Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia kijana mmoja aitwaye Ally Juma Shaban, Miaka 29, Mganga wa tiba asilia na Mkazi wa Makazi Mapya, Mlandizi kwa tuhuma za mauaji ya Juma Yoram Nyambihira, Miaka 58, Mkazi wa Makazi Mapya Mlandizi.
Inaelezwa mnamo Tarehe 29.08.2025 Jeshi la Polisi Mkoa...
Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe amewatoa hofu wananchi juu ya picha mjongeo (video) iliyosambaa mitandaoni ikimuonesha Muuguzi na Askari wakivutana katika Hospitali ya Halmashauri ya Kibondo huku ikidaiwa askari kuvamia chumba cha kujifungulia, jambo ambalo amesema sio kweli na likiwa...
Poleni na majukumu ya kila siku, nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha.
Moja kwa moja kwenye mada, nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa...
Vyama hivi vinavyotumika kama stepping stone ya career za watu, kufanyiana unafiki wao kwa wao, loyalty chalii.., kurubunika, etc
Upande wangu, i dont think so.
ajabu
anaamini
bado
katika
kupinga
mageuzi
majirani
masikini
mganga
mtu
njiani
nyingi
siasa
taifa
topics
ukristo
upinzani
utajiri
vyama
vyama vya siasa
Wakuu mama yangu amenipeleka kwa mganga wa kienyeji baada kutoona Maendeleo licha ya kuwa na kazi nzuri masharti niliyopewa nisifanye Mapenzi mpka naoa nikifanya nitakufa hivi ni kweli
Serikali kwa kushirikina na Shirika la Kimataifa la Ujerumani Hellen Keller, imewatibu wagonjwa wa vikope na kutoa tiba ya upasuaji wa mtoto wa jicho kwa watu wapatao 100,000 katika Halmashauri 64 nchini.
Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt.Grace Magembe ameyasema hayo Agosti 4, 2025, mara baada...
Mganga mkuu wa wilaya anaharibu idara ya afya na kamati ya afya mkoa wanafahamu. Mkurugenzi anafahamu.
Anawasimamisha kazi watumishi bila kufuata utaratibu na bila mkurugenzi kujua. Amewasimamisha watumishi wa kituo cha afya Natta bila Mkurugenzi kushirikishwa (ambaye ni mwajiri).
Amemchukua...
Watz wamevamia posts za Rais Samia kama nyuki. Namuona akifunga comments kwa posts ijayo
Msigwa anatukana watu huku amefunga comments
Post yeyote ya public figure watu wanavamia kama manyigu na NRNE, wapo mpaka pages za Simba na Yanga. Hawa watu mimi sijui wametokea wapi. Insta inatisha...
Kupitia post na mazungumzo na Mr IQ intelligence mshana Jr The platinum nimejifunza haya hapa.
01.Waganga wanafanya KAZI kwa kumuomba Mungu, na wewe usimuombe Mungu kupitia mganga(Muombe Mungu moja kwa moja utafamikiwa)
02.Sema sana ongea sana ila Usiombe yakukute.
03.kwenye maisha Kuna...
Rejea hapa safari yangu hii ya kwenda Pemba kutafuta mganga wa kienyeji kwa ajili ya kunitibia.
https://www.jamiiforums.com/threads/naumwa-sana-nimefika-pemba-ili-nitibiwe-kienyeji-naombeni-msaada-wa-mtaalamu.2298569/
Sasa baada ya kushuka bandarini (Mkoani) nilipanda gari (coaster) ya...
Achana na wanawake kijana Wangu, wanawake wapo wengi sana, Haina haja ya kumloga mwanamke ila tafuta hela achana na mambo ya wanawake komaaa na kutafuta hela wanawake wapo wengi, na wewe bado ni kijana mdogo.
Baada ya hapo nikamshukuru sana huyo nikajikataaa.
Oya ndugu zangu achaneni na...
Mzee Mussa Rashid, mkazi wa Tabora, ametapeliwa na kuporwa saa yenye thamani ya shilingi milioni moja baada ya kudanganywa na mganga wa kienyeji mjini Sumbawanga kuwa atapata utajiri wa haraka.
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo, ambapo inadaiwa kuwa mzee huyo aliwasili Sumbawanga...
“Miaka ya nyuma siku kama ya leo kwa upande wetu sisi Simba usingizi unakuwa wa tofauti na muda mwingine mnaweza msilale kwa sababu mganga wa mwisho alikuwa anaondoka saa 9 usiku”-Amri Kiemba
Katika dunia inayojaa changamoto zisizokwisha—mahusiano yaliyovunjika, matatizo ya kiuchumi, ndoto zilizokwama—watu hutafuta suluhisho kwa njia mbalimbali. Wapo wanaotumia akili zao kutafuta njia halisi za kujinasua, na wapo wanaotafuta muujiza wa papo kwa papo. Kundi la pili mara nyingi huishia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.