mgogoro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mgogoro wa ardhi baina ya kanisa la Christ Synagogue Ministries na mjane yaunguruma Arusha

    Kesi ya Mgogoro wa Ardhi baina ya Kanisa la Christ Synagogue Ministries lililopo Sakina jijini Arusha na wasimamizi wa mirathi Bernadette Changuru na Samweli Changuru imeahirishwa hadi Agosti 11 mwaka huu. Shauri hilo namba 57/2021 linasikikizwa na Baraza la Ardhi na Nyumba la wilaya ya...
  2. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Mgogoro kati ya wamiliki Viwanja na maafisa ardhi Manispaa Sumbawanga

    Maafisa ardhi wanataka kuiingiza serikali kwenye mgogoro mkubwa na wamiliki wa viwanja wanaovimiliki kwa title deed za miaka 66 huko kizwite. Maafisa ardhi wanashirikiana na matapeli wa ardhi wakiwadanganya kuwa mashamba ya marehemu wazazi wao hawakulipwa fidia wakati wa upimaji viwanja hivyo...
  3. jiwekuu770

    JamiiForums Tanzania EAC inatatuaje mgogoro wa viongozi kung’ang'ania madarakani?

    Jumuiya ya Afrika Mashariki hauhusiki kutatua mgogoro wa nchi viongoz wanao ng’ang’ania madaraka? Hapa tunazo kama Uganda, Rwanda na Burundi.
  4. DeepPond

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umejifunza nini Mgogoro wa Jackline Ntulyabaliwe vs Familia ya Reginald Mengi?

    Wakuu Natumai mmeamka vema kabisa. Mgogoro Kati Bi. Jackline Ntulyabaliwe ( msanii k-lyn) na Familia ya marehem Biliionea mfanyabiashara Bw. Reginald Mengi (Mzee Mengi) umechukua sura mpya katika jamii yetu. Yote hii inachangiwa zaidi na umaarufu waliokua nao Wote wawili. Hapa tunaongelea...
  5. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Israel na Palestina ndio utakaohitimisha dunia

    MGOGORO WA ISRAEL NA PALESTINA NDIO UTAKAOHITIMISHA DUNIA. Leo 11:15hrs 22/05/2021 Nianze kwa angalizo,ugomvi wa Palestina na Israel ni wa mapacha wawili toka wakiwa tumboni mwa Mama yao kabla ya kuzaliwa,Mapacha hao ni Esau na Jacob,sababu ya njaa Esau aliuza haki ya mzaliwa wa kwanza kwa...
  6. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania RC Amos Makalla amaliza mgogoro wa Meya na Mkurugenzi Kinondoni

    Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amemaliza sintofahamu ya uongozi wa manispaa ilijitokeza Kati ya meya manispaa ya kinondoni Ndg Songoro Mnyonge na mkurugenzi wa manispaa Spora Liana. Utatuzi wa mgogoro huo umefanyika leo katika kikao Cha pamoja kilichoitishwa leo na mkuu wa...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Israel na Palestine - Safari ya Tera

    Na, Robert Heriel Tz PART 1: SAFARI YA TERA Huwezi zungumzia Taifa la Israel bila kumzungumzia Tera. Wazo la Israel kwenda Kanaani (Palestine) ya leo liliasisiwa Tera. Tera ndiye Baba wa Abraham, Nahori na Harani. Tera alikuwa akiishi Uru ya Ukaldayo (Kati ya nchi ya Shinari na bara Aram)...
  8. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Iran kaingiwa na nini Israel? Anataka ipigwe kura kutoka kwa Wayahudi, Wakrito na Waislam Israel kumaliza Mgogoro

    Vyanzo kutoka Iran, Vinasema kutatua mgogoro wa wa Karne nyingi kati ya Israel na Palestina ni kupiga kura miongoni mwa wakazi wote waishio katika maeno ya mgogoro wa kiuraia, utamaduni au udini. 'Lengo letu 'Wairani' wa utatuzi kwa Wapalestina ni kuitisha kura ya Maoni kwa kuwajumuisha jamii...
  9. Grand Canyon

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Palestina na Israel: Chimbuko na Suluhu

    Jina Palestina linatokana na neno la Kilatini Palaestina na neno la Kigiriki Palaeistine. Maneno haya mawili yanatokana na neno la Kiebrania Pelesheth. Biblia inatumia neno Pelesheth linatafsiriwa Filistia kwa Kiswahili kwenye Biblia. Linarejelea eneo la Pwani ya Mediterenia lililokaliwa na...
  10. Mpingamkoloni

    JamiiForums Tanzania Daladala Mbeya zagoma siku ya tano, mgogoro sugu ulioshindwa kutatuliwa wa bajaji

    Jana usiku nimefika mjini Mbeya nikafikia maeneo ya Igawilo, leo nilikuwa nina appointment na daktari kwa magonjwa yetu ya uzeeni. Asubuhi hii nimejihimu stendi ili nipate gari niende mjini. Nimeshangaa sana kuona hakuna daladala. Nimepanda bajaji toka Igawilo hadi Kabwe kwa kutoa 1,500/=...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mgogoro kati ya Israel na Palestine

    Leo asubuhi wakati nasikiliza taarifa ya habari nimepata update ya nini kinachoendela huko mashariki ya kati. Taarifa inasema Palestine wamelusha makombora zaidi ya alfu moja kwenda Israel. Mfumo wa iron dome wa kuzuia makombora wa Israel uliweza kuzuia kwa kiwango kidogo, na yaliyo weza...
  12. goodfool

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitafungua kesi dhidi ya app lock iliyoleta mgogoro katika ndoa yangu

    Salam, Kuna app locker (kificha faragha) naweza kuita hivyo, kimenihadaa na kuniaminisha kuwa naweza kuficha SMS na Chats lakini kimeniumbua na kusababisha mtafaruku ndani ya nyumba baada ya wife kubaini chat (mazungumzo) baina yangu na mipango kando yangu. App hiyo inayotumia finger prints...
Back
Top Bottom