mgao

Swahili, also known by its native name Kiswahili, is a Bantu language and the native language of the Swahili people. It is one of two official languages (the other being English) of the East African Community (EAC) countries, namely Burundi, Kenya, Rwanda, South Sudan, Tanzania, and Uganda. It is a lingua franca of other areas in the African Great Lakes region and East and Southern Africa, including some parts of the Democratic Republic of the Congo (DRC), Malawi, Mozambique, Somalia, and Zambia. Swahili is also one of the working languages of the African Union and of the Southern African Development Community. The exact number of Swahili speakers, be they native or second-language speakers, is estimated to be between 50 million to 150 million.Sixteen to twenty percent of Swahili vocabulary are Arabic loanwords, including the word swahili, from Arabic sawāḥilī (سَوَاحِلي, a plural adjectival form of an Arabic word meaning 'of the coast'). The Arabic loanwords date from the contacts of Arabian traders with the Bantu inhabitants of the east coast of Africa over many centuries, which was also when Swahili emerged as a lingua franca.In 2018, South Africa legalized the teaching of Swahili in schools as an optional subject to begin in 2020. Botswana followed in 2020, and Namibia plans to introduce the language as well. Shikomor (or Comorian), an official language in Comoros and also spoken in Mayotte (Shimaore), is closely related to Swahili and is sometimes considered a dialect of Swahili, although other authorities consider it a distinct language.

View More On Wikipedia.org
  1. sinza pazuri

    Kwanini Uganda na Egypt hawana mgao wa umeme na wanategemea maji kuzalisha umeme?

    Nafikiri kama huu mgao wa umeme ni kweli unasababishwa na vyanzo vya maji kukauka na kupunguza uwezo wa uzalishaji umeme, inabidi kwenda kujifunza kwa wenzetu wanawezaje. Uganda na Egypt ni nchi ambazo zinategemea kuzalisha umeme kwa hydropower. Wao wanawezaje pamoja na mabadiliko ya tabia...
  2. J

    Tanesco: Mgao wa umeme hautakuwa mkubwa kwani ni 20% tu ya mitambo ndio itapunguza uzalishaji

    Mkurugenzi mkuu wa Tanesco ndugu Maharage amesema hakutakuwa na mgao mkubwa wa umeme kwa sababu ni 20% tu ya mitambo yake ndio itapunguza uzalishaji. Hata hivyo kuna umeme wa gesi utaongezeka na tayari jana wameingiza megawati 8. Source: ITV habari
  3. soine

    TANESCO mmezidi na mgao wenu

    Aisee hii ni kero kwa kweli yaani kwa siku tunapata umeme kwa masaa machache tu. Kama ni mgao basi mmetisha sana, vifaa vinaungua na hakuna fidia yoyote inayotolewa :"><??":LL::::OKKKLLLLLLL:eek::oops::oops::oops::oops::oops::oops::oops::oops:o_Oo_Oo_O:rolleyes::rolleyes:
  4. W

    Noti za Tanzania zibadilihswe, tumezichoka

    Tunahitaji kubadilisha muonekano wa fedha zetu sasa, hizi zimesha chakaa na zimeshatuchosha. Kwa miaka zaidi ya kumi tumekuwa na muonekano huo huo hii ni aibu ya taifa.zania Zinahitajika kubadilishwa
  5. Ngamanya Kitangalala

    Mgao wa umeme unatoka wapi kama tulikuwa na uzalishaji wa ziada wa umeme?

    Nchi yetu kwa sasa imepata changamoto ya upungufu wa mvua, hii ni kwa mujibu wa mamlaka ya hali ya hewa nchini (TMA), jambo lililopelekea upungufu wa uzalishaji wa umeme hapa nchini, hiyo ni kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na shirika letu la umeme hapa nchini (Tanesco) jana tarehe...
  6. Uhuru n Umoja

    Safari ya Egypt kwa Mkandarasi mkuu, mgao wa ajabu wa umeme na maji

    Kwa kawaida, operation kubwa huanza na ganzi, or sindano ya nusu kaputi kumlaza mgonjwa nusu-kifo au hili na lile kumtayarisha mlengwa kisaikolojia. Je, ni kweli ndicho wanacholenga kufanya??
  7. MK254

    Watanzania mnalo! Jua na joto kali, mgao wa maji na sasa mgao wa umeme

    Poleni sana, halafu kwa namna huwa mnabanana kwenye madaladala, mbona mnalo. Tanzanians should brace for more pains as power rationing looms after Tanzania Electric Supply Company Limited (Tanesco) revealed that water levels in many of their dams have reduced. According to a statement issued...
  8. Suzy Elias

    Rais Samia ikiwezekana kwepa kuwalenga Wasukuma moja kwa moja kwenye hotuba zako

    Ni leo tena. Mheshimiwa Rais amewatupia lawama Wasukuma kwa kuharibu vyanzo vya maji katika maeneo mbalimbali hapa nchini kwa sababu ya ufugaji wao wa ng'ombe wengi. Nia yangu bayana kwenye andiko langu ni kumshauri Rais ikiwezekana ajizuie kuwataja moja kwa moja Wasukuma kwenye hadhira kwa...
  9. N

    Tunapofunga kwa ajili ya maombi ya mvua ilete maji tunamshangaza sana Mungu

    Mungu alitupa vitu kisha akatupa akili ya kuvitumia vile vitu. Nchi hii tuna mito mikubwa sana tuna Mto Ruvuma Mto Kagera, mto Mara mto Maragarasi nk. Sanjari na hayo tuna Ziwa Eyasi, ziwa Rukwa ziwa Burigi, ziwa Nyasa ziwa Tanganyika na kubwa lao ziwa Victoria. Hizi ni baraka tayari ambazo...
  10. Elli

    Ukweli usemwe; Mgao wa Umeme na Maji: Pengo la Upinzani bungeni laonekana

    Nchi iko gizani, hakuna maji na mbaya zaidi hata mikoa ambayo inazalisha umeme jenereta na wenyewe kuna mgao! Mafuta tuliambiwa last week kuwa reserve iliyopo ni ya kutufikisha siku 14 tu. Raha sana. Leo huenda zimebaki siku nane tuingie kwenye mgao wa mafuta. Nionavyo, Wabunge wa Upinzani...
  11. C

    TANESCO tutangazieni kama kuna mgao wa umeme nchini

    Kwa siku tano mfululizo maeneo haya umeme ifikapo jioni unakatwana bila taarifa kwa sisi wateja labda Kama tangazo Hilo sijalisikia. Maeneo ya ubungo Mandela Rd kuanzia external, maziwa, hadi darajani unaotazamana na rivaside. Pamoja na kuwa jirani kabisa na mitambo ya umeme ya ubungo...
  12. Komeo Lachuma

    Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni. Kumeanza Mgao wa Umeme na Maji

    Jamaa yangu anasema ameambiwa aagize China Majenereta 500 kwa kuanzia. Na mtaji kapewa kuongezea. Wameandikishana na mchakato umeshafanyika mtu mkubwa mmoja kamwambia hawezi agiza kwa jina lake so atamtumia yeye. Umeme mgao haukuwepo kwa muda mrefu sana. Ilikuwa umeme hauwezi katika kila siku...
  13. F

    Mgao wa DAWASCO ni balaa, mwenye namba ya wauza maji na magari Ubungo anisaidie

    Habari wadau Naona tumerudi enz zile. Sina maji kabisa leo sijui nyumbani wanaishije Mwenye namba ya magari ya kuuza maji maeneo ya Ubungo naomba anisaidie
  14. Replica

    Kumekucha: DAWASA yatoa ratiba ya mgao wa maji Dar es Salaam

    Mamlaka ya maji safi na maji taka Dar es Salaam imetangaza mgao wa maji jiji la Dar es Salaam kanda ya Kinondoni ili kupunguza kero kwenye maeneo yanayotajwa kuwa na msukumo mdogo. Katika ratiba hiyo wakaazi wa Masaki, Mikocheni na Obey wameula, watapata maji saa 24 siku saba za wiki. Baadhi...
Back
Top Bottom