Ilikuwaje huyu akaachiwa apite pale kwa kambarage?Dubai Uchawi ni Kosa Kisheria. Ataweza fungwa na fine juu..
Practising black magic or attempting to smuggle sorcery items is illegal under Article 316 of the UAE's penal code.
The constitution states that the country is an independent, sovereign, and federal state comprised of seven emirates. The law prohibits black magic, sorcery, and incantations, which are punishable by an unspecified prison term, a fine of no less than 50,000 dirhams ($13,600), and deportation in the case of noncitizens.
BONGO UTATUWEZA SASA, DUUHHivi kwa karne hii ya sayansi na teknolojia mtu anaweza akapanda ndege kwenda kwenye chimbuko la dini yake na matalasimu vibuyu na tunguli ili akafanye uganguzi?
Tena wateja naona watakuwa ndugu zake wamatumbi AIBU HII
View attachment 2944712
Tarasimu si ni sehemu ya ibada ya dini husika?...akapanda ndege kwenda kwenye chimbuko la dini yake na matalasimu vibuyu na tunguli ili akafanye uganguzi?
Wanatumia lugha ya kiarabu vibayaSema waislamu wetu huku bongo wana mambo yao ya ajabu kabisa akija muislam mgeni toka kwingine lazima ashangae,,,wengi wanaendekeza ushirikina na kuna mambo wanalazimisha ila hayapo kabisa kwenye dini
SSC NI JANGA MPAKA WAMEPIGWA FINE!Hivi kwa karne hii ya sayansi na teknolojia mtu anaweza akapanda ndege kwenda kwenye chimbuko la dini yake na matalasimu vibuyu na tunguli ili akafanye uganguzi?
Tena wateja naona watakuwa ndugu zake wamatumbi AIBU HII
View attachment 2944712
mwanga na auaweDubai Uchawi ni Kosa Kisheria. Ataweza fungwa na fine juu..
Practising black magic or attempting to smuggle sorcery items is illegal under Article 316 of the UAE's penal code.
The constitution states that the country is an independent, sovereign, and federal state comprised of seven emirates. The law prohibits black magic, sorcery, and incantations, which are punishable by an unspecified prison term, a fine of no less than 50,000 dirhams ($13,600), and deportation in the case of noncitizens.
Hii inatuonyesha jinsi udhaifu wetu wa ki Ulinzi nchini ulivyo,Ilikuwaje huyu akaachiwa apite pale kwa kambarage?
Yani wao kitu kikiwa kwenye kiarabu tu wanaunganisha ni dini,,,,,kuna mambo mengine ni uchawi ila kwakua wanaandika kwa kiarabu basi wao wanasema tu ni diniWanatumia lugha ya kiarabu vibaya
Na hao wachawi wanapiga humo humoYani wao kitu kikiwa kwenye kiarabu tu wanaunganisha ni dini,,,,,kuna mambo mengine ni uchawi ila kwakua wanaandika kwa kiarabu basi wao wanasema tu ni dini
Na kiarabu chenyewe hakieleweki kabisa wanachanganya mambo mengi sana ya kishirikinaYani wao kitu kikiwa kwenye kiarabu tu wanaunganisha ni dini,,,,,kuna mambo mengine ni uchawi ila kwakua wanaandika kwa kiarabu basi wao wanasema tu ni dini