaka 24 anayetoka kimapenzi na Bibi wa miaka 80 Tanzania

    Catherine, mama wa watoto 5 alipoteza mume wake miaka michache iliyopita na alihitaji kupendwa. Akiwa anaendelea na shughuli zake za kila siku, alikutana na George ambaye ni mtoro wa shule na mwendesha boda boda na kila kitu kikabadilika.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…