mganga

Mganga (mganga wa kienyeji) ni mtu anayehudumia watu kwa njia za kienyeji ikiwemo kutibu.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kuna jamaa yangu ameenda kwa mganga ili kuwekwa sawa kwa ajili ya kupata hizi kazi za TRA.

    Wakuu heri ya jumapili. Sijajua ni kuchanganyikiwa au vipi,kuna jamaa yangu kafunga safari kaenda huko kwao Magu kwa mganga ili tu awekwe sawa kwa ajili ya hizi kazi za tra zilizotangazwa majuzi. Jamaa mwanzo alinidokeza hilo jambo na akawa ananishawishi na mimi niunge tera but mimi sio muumini...
  2. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwa nini mganga hajigangi?

    1: Kwa maana hana uganga wowote ni utapeli tu. 2: Kwa maana maagano yake hayamruhusu kujiganga 3: Anaogopa matokeo ya uganga huo kama akijisaidia binafsi
  3. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli mganga anaweza akaboost muelekeo wa biashara yako au ni stori tu?

    Karibuni wanajukwaa
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Songwe: Mganga Mkuu wa Mkoa afafanua madai ya kusambaa kwa magonjwa ya tumbo na kipindupindu

    Mganga Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Dkt. Boniface Kasululu ametolea ufafanuzi taarifa ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyedai kuwa baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Songwe yana changamoto ya Wananchi kuumwa magonjwa ya matumbo na kuwa anahisi wengi wao wao wanasumbuliwa na Kipindupindu. Kusoma andiko la...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katavi: Mganga Mkuu wa Wilaya asema wapo kwenye mchakato wa kuajiri Mhasibu wa Hospitali ya Wilaya ya Mlele

    Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele, Mkoa wa Katavi, Dkt. Thadeus Makwanda ametoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyeeleza kuwa Hospitali ya Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi haina Mhasibu hali ambayo inaweza kusababisha upotevu wa fedha na kuwa Watumishi wasio na...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kuwa mtu mzima kunanifundisha kuwa kuna haja ya kuwa na mganga wako

    I will be short Humanity is hard work We do a lot of mistakes , bila kuwa na mganga wako wa kureverse some things . Stress na mistakes zitakuua . It’s no joke Mimi ni pure Christian . Ila watu wana ni push to the Limit . Unakuwa mwema watu wanataka vita . , Kazini vita , mtaani vita ...
  7. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Nestory Bingwa, mganga tapeli aliewatapeli wasouth na kukimbilia Canada kuishi

    Habari zenu wana JF wenzang, Leo nawaletea kisa cha ndugu yetu Nestory Bingwa, ambae ni mjomba wangu kabisa wa kuzaliwa na mama yangu mzazi. Huyu bingwa ni miongoni mwa watanzania wachache sana waliowahi kuingia nchi hii kitambo sana, kabla hata muasisi wa taifa hili hajaachiwa huru. Baada ya...
  8. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania How come a Professional Doctor wa MOI awe mganga wa kienyeji? (Kisa cha mganga wa kienyeji wa Chasimba)

    Chasimba ni eneo lililopo Boko, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Huko ndiyo kisa kizima kinakoanzia, kuendelea na kumalizikia. Ilikuwa hivi, mwaka Jana mwezi August kijana wangu alikuwa na tatizo la mifupa nikaambiwa huko Chasimba Kuna daktari mzuri sana wa MOI na ni mbobezi hasa kwenye...
  9. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mganga anayetengeneza pesa wala jini anayetengeneza pesa, bali pesa zinatoka Benki Kuu (BOT)

    Hakuna Mganga anayetengeneza pesa wala jini anayetengeneza pesa bali pesa zinatoka benk kuu(BOT). Kinachofanyika ni kuvuta pesa za wafia dini wanaoamini asili ni shirk. Hivyo roho mbalimbali zinatumika katika zoezi hili. Ukikuta umepata mkopo wa milioni kumi au zaidi au chini ya hapo na...
  10. FK21

    JamiiForums Tanzania Nimeota mganga ananiambia sina muda mrefu nitafakufa. Nini maana ya ndoto hii?

    Leo usiku wa saa 8 NIMEOTA NDOTO mtu ambae ni mganga akiniambia kuwa soon nitafariki Sababu ni kuwa watu wanaoniroga wamejua kuwa najua kuwa wanaoniroga so wanafanya juu chini wanizime mapema
  11. B

    JamiiForums Tanzania POLISI: Bwana harusi alijificha kwa mganga.

    #VIDEO: Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kupatikana kwa Vincent Massawe (Bwana harusi) ambaye taarifa zake zilisambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba amepotea siku chache baada ya kufunga ndoa. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bwana harusi aliyedaiwa kutekwa apatikana Kigamboni, alijificha kwa Mganga wa Kienyeji

    Taarifa ya Jeshi la Polisi == Ndugu wa Vincent Masawe, bwana harusi anayedaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha wamethibitisha kupatikana kwa ndugu yao. Kwa mujibu wa ndugu hao, Vincent yupo katika kituo cha polisi kilichopo Kigamboni, mkoani Dar es Salaam. Akizungumza na Mwananchi...
  13. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Ujumbe Kwa vijana mnaojipanga kusoma masters ili muwe ma boss : Ili upande cheo hauhitaji masters unahitaji mganga mzuri.

    Habari wakuu, Kwanza niweke wazi mimi Omoyogwane nipo Gamboshi bariadi nafanya research huku, kama kuna mtu anataka kuja PM sitamjibu Lengo la huu uzi ni kushare kile nilichokiona na kukijua, kama una swali uliza hapa hapa . Kupanda cheo kuna mambo mengi nyuma ya pazia tena ya kutisha na...
  14. PROFOUND NOTION

    JamiiForums Tanzania Unakuta mtu anamcheka mtu kwenda kwa mganga wa kienyeji ila yeye amepanga mstari kununua udongo

    "Ooh ukienda huko utapewa jini litakalokusumbua baadae" Anayesema hivyo ameambiwa atoe sadaka ya kujimaliza, anunue mafuta na maji na mchanga huku nabii wake akimuambia "usiogope, usiogope chochote" wakati yeye amezungukwa na mabaunsa na nje impaki gari ya milioni 250 inasumbiria kuondoka...
  15. Tuagize

    JamiiForums Tanzania Mganga wa Mapenzi

    Wakuu wazima hivi ni kweli kuna mganga wa mapenzi, au ni sound tu tunapigwa?
  16. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Yanga kadaini fedha zenu kwa Mganga aliyewaaminisha Dube atafunga game ya jana

    Ali kamwe alisema wameaminishwa kuwa Dube alikuwa hafungi kwa kuwa alikuwa amefungwa kwa nguvu za giza na timu fulani ila mganga mpya waliyempata amewahakikishia leo(jana) rasmi ataanza kufunga na wanamkabidhi mechi na ukisikia kukabidhiwa mechi ni zile takataka zote za kichawi hukabidhiwa...
  17. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wetu Hersi jishushe nenda kamwombe msamaha Haji Manara aturudishie Mganga wake

    Mimi sina mengi. Baada ya kuwa tumekosa kumtumia yule mganga sasa hali yetu imekuwa mbaya. Hata ile namna nyingine ambayo tuliamua kuwa ingetusaidia katika kupata ushindi matches hizi inakuwa ngumu sababu ni... Turudie katika asili yetu. turudi kule ambako kulitusaidia tukawa Yanga ile. Tatizo...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Matangazo ya Mganga Radio Free Afrika

    Wakuu habari. Niko nasikilizia hapa radio Free!. Kuna kipindi Cha mganga anajinadi kuwa kama una tatizo lolote yeye atakusaidia kulitatua kwa kupiga namba ya sim Aliyoitoa. Anasema kama unashida na Hela, cheo yeye anaweza kukusaidia. Najiuliza hapa nikienda kwa huyo mganga na nisifanikiwe...
  19. funaku

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Muhimbili izingatie weledi katika kutoa taarifa wakati wa Majanga!

    Nasikitika kuona "kiherehere" cha hospitali ya Taifa ya Muhimbili katika kutoa Taarifa zinazohusu majanga bila kuzingatia chain of command. Sio afya kwa hospitali hii as an entity kukimbilia kwenye media na kutoa taarifa bila kuzingatia taratibu za uhabarishaji umma wakati wa tukio la majanga...
  20. Brojust

    JamiiForums Tanzania Swali kutoka kwa mdau kuhusi hizi imani tatu, Uislamu, Ukristo na kwa Mganga

    Swali kutoka kwa mdau kuhusi hizi imani tatu, Uislamu, Ukristo na kwa Mganga Naomba kuwasilisha bila kuongeza kitu chochote. Nawasilisha.
Back
Top Bottom