EAC inatatuaje mgogoro wa viongozi kung’ang'ania madarakani?

Jumuiya ya Afrika Mashariki hauhusiki kutatua mgogoro wa nchi viongoz wanao ng’ang’ania madaraka?

Hapa tunazo kama Uganda, Rwanda na Burundi.

East africa community iko weak sana!! Huwezi kulinganisha na umoja wa ulaya!!
-imebase kwenye uchumi zaidi tena nako bado inasua sua bado!!
Mfano ilikua na propasal ya kuwa na single currency bado hamna chochote kinachoendelea
-freemarket lipo but not in such tanzania na kenya , uganda zilikua zinasuguana kila mara kwa vitu ambavyo havina maana

-umoja hauko kisiasa
-so mambo ya kisiasa yamewekwa pembeni kidogo ndyo maana hawakuingilia uchaguzi wa uganda na wala hawataingilia wa rwanda 2024

- haupo kijeshi
Kifupi EAC inasafari ndefu sana
 
Back
Top Bottom