TANESCO Kinondoni yatoa ratiba ya matengenezo ya miundombinu ya umeme

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,194
4,112
TANESCO imetoa ratiba ya matengenezo ya miundombinu ya umeme kwa Wilaya mbalimbali.

1643600029781.png

1643600087484.png

1643600160700.png

1643600210927.png

PIA SOMA: TANESCO yatangaza rasmi mgao wa umeme nchi nzima (28/01/2022)

View attachment KINONDONI KASKAZINI_compressed.pdf
 
Mgao wa J. Makamba, muhimu wahakikishe ndani ya hizo siku kumi walizosema hayo matengenezo yao yaishe, wasije kuzidisha muda makusudi ili baadae watuletee story ya kupunguza makali ya mgao kwa kununua mafuta mazito, wajue tu utapeli wa hivyo umepitwa na wakati, tuheshimiane.
 
Wewe unamwamini Makamba?
 
Kuna tofauti kubwa sana kauli inapotolewa na mwanasiasa na kauli inayotolewa na Mtaalamu.

Siku 10 za Waziri wa nishati siyo lazima ziwe 10 zinaweza kupungua au kuongezeka.

Tujiandae kwa yote.

Wahenga mnakumbuka ile miezi 18 ya kufunga mikanda tuliyoambiwa na Mwalimu Nyerere ilivyoongezeka hadi Mwinyi akaja kutoa Ruksa kila mtu ajipimie anachoweza ili mradi havunji sheria.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
 
Halafu waandishi wa habari wanavyo ogopa kutupwa baharini ukweli hututaujua
 
Hapa kama Mume ni Fundi Welder Mama akikuuliza unaenda kazini kufanya kazi gani na hakuna umeme mwambie mnaunganisha Mageti na gundi.

....akili za Masudi Kipanya hizi.
 
Back
Top Bottom